Ilikuwaje fedha za kununulia ndege zikaingizwa kwenye akaunti nyingine kabla ya kulipwa kampuni husika ya kutengeneza ndege?

Kama hujui international procurement procedure omba msaada wakueleweshe Kuna kitu kinaitwa Letter of credit, bill of landing, bank guarantee, ukivielewa hivyo hautauliza Hilo swali
wewe unayeelewa timiza wajibu wa kuwaelewesha wasioelewa. otherwise acha porojo.
 
naapa nitaitumikia jmt kwa moyo wangu wote nitairinda na kuitetea katiba ya jmt
na pia nitahakikisha nawamaliza wachagga wote serikalini na kuwaingiza wasu.kumma
kwakua hii ni zamu yao ee mwenyezi nisaidie
Katiba yetu inampa mamlaka Rais ya kufanya chochote haijalishi kitakuwa kizuri au kibaya ukiwa Rais Tanzania unanguvu kama miungu na uko juu ya sheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hujui international procurement procedure omba msaada wakueleweshe Kuna kitu kinaitwa Letter of credit, bill of landing, bank guarantee, ukivielewa hivyo hautauliza Hilo swali

Wewe ni fala kweli, ina maana wewe unajua kuliko CAG aliye hoji katika ripoti yake? Mbona mnajidhalilisha namna hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hujui international procurement procedure omba msaada wakueleweshe Kuna kitu kinaitwa Letter of credit, bill of landing, bank guarantee, ukivielewa hivyo hautauliza Hilo swali
Maneno meeengi,ndio tatizo la wasomi wetu wa jalalani hao akiona kimeulizwa kitu konki yeye anachofanya ni kujibu kwa kuweka 'ka lugha ka kiingereza' hapo anajiona mjaaaaaaaaaanja.
 
Back
Top Bottom