Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,271
- 96,398
Hahahaha umenikumbusha mbali. Hapo mwenge kanisani (katoliki) enzi hizo kanisa lile la zamani, tulikuwa tunakula mabibo wacha kabisa... Nilikuwa naenda Silent Inn kuchungulia wakubwa walivyokuwa wanasakata rumba la Bima Lee Orchestra.Dukani kwa mpemba nini? Maana miaka ya nyuma Mwenge nzima maduka yalikuwa miwili tu Mwenge kijijini nyumba No. 1 na kwa mpemba karibu na hongera bar