Ilikuwa mwaka 1981

Ilikuwa mwaka 1981

Bora yeye kaumbuka akiwa mbali na uso wa Mungu.
Ninakumbuka nilivyoanza kunywa bia kuna siku niliiba chupa moja store, msure alijua ana sanduku lake amehifadhi, siku ya siku sanduku limetolewa chupa moja iko tupu, alipouliza nilijibu chupa ilianguka, aliniuliza chupa itaangukaje bia imwagike bila chupa kuvunjika?
 
Hahahahaa mi msure alikuwa akinywa whysky zake... Basi huwa namimina nagonga afu najaza maji kidogo ili isionekane imepungua. Staki nikuambie kilitokea nini siku aliponifuma namimina....
 
Dudumizi alikuwa balaa...

Haki ya Mamaa nakupenda Imakulata nataka nikushike mkono twende wote kwa wazee..
Usifanye mchezo na pendo eeeh
 
Mi mjukuu wangu wa mwisho alimaliza form four huo
 
Mnaukumbuka wimbo wa..
Kweli mwanameka umefanya madhambi makubwa, mambo ulomfanyia bwana Musa yanasikitisha, enheheee Mwanameka, mkasa uliofanya ni wa mwaka, onhoo hoo mwanameka embu punguza hasira
...

Jamani niliupenda huu wimbo, na mwisho wa siku nikaukuta kwenye mtihani wa kiswahili form four 1991.....
 
Wimbo wa..
Kweli mwanameka imefanya madhambi makubwa, mambo ulomfanyia bwana kusa yanasikitisha enheheee mwanameka, mkasa uliofanya ni wa mwaka, onhoo hoo mwanameka
...

Jamani niliupenda huu wimbo, na mwisho wa siku nikaukuta kwenye mtihani wa kiswahili form four 1991.....
Baada ya huo ulikuwa "njiwa peleka salamu" JKT taarabu.
 
Ninakumbuka nilivyoanza kunywa bia kuna siku niliiba chupa moja store, msure alijua ana sanduku lake amehifadhi, siku ya siku sanduku limetolewa chupa moja iko tupu, alipouliza nilijibu chupa ilianguka, aliniuliza chupa itaangukaje bia imwagike bila chupa kuvunjika?
Msure akibakisha nusu chupa lazima nimapizie.... siku za mwanzo niliziona chungu sana
 
Back
Top Bottom