chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,979
Good old days...napenda sana enzi hizo, kabla dunia haijawa digitalised na internet..maisha yalikuwa magumu, ila sijui kwa nini nayaona mazuri ...
Hata movie napendelea za zamani kuliko sasa, au za sasa ila matukio ya zamani
Hata movie napendelea za zamani kuliko sasa, au za sasa ila matukio ya zamani