mbeyakwetu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 723
- 396
kwa ambao hatukuwepo utata sasa maan hatujui
Yallah mbavuAhaa nimekupata mkuu, binafsi kwakweli kipindi hiko nilikuwa kiunoni nimetulia
Sasa mbona huniamkii? Mimi kipindi hicho nlishakuwa najua kusoma, kuandika na kuhesabu...Wengi humu hakuwepo duniani kipindi hicho.
Nilikiwa darasa la kwanza shule ya msingi
Mmhhh.... ????Nilikuwa primary lakini darasa la mbele yako kidogo.
Ikiwa zamu yako Kwanza unalizungusha kichwani mara tatu ili usiambukizwe maradhi na aliyeling'ata kabla yako ngoja mwenye embe akunyime unamuapiza msijuane ahahahahahaaEmbe mnang'ata kwa zamu mpaka mnafikia kokwa.
Mkuu unanikumbusha mbali sana, kulikuwa na Juice nyingine ya Black current.Hahaha! Power Mabula kabla ya kuvunjiwa Jiwe kifuani alikua akijinadi "Power Mabula mtoto wa pekee,sina Kaka wala Dada,nilizaliwa peke yangu"
Halafu anapoza Koo kwa juice ya Orange "Squash"(skuash) enzi hizo.
Bora ya jirani, hata mpita njia usiyemjua ukiharibu mbele yake atakutandika tena unashukuru kakupiga yeye kuliko lingefika nyumbaniKitambo hiyo MTOTO WA MWENZIO MWANAO. Unaharibu mtaani, mama au baba wa rafiki yako anakucharaza za kutosha,na ukifika home husemi. Ukisema unakula zingine.
Waroho na wabinafsi walipochukua nchiPale tabora tulikuwa na KAUTA, wengine walikuwa na Kagera Retco, Kauma, Shinyanga Retco, Kaudo, Mbeya Retco, sijui nchi hii tulijikwaa wapi tu
Hapana mimi nilianza 72 nilikuwa sijafika 10 hata mkono ulikuwa haugusi sikioni labda vile nilikwenda mwezi baada ya wenzangu kuanzaDah... Mbona alianza mdogo Sana? Enzi hizo kuanza shule ilikuwa uwe na 19 au 20....kutokana na changamoto zake...![]()
![]()
Dukani kwa mpemba nini? Maana miaka ya nyuma Mwenge nzima maduka yalikuwa miwili tu Mwenge kijijini nyumba No. 1 na kwa mpemba karibu na hongera barUmenikumbusha mbali sana mkuu.
Hii ilwahi nitokea pale maeneo ya bamaga miaka ileeeee..... Nilisahau lazimika kununua maziwa (mtindi) pale nilipienda kuzoza, kisha nikamkuta Baba wa binti ndio yupo dukani.
Alafu bahati yangu mbaya, hiyo pesa (ilikua shilingi 10 ya noti) nilikua nimetumwa nikanunue chumvi dukani.....![]()
![]()
![]()
![]()
Mkuu kumbe ulikuwa Bitoz mimi nilikuwa mwali nikiimbishwa naugua siku tatu nimelala kitandani kila nikiwaza nilichoambiwa ugonjwa unazidi nikiukizwa ninachoumwa sisemiDaaaaaaaaaah basi mkuu apa nakumbuka ndo nilikua natimiza miaka 25 niko na bibi enu suluwali yangu ndefu panaaa af kichwani nina aflo moja atali
Daah zamani raha sanaMkuu kumbe ulikuwa Bitoz mimi nilikuwa mwali nikiimbishwa naugua siku tatu nimelala kitandani kila nikiwaza nilichoambiwa ugonjwa unazidi nikiukizwa ninachoumwa sisemi
Du umenikumbusha watunjatanjata ubarikiwe.Bima Lee
Watunjatanjata 'washirika'
'Air pambamoto' Vijana
Mambo ya long
Acheni uongo mie nilikua darasa la sita ukikutana na kidume hata hakijakusemesha unajicheshachekesha kweli nature ni balaa.Nilikuwa primary lakini darasa la mbele yako kidogo.
Mkuu hapa hakuna muongo ila kumbuka hata malaya walikuwepo tulikuwa nao madarasani na ndio hao waliokuwa wanajichekesha hata kwa walimu pia kuwa darasa la sita si sababu mkuu wengine hadi tunamaliza la saba hatujui vyekundu wala vyeupe hasa uongo uko wapi?Acheni uongo mie nilikua darasa la sita ukikutana na kidume hata hakijakusemesha unajicheshachekesha kweli nature ni balaa.
Sikuamanisha vibaya lakini asante kwa matusi na kibaya sikuwa nakujibu wewe.Pia jifunze ustaarabu hatua tuliyofikia tumeshatoka kwenye unyani nahisi wewe tulikusahau huko.Mkuu hapa hakuna muongo ila kumbuka hata malaya walikuwepo tulikuwa nao madarasani na ndio hao waliokuwa wanajichekesha hata kwa walimu pia kuwa darasa la sita si sababu mkuu wengine hadi tunamaliza la saba hatujui vyekundu wala vyeupe hasa uongo uko wapi?
Unataka kuniambia ulizaliwa mwaka 1964???Mkuu kumbe ulikuwa Bitoz mimi nilikuwa mwali nikiimbishwa naugua siku tatu nimelala kitandani kila nikiwaza nilichoambiwa ugonjwa unazidi nikiukizwa ninachoumwa sisemi