Ilikuwa mwaka 1981

Ilikuwa mwaka 1981

Peleka uzuzu wako anajuaje simjui alikuwa anafanya joking kwa yule aliemquote mara ya kwanza acha chuki na kashfa zako kuwa mstaarabu, usiwe unadandia treni kwa mbele usiestaarabika we.Usiharibu uzi.
Kua na Amani Mkuu japo sijui mnazozania nini,narudia tena kua na Amani kiongozi please..

[HASHTAG]#One[/HASHTAG] love.
 
Fala huyu siwahi zozana na mtu tangu nijiunge humu JF kaniharibia mwaka nilikua namjibu mdau ambae nilijua amemjibu kwa utani mdau mmoja kuwa yeye ni mkubwa akatokea mtu toka sijui msitu gani na kuanza kukashifu. Nimeshapoa na sitamjibu tena ila niko tayari hata kwa barn kwa ajili ya yule fala.
 
Peleka uzuzu wako anajuaje simjui alikuwa anafanya joking kwa yule aliemquote mara ya kwanza acha chuki na kashfa zako kuwa mstaarabu, usiwe unadandia treni kwa mbele usiestaarabika we.Usiharibu uzi.
Umemaliza au bado
 
Ikiwa zamu yako Kwanza unalizungusha kichwani mara tatu ili usiambukizwe maradhi na aliyeling'ata kabla yako ngoja mwenye embe akunyime unamuapiza msijuane ahahahahahaa
Zamani mkimkasirikia rafiki yenu eti mnamwambia tumekugaya yaani mmemtenga,ila siku ya pili mkiamka tu mnasahu kila kitu na kucheza tena pamoja! Utoto raha sana.
 
Screenshot_2017-01-03-19-52-11.jpg
 
Yallah mbavu zangu, nimecheka kwa sauti, ulionja kidogo ukaongeza ukaongeza tena ukalewa
We acha tu. Nilionja kiduchu nikanogewa. Mshkaji wangu akawa mjanja akasepa lakini akaja kuokotwa kalala chini ya mti pale shule ya Mapambano. Mi nikaendelea kugida mpaka nikalala kwenye kiti cha padre... imagine hapo nlikuwa darasa la nne... Khaaa!!
 
Mkuu ya kwako ilikuwa kali, uliiba Damu Ya Yesu, bdiyo maana unamaakili sana, hahahaha
Acha kabisa. Imagine nlikuwa darasa la nne lakini nikagida zaidi ya glasi.... Sikuwa na hofu kama faru John, ukaksi ukanishinda nikajikuta nimelala kwenye kiti cha kuondolea dhambi. Mshkaji wangu ye alikuwa mjanja, akaona kuliko afumaniwe na malaika bora akafie mbali... Alikutwa kalala fofofo chini ya mti pale shule ya mapambano.
 
We acha tu. Nilionja kiduchu nikanogewa. Mshkaji wangu akawa mjanja akasepa lakini akaja kuokotwa kalala chini ya mti pale shule ya Mapambano. Mi nikaendelea kugida mpaka nikalala kwenye kiti cha padre... imagine hapo nlikuwa darasa la nne... Khaaa!!
Duh! Darasa la 4 !! Si ajabu hapo mkuu ulikua kwenye 11 tu!!
 
Hahahaha mkuu acha tu. Nimeanza la kwanza nikiwa na miaka 7... imagine...!! Hivi sasa navyogonga bapa tatu za konyagi bila hata kuongea kiingereza watu hawajui shughuli nimeianzia utotoni tena ndani ya nyumba ya Mungu LOL
 
We acha tu. Nilionja kiduchu nikanogewa. Mshkaji wangu akawa mjanja akasepa lakini akaja kuokotwa kalala chini ya mti pale shule ya Mapambano. Mi nikaendelea kugida mpaka nikalala kwenye kiti cha padre... imagine hapo nlikuwa darasa la nne... Khaaa!!
Mkuu naomba usiendelee maana nacheka vibaya sana
 
Basi swahiba wangu. Ngoja niishie hapa maana nikikuambia yaliyonitokea utotoni utavunja mbavu. Nilipaswa nizaliwe karne ijayo. Maana ni nani katika enzi zetu angeweza kufumaniwa anafanya mapenzi na chupi ya housegirl?? Yani osigelo akianika chupi zake mi ndo ilikuwa asusa ya kimwaga mkojo changu... Sijui nlikuwa napataje raha wakati hata kumwaga protini nlikuwa sijafikia umri wake LOOOOOO
 
Ahahahahahaa, hujapata mtoto aliyerithi kweli?
 
Acha kabisa. Imagine nlikuwa darasa la nne lakini nikagida zaidi ya glasi.... Sikuwa na hofu kama faru John, ukaksi ukanishinda nikajikuta nimelala kwenye kiti cha kuondolea dhambi. Mshkaji wangu ye alikuwa mjanja, akaona kuliko afumaniwe na malaika bora akafie mbali... Alikutwa kalala fofofo chini ya mti pale shule ya mapambano.
Alisogea sogea mkuu..
 
Basi swahiba wangu. Ngoja niishie hapa maana nikikuambia yaliyonitokea utotoni utavunja mbavu. Nilipaswa nizaliwe karne ijayo. Maana ni nani katika enzi zetu angeweza kufumaniwa anafanya mapenzi na chupi ya housegirl?? Yani osigelo akianika chupi zake mi ndo ilikuwa asusa ya kimwaga mkojo changu... Sijui nlikuwa napataje raha wakati hata kumwaga protini nlikuwa sijafikia umri wake LOOOOOO
Aibu nana mie haki ya nani tena duh?
 
Back
Top Bottom