Naomba Mapendekezo ya Wasemaji bora wa Kiswahili na Vitabu vya kujifunza

Bwenyenye254

Member
Mar 13, 2021
50
83
Habari WaTanzania!

Mimi ni mzungumzaji mzuri wa lugha ya kiswahili lakini si kwa kiwango cha ufasaha kama cha Watanzania.

Ningependa ku-improve kiswahili changu kiwe na flow na ufasaha kama chenyu nyinyi wabongo.

Kwa maantiki hiyo, naomba nianzishe mjadala hapa ambapo ningependa kuwauliza Watanzania kutoa mapendekezo ya wasemaji bora wa Kiswahili(best public speakers) ili niweze kuboresha ufasaha wangu kupitia kujifunza kutoka kwa wazungumzaji wa lugha hii asili(native speakers).

Ningependa sana mapendekezo yenu yawe kuhusu watu maarufu ambao ni rahisi kupata maudhui yao kwenye mitandao ya kijamii na sehemu nyinginezo.(People in the limelight because it is easier to find their content on social media like YouTube).

Ningependa pia kupata mapendekezo ya vitabu vya kusoma.

Ikumbukwe kuwa kiswahili changu kiko advanced kidogo ila kina mapungufu hapa na pale kwa sababu hapa Kenya kiswahili chetu kiko corrupted kwa hivyo ni rahisi kusahau misamiati kwa kukosa kuzungumza kiswahili sanifu kwa muda.

Nitashukuru sana mkinipata suggestions of the best public speakers to learn from.

Ninashukuru, Mungu aendelee kuibariki Tanzania

Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
 
Check me pm ntakufundisha Kiswahili in free of charge.
 
Tafuta Hotuba za Rais mstaafu wa Pili wa Tanzania Mzee Mwinyi utapata utamu wa kiswahili na unavyovitaka
 
Habari WaTanzania!

Mimi ni mzungumzaji mzuri wa lugha ya kiswahili lakini si kwa kiwango cha ufasaha kama cha Watanzania.

Ningependa ku-improve kiswahili changu kiwe na flow na ufasaha kama chenyu nyinyi wabongo.

Kwa maantiki hiyo, naomba nianzishe mjadala hapa ambapo ningependa kuwauliza Watanzania kutoa mapendekezo ya wasemaji bora wa Kiswahili(best public speakers) ili niweze kuboresha ufasaha wangu kupitia kujifunza kutoka kwa wazungumzaji wa lugha hii asili(native speakers).

Ningependa sana mapendekezo yenu yawe kuhusu watu maarufu ambao ni rahisi kupata maudhui yao kwenye mitandao ya kijamii na sehemu nyinginezo.(People in the limelight because it is easier to find their content on social media like YouTube).

Ningependa pia kupata mapendekezo ya vitabu vya kusoma.

Ikumbukwe kuwa kiswahili changu kiko advanced kidogo ila kina mapungufu hapa na pale kwa sababu hapa Kenya kiswahili chetu kiko corrupted kwa hivyo ni rahisi kusahau misamiati kwa kukosa kuzungumza kiswahili sanifu kwa muda.

Nitashukuru sana mkinipata suggestions of the best public speakers to learn from.

Ninashukuru, Mungu aendelee kuibariki Tanzania

Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
Mfuatilie jamaa mmoja anaitwa joram nkumbi nadhani kwa sasa ni muongeajo mzuri wa kiswahili fasaha
 
Mbona kiswahili chako kimenyoo zaidi ya hao waalimu unao watafuta.
 
Mfuatilie jamaa mmoja anaitwa joram nkumbi nadhani kwa sasa ni muongeajo mzuri wa kiswahili fasaha
Yule ni sawa na Pr Lumumba anavyoongea kingereza chake.
Mie nilijifunza lugha kuwa inatakiwa iendane na muktadha. Mamisamati ya Joramu yanafaa kwenye vitabu au nasndiko ya kisom/ academic sio mawasiliano ya kila siku.
Chunguza kingereza kinachoongewa kila siku na wamarekani au waingereza sio kigumu.
Lugha ni chombo cha jawasiliano si chombo cha kujitukuza na kujimwambafai.
Joramu afaa zaidi ktk maandiko si katika kuongea.
Huu ni mtazamo wangu.
 
Huu ndio mtazamo wangu pia...nilipata watu kama Millard Ayo, Chalamila, Kikwete , Lowasa, Ndugai , Palamagambo Kabudi, Zitto Kabwe...lakini pia ninaweza kuwa nina-overestimate wengine kwa sababu kwa hali kawaida watanzania wengi huwa na kiswahili kitamu sana cha kupendeza

Back
Top Bottom