Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,889
Habri wakuu. Kwa wenzetu mtu amaweza kuanzisha kitu na akahitaji donation kwa wale walioguswa kuchangia. Kama vile wana CHADEMA walivyochangia kupata pesa ya faini. Au kama tulivyomchangia Tundu Lissu alipopatwa na yale majanga. Au watu wanapoamua kuichangia yanga.
Lakini nafikiri michango yote hiyo inakuwa haifuati utaratibu wa kisheria.
Naomba kujua ni utaratibu gani wa kufuata ili mtu au taasisi iweze kuomba michango kisheria?
Lakini nafikiri michango yote hiyo inakuwa haifuati utaratibu wa kisheria.
Naomba kujua ni utaratibu gani wa kufuata ili mtu au taasisi iweze kuomba michango kisheria?