Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 12,514
- 23,589
Bwashee umelewa 🤣
Maskini, kumbe kakurithisha ulevi yeye mwenyewe 🤣Ukumbuke mimi sio kijana wa Kwanza wa mama mwenye hela za kujikimu ila tuseme tu mimi nikijana wa mama ninaependa pombe kamayeye😁😁
de pombe de kulewa morning you amka without a sent nigga to conca de family nigga de sing jah rasta farian you die nigga. Drink de liquid wid da common senso my nigga. Afu wewe cku hizi umeanza kunivutisha marijuana mtandaoni but all in all i got you bro.De niga de pombez, welcome de safar here de liquor store
Hahahaha no de budgeting iz my priority mande pombe de kulewa morning you amka without a sent nigga to conca de family nigga de sing jah rasta farian you die nigga. Drink de liquid wid da common senso my nigga. Afu wewe cku hizi umeanza kunivutisha marijuana mtandaoni but all in all i got you bro.
Nipo bwashee nakunywa lager hapa nikalale kesho niwahi kibosho 🤣Bwashee upo😅
Hebu tuwatete kidogo wasikie au unawaogopa?Ulevi wa akili lakini , kuna ndugu zangu wa damu , nahisi na mengine yapo humu🤣
Nakula mapema bwashee nife nikiwa mzito aseeh,,, 🤣Tule pombe bwashee
Ndio maana wakaitwa Hawa hata kama ni mama zetu,😅😅Leo bi mkubwa kanicheki , kakuta naongea kilevi levi kazingua kinouma, nikafanya kumtumia 200k kimya kimya, baada ya muda , akaandika yaani ungekua hapa mwanangu , tungefurahi mno, leo tumechinja kuku mkubwa hatari 🤣
Hahahaha ni ruksa yenu Ila muhakikishe mmemwaga mbege chini angalau inifikie huko bwashee 😂Hahahhaa na tutavimba na mitungi kwenye jeneza lako bwashee 😅
bomboclat nigga conca de liquor safely. Ila ukweli bro mimi mtu kunikataza pombe huyo labda ajipange kwa njia nyingne. Kuna cku familia imekaa ati washauri watu waache pombe nakwambia wale washauri wenyewe walishndwa cha kushauri coz walikuja wakakuta watu wameshalewa tayari na kiburi cha pesa wakaambiwa wageuze mada iwe ni ushauri on how to take childrens to school. Watu tulipiga mikonyagi wao kufika kikaoni wakakuta tunapitisha mchango mtoto arudi shule na wanaotoa pesa ni hao hao walevi. Mbona walichokaHahahaha no de budgeting iz my priority man
Hatare sana mzee,, nadhani starehe nyingi ni mtu anaamua kuingia, na kutoka piabomboclat nigga conca de liquor safely. Ila ukweli bro mimi mtu kunikataza pombe huyo labda ajipange kwa njia nyingne. Kuna cku familia imekaa ati washauri watu waache pombe nakwambia wale washauri wenyewe walishndwa cha kushauri coz walikuja wakakuta watu wameshalewa tayari na kiburi cha pesa wakaambiwa wageuze mada iwe ni ushauri on how to take childrens to school. Watu tulipiga mikonyagi wao kufika kikaoni wakakuta tunapitisha mchango mtoto arudi shule na wanaotoa pesa ni hao hao walevi. Mbona walichoka
yapHatare sana mzee,, nadhani starehe nyingi ni mtu anaamua kuingia, na kutoka pia
Najua huwezi kuogopa bwashee 🤣Oooh hivi unahisi mimi naweza ogopa mtu humu😅
Kuna sk alitukana baada ya kuambiwa yeye ni boynasikia huyo ni adriz anajifanyaga demu😁