Hata mama mzazi?😅Inasemekana mwanamke ukimpa vitu vifuatavyo lazima akugande hata kama hakupendi
Watu wengi hupenda kusema wanawake wa siku hizi wanapenda pesa lakin kiuhalisia si kweli
Je. unataka kujua ni vitu gani vitakavyomfanya akugande bila kumpa hela?
Kama jibu ni ndio basi unatakiwa kujua kuwa wanawak wanapenda hela kuliko kitu chochote kile
Kwa hiyo ww cha kufanya
Kama huna hela mpe pesa
Na kama huna pesa mpe shilling
Ukikosa shilling mpe faranga
Yaani kwa namna yoyote ile tunarudi pale pale wenzetu wanataka hela
Na sijawahi kufika kwenye hiyo hali 😉
Bwashee Vip tena? Mbona jina lako lina rangi ya hatari 😅Wanawake ni Wanawake tu 😁 shosee
🤣Wanawake ni Wanawake tu 😁 shosee
Kumbe upo liveKivipi bwashee sijaelewa
Subiria watu walikuwa na hofu na wewe huenda kombora na iran lilipita na weweNipo bwashee , mbona umeuliza sijawaelea🤔
Unajua kauliza kwa sababu gani?Nipo bwashee , mbona umeuliza sijawaelea🤔
Kuna uzi huko watu wanasherehekea kufuatia na Chizi Maarifa kupigwa ban ila wewe walikuwa wanasikitika sana maana wewe ni mwana siyo sinitchHofu ya nini sasa bwashee
Niliona umekula BAN MangiNipo bwashee , mbona umeuliza sijawaelea🤔