Ila wanawake ni shida sana

Ila wanawake ni shida sana

200K kubadili mood ya maza ni mfano dhaifu sana kuutumia kudhibitisha eti wanawake tunapenda hela sbb
1)Mwanaume gani hatafurahi kupokea 200k toka kwa mwanae awe mlevi au sio mlevi?
2)Mood ya maza imekua nzuri sbb 200k ulutuma inaonesha sindano imekuingia hadi ukaamua uombe msamaha kwa 200k.Mzazi gani asingefurahi?
3)Maza kafurahi kuona pombe bado hazijakufanya wa hovyo coz kuna walevi wananywea hela yote hadi ya kula wanakosa.Hii imempa maza matumaini na Im sure atazidisha dozi hadi uache mipombe yako.
Naombea akimaliza kula huyo kuku akupigie tena aendelee alipoishia😅😁🤸🤸
Naona umempasha mwanetu, kuna wamaza wengine wanajua akianza kutoa vidonge lazima apate shekeli😅
 
Back
Top Bottom