Tulijaribu kukusearch hatukuoni tukawa tushahitimisha tayari kimekulambaMhm sijajua kwa nini kasema hivyo bwashee
Hapana hofu ilitanda bwashee watu wamekuwa wastaarabu ghafla kama ManyanzaMlikua mmevuta bangi bwashee
Haaaaaaaah watu walianza kuwaza watakavyomiss mtu wa kuwapiga biaMliona marue rue , mwezi mpevu huu Bwashee
Nishakutag mkuu kasome page zote utaelewaBangi mbaya bwashee
Tena wanakuwa wazi,Pesa tam, tena kwa wamama wa kichaga ndio kabisa, hapendwi mtu ila pesa yake
Kumbe jana yalitokea mambo mengi kiasi hiki
Test ya mwanamke kwenye pesa ndio inayodetermine aina ya maono yaliyo ndani ya mwanaume anaetaka awe msaidizi wake.Inasemekana mwanamke ukimpa vitu vifuatavyo lazima akugande hata kama hakupendi
Watu wengi hupenda kusema wanawake wa siku hizi wanapenda pesa lakin kiuhalisia si kweli
Je. unataka kujua ni vitu gani vitakavyomfanya akugande bila kumpa hela?
Kama jibu ni ndio basi unatakiwa kujua kuwa wanawak wanapenda hela kuliko kitu chochote kile
Kwa hiyo ww cha kufanya
Kama huna hela mpe pesa
Na kama huna pesa mpe shilling
Ukikosa shilling mpe faranga
Yaani kwa namna yoyote ile tunarudi pale pale wenzetu wanataka hela