Ila Dar, mnapasifiaga bure tu. Hakuna lolote!

Ila Dar, mnapasifiaga bure tu. Hakuna lolote!

Mjini mipango kama bajeti haipo kwenye mipango sioni shida mtu kukukwepa kuja kiwanja ili tu kukufurahisha
Mkuu mimi nikikuita kiwanja ujue all bills on me ila kukwambia icho kitu mapema before hujafika eneo la tukio sahau maana utaspend bila nidhamu
 
Mkuu mimi nikikuita kiwanja ujue all bills on me ila kukwambia icho kitu mapema before hujafika eneo la tukio sahau maana utaspend bila nidhamu
Kibongo bongo ukiona unakwepwa kwenye maswala ya starehe na burudani ujue huna pesa yaani unategemea ulipiwe bills au unakuta unapesa kidogo unawaingiza wengine gharama na watu kama hawa ndio wanaongoza kufacilitate mitoko.

Ila ukiwa unajiweza hakuna mtu anaweza kukukimbia au kukukwepa kwenye starehe
 
Kibongo bongo upo sahihi kabisa mkuu sikupingi hata kidogo
 
Wakati nipo kijijini nilikuwa naambiwa Dar Es Salaam kuna maisha mazuri, fursa ziko nje nje.

Baada ya kumaliza Form 6 nilikuja kuishi huku ili niweze kujitafuta, kwa kweli nilikuta mambo tofauti na nilivyotegemea kwani hata kupata tu hizo fursa lazima uwe na ‘connection’

Kwanza siku nafika, nilipofika stendi, nilikuta watu wengi kiasi kwamba hata kupishana ni shida. Kutoka stendi hadi kwa mwenyeji wangu ilichukua saa tatu kutokana na foleni, huku tukiwa tumesimama kwenye Daladala.

Mji una kelele muda wote, na mitaani kila mtu anakuvuta kununua kitu au anajaribu kukutapeli. Baada ya miezi mitatu nilishindwa, nikarudi mkoani.
Dar inataka ufikiri na utende kwa akili inayoendana nayo,ukitumia fikra na matendo ya ulikotoka Dar lazima iwe ngumu kwako.Darsio mbaya ila mtazamo wako kuhusu Dar ndo mbaya,hapo lazima ulime lami..pole lakini
 
Kibongo bongo ukiona unakwepwa kwenye maswala ya starehe na burudani ujue huna pesa yaani unategemea ulipiwe bills au unakuta unapesa kidogo unawaingiza wengine gharama na watu kama hawa ndio wanaongoza kufacilitate mitoko.

Ila ukiwa unajiweza hakuna mtu anaweza kukukimbia au kukukwepa kwenye starehe
Nna mwanangu mmoja hizi ndio zake anakucheki njoo kiwanja flani ukifika mkanywa baadae muda wa kulipa anatoa macho kama kabanwa na mlango. Siku hizi akinicheki nampotezea kwanza humkuti mwenyewe yani hela yangu alewee na madem zake.
 
Kuna watu magari hawana ila pesa wanazo. Magari siku hizi yapo hadi ya chini ya 3m ni maamuzi tu sidhani kama kumiliki gari ni kuwa na pesa nyingi.

Mimi binafsi kama hatuna uhusiano wa karibu hata kama ni ndugu sikutani nae.
Ukikua utajifunza kuwa karibu na ndugu, kama ushakua mkubwa set ego aside let love lead we live once 🤝
 
Ukiona hivyo ujue washashtuka wewe Mporipori.
Unaumwa wewe ,nana asiyerushiwa nguo ,Dar nimekaa kabla sana ,nimesoma hapo ila pale Karume Big No.

Pale karume nilikuwa nakwenda kwa sababu ya mafundi fulani ,walikuwa wanakaa vibanda vya kati kati huko ,ni wasambaa wenzangu ila nguo za mtumba sikuwa na shobo nazo ...Wanakaa vibanda vya ndani huko karibu na migahawa ya mama ntilie
.Kipind fulani ,niliongea nao wakasema eneo lao liliungua na moto pamoja na vibanda vya jirani.

Nimieshi Dar hsa uswahili ,ule ufala wao wa kurushia nguo ni lazima labda usipitie usawa ule kwa kutembea . Manzese hiyo yote nakatiza mida mpaka usiku naibukia mabibo sokoni hapo .
 
Nna mwanangu mmoja hizi ndio zake anakucheki njoo kiwanja flani ukifika mkanywa baadae muda wa kulipa anatoa macho kama kabanwa na mlango. Siku hizi akinicheki nampotezea kwanza humkuti mwenyewe yani hela yangu alewee na madem zake.
Watu kama hao nikuwakwepa tu. Unakuta weekend Ijumaa au jmosi wako active. Yaani mimi sipokei simu kabisa hata salam sijibu sitoi hata hiyo room yakuniambia twende kiwanja.
Kwa sababu unakuta nilishajua nini anataka kunambia
 
Back
Top Bottom