Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,524
- 8,894
Pole sana ishi pale unapopafurahia.
Kikubwa umeelewa mkuu.Umejibu swali?
Mshamba hachekwi
Mbweni, Masaki, Bahari beach, makongo juu iliyoungana na goba sehem kibao.. ila namaanisha uwe na pesa utapata access ya Kila kitu me nmefanya kazi apo karibia na Le Grande casino town kabisa wenyewe wanaita Manhattan ya bongo watu wana pesa Mzee acha.Mkuu uwe na pesa halafu uisha dar….are you fuckin seriously,labda kibada.
Niko pamoja na wewe,ila kusema dar sio pazuri ni uongo labda baadhi ya maeneo,japo kwa asilimia kubwa Dar ni pabaya tuache unafki.Japo pesa inaweza kufanya jambo lolote,Swali unaweza kulipa $7,000 per month kisa nyumba?KAMA HUWEZI BADO DAR NI MBAYA KWA SABABU UTAISHI SEHEMU ZENYE KERO TU.Mbweni, Masaki, Bahari beach, makongo juu iliyoungana na goba sehem kibao.. ila namaanisha uwe na pesa utapata access ya Kila kitu me nmefanya kazi apo karibia na Le Grande casino town kabisa wenyewe wanaita Manhattan ya bongo watu wana pesa Mzee acha.
Kuna watu wamepangsha apartment twin towers juu kule Kodi $7000 kwa mwezi tena mbongo huyo utaanzaje mwambia dar pabaya view yake tu prosperity therapy inajitosheleza kwenye parking spaces brabus za kutosha.
Mjini mipango kama bajeti haipo kwenye mipango sioni shida mtu kukukwepa kuja kiwanja ili tu kukufurahishangoja waje kukushambulia. Mimi nilishahama huwa nakuja tu kula bata cha ajabu unakuta mtu anamiliki gari na watu kwa nje wanamuona ana hela ila ukimtajia kiwanja ulichopo aje mjumuike pamoja visingizio kibao mpaka huruma kumbe anaogopa gharama 🤣
Mkoa gani mzuri? elezea na uzuri wakeNiko pamoja na wewe,ila kusema dar sio pazuri ni uongo labda baadhi ya maeneo,japo kwa asilimia kubwa Dar ni pabaya tuache unafki.Japo pesa inaweza kufanya jambo lolote,Swali unaweza kulipa $7,000 per month kisa nyumba?KAMA HUWEZI BADO DAR NI MBAYA KWA SABABU UTAISHI SEHEMU ZENYE KERO TU.
Kwa ufupi sioni mkoa wa kuulinganisha na Arusha kwa makazi.Mkoa gani mzuri? elezea na uzuri wake
Elezea uzuri wake ukiachana na hali ya hewa, Arsuha haifui dafu hata kwa Mwanza na Mbeya... Nmetembea mikoa karibu yote na me ni mzaliwa wa lake zone naipenda mwanza damuni ila Mbeya kimakazi ni mwisho wa reli. Usije kua unasema kisa tu kwenu huko.Kwa ufupi sioni mkoa wa kuulinganisha na Arusha kwa makazi.
Huenda vitu unavyovipenda wewe mimi sivipendi kikubwa wote hatuielewi Dar kimakazi.Elezea uzuri wake ukiachana na hali ya hewa, Arsuha haifui dafu hata kwa Mwanza na Mbeya... Nmetembea mikoa karibu yote na me ni mzaliwa wa lake zone naipenda mwanza damuni ila Mbeya kimakazi ni mwisho wa reli. Usije kua unasema kisa tu kwenu huko.
Au kisotaUmeshafika kibada?
Ukiona hivyo ujue washashtuka wewe Mporipori.Dar upumbavu ni mwingi sana, pale karume mpaka kwenye nguo za mtumba kuna madalali ..Wajinga ,ukipita pale wanakurushia nguo .
Kwani kumiliki gari ni ishara ya kuwa na uwezo kifedha?ngoja waje kukushambulia. Mimi nilishahama huwa nakuja tu kula bata cha ajabu unakuta mtu anamiliki gari na watu kwa nje wanamuona ana hela ila ukimtajia kiwanja ulichopo aje mjumuike pamoja visingizio kibao mpaka huruma kumbe anaogopa gharama 🤣
Hujawahi kuwa serious 😄😄😄Mtu yoyote timamu hawezi kuishi dar.
Muda wote mbunye inafuka joto huwezi kupata hata hamu ya kukalia muwa.
Sisi wenye ugwadu tunateseka sana. Mbunye zetu zinapata tabu.
Mbeya nimeishi, kuna raha gani kule?Elezea uzuri wake ukiachana na hali ya hewa, Arsuha haifui dafu hata kwa Mwanza na Mbeya... Nmetembea mikoa karibu yote na me ni mzaliwa wa lake zone naipenda mwanza damuni ila Mbeya kimakazi ni mwisho wa reli. Usije kua unasema kisa tu kwenu huko.
Yaani ngumu sana mtu kuuelewa huu mji, hadi utakapoamishiwa Kikazi Nkasi au Maswi uko.Tuache kaka