dar imejaa fursa nyingi sana...anzia magogoni mpaka mabibo soko la ndizi, dar haihitaji mabishoooo.....Wakati nipo kijijini nilikuwa naambiwa Dar Es Salaam kuna maisha mazuri, fursa ziko nje nje.
Baada ya kumaliza Form 6 nilikuja kuishi huku ili niweze kujitafuta, kwa kweli nilikuta mambo tofauti na nilivyotegemea kwani hata kupata tu hizo fursa lazima uwe na ‘connection’
Kwanza siku nafika, nilipofika stendi, nilikuta watu wengi kiasi kwamba hata kupishana ni shida. Kutoka stendi hadi kwa mwenyeji wangu ilichukua saa tatu kutokana na foleni, huku tukiwa tumesimama kwenye Daladala.
Mji una kelele muda wote, na mitaani kila mtu anakuvuta kununua kitu au anajaribu kukutapeli. Baada ya miezi mitatu nilishindwa, nikarudi mkoani.
Hakuna sehemu yoyote Tanzania penye kitu cha bureMaana Kila kitu,pesa.
Matapeli wengi sanadar imejaa fursa nyingi sana...anzia magogoni mpaka mabibo soko la ndizi, dar haihitaji mabishoooo.....
T.R.A yao hapo ni 90,000Nchi ya Tanzania ina wakazi milioni 62+ kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya 2022
DSM pekee, ina wakazi milioni 8+
Ukiweza kubuni biashara ya kuweza kuwafikia wateja 200 pekee kwa siku, hukosi kulaza shilingi 100,000 iwapo utakuwa unazalisha faida ya shilingi 500 kwa siku
Karibu tena DSM
Sio kweli Mkuu, labda hiyo 90,000 upangiwe kulipa kwa mwakaT.R.A yao hapo ni 90,000
Pamoja na yote, huko Dar natamani sana siku moja nami nifike, kila nikipaona dar kwa tv hua navutiwa napo sana. Kuna mahali Naskia panaitwa koko beach watu hufika hapo kupoza mwili, itakuwa ndo sehemu ya kwanza kwenda
🤝Mkuu. Mm pia sijafika Dar.
ukiwa unaenda Dar naomba niambie tujumuike wote.
Ila kuna kibada ile ya kifulukwe....mmmh hapana!Mkuu uwe na pesa halafu uishk dar….are you fuckin seriously,labda kibada.
Hapama mkuu.We jamaa Una Chuki na Watu wa dar