Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 6,956
- 11,783
Kijana umetoka kijijini kelele nyingi .Unazidi Kuthibitisha kwanini Urushiwe nguo.
Maelezo meeengi kujitetea uonekane mjanja.
Pita tena uone kama hawakurushii nguo mporpori wewe.
Kijana umetoka kijijini kelele nyingi .Unazidi Kuthibitisha kwanini Urushiwe nguo.
Maelezo meeengi kujitetea uonekane mjanja.
Pita tena uone kama hawakurushii nguo mporpori wewe.
Kumbe msambaa ndo maana walikuwa wanakurushia mkuu.Unaumwa wewe ,nana asiyerushiwa nguo ,Dar nimekaa kabla sana ,nimesoma hapo ila pale Karume Big No.
Pale karume nilikuwa nakwenda kwa sababu ya mafundi fulani ,walikuwa wanakaa vibanda vya kati kati huko ,ni wasambaa wenzangu ila nguo za mtumba sikuwa na shobo nazo ...Wanakaa vibanda vya ndani huko karibu na migahawa ya mama ntilie
.Kipind fulani ,niliongea nao wakasema eneo lao liliungua na moto pamoja na vibanda vya jirani.
Nimieshi Dar hsa uswahili ,ule ufala wao wa kurushia nguo ni lazima labda usipitie usawa ule kwa kutembea . Manzese hiyo yote nakatiza mida mpaka usiku naibukia mabibo sokoni hapo .
🤣🤣🤣🤣Sasa umeenda keko machungwa unadhani utaona raha ya Dar 😀😀😀😀
Hapa kwenye Arusha umetupiga. Chuga ya kawaida tu.Kwa ufupi sioni mkoa wa kuulinganisha na Arusha kwa makazi.
Hahah ukikutan na hali hii huku umechoka unaweza kulia hadi machoz🤣iKwanza siku nafika, nilipofika stendi, nilikuta watu wengi kiasi kwamba hata kupishana ni shida. Kutoka stendi hadi kwa mwenyeji wangu ilichukua saa tatu kutokana na foleni, huku tukiwa tumesimama kwenye Daladala
Kwa hiyo unataka utoke porini huku uje kutumbua pesa za wenzako? Dar watu wanaishi kwa mahesabu sio uroke na ushamba wako huko uje kututishangoja waje kukushambulia. Mimi nilishahama huwa nakuja tu kula bata cha ajabu unakuta mtu anamiliki gari na watu kwa nje wanamuona ana hela ila ukimtajia kiwanja ulichopo aje mjumuike pamoja visingizio kibao mpaka huruma kumbe anaogopa gharama 🤣
Mimi mwenyewe nimeshangaa asee...Wee nae ndo hamna kabisa arusha hii hii au kuna arusha ya taifa jingine?
We jamaa Una Chuki na Watu wa darNipo dar.ukweli pazuri ni masaki,salasala na mbweni tu.Sasa imagine mtu anaishi tandale,manzese,magomeni,kawe na mbulahati.
Kwa wanawake sasa ni wananuka midomo kwa kauli chafu na wanavitembeza kwa kugawa ngwengwe kama taasisi za misaada,na ndio maana watoto wengi wanaolelewa kwenye mji huu ni laana tu.
Ila Dar, mnapasifiaga bure tu. Hakuna lolote!Wakati nipo kijijini nilikuwa naambiwa Dar Es Salaam kuna maisha mazuri, fursa ziko nje nje.
Baada ya kumaliza Form 6 nilikuja kuishi huku ili niweze kujitafuta, kwa kweli nilikuta mambo tofauti na nilivyotegemea kwani hata kupata tu hizo fursa lazima uwe na ‘connection’
Kwanza siku nafika, nilipofika stendi, nilikuta watu wengi kiasi kwamba hata kupishana ni shida. Kutoka stendi hadi kwa mwenyeji wangu ilichukua saa tatu kutokana na foleni, huku tukiwa tumesimama kwenye Daladala.
Mji una kelele muda wote, na mitaani kila mtu anakuvuta kununua kitu au anajaribu kukutapeli. Baada ya miezi mitatu nilishindwa, nikarudi mkoani.
SawaKwa hiyo unataka utoke porini huku uje kutumbua pesa za wenzako? Dar watu wanaishi kwa mahesabu sio uroke na ushamba wako huko uje kututisha
Dar haina mfano hata msemeje, wapori wapori wote wanakimbilia Dar ila swala la udalli ni la hovyo Sana, kila mtu anataka kujifanya mjanjaDar upumbavu ni mwingi sana, pale karume mpaka kwenye nguo za mtumba kuna madalali ..Wajinga ,ukipita pale wanakurushia nguo .
Dar ni Singapore tanzaniaDar usipokuwa na Hela ni mateso.ukiwa na Hela uta enjoy.
Hawana maisha hao; bado wanajitafuta.Dar haina mfano hata msemeje, wapori wapori wote wanakimbilia Dar ila swala la udalli ni la hovyo Sana, kila mtu anataka kujifanya mjanja
Maana Kila kitu,pesa.Dar ni Singapore tanzania
Huo mji una wenyewe,ni mji uliojaa hekaheka nyingi sana,cha muhimu pamoja na mteso na hekaheka nyingi mwisho wa siku mtu anarudi kwake na pesa,kwahiyo focus yako iwe kwenye pesa zaidi ndio utaweza kuishi kwa raha...Wakati nipo kijijini nilikuwa naambiwa Dar Es Salaam kuna maisha mazuri, fursa ziko nje nje.