Ila Dar, mnapasifiaga bure tu. Hakuna lolote!

Ila Dar, mnapasifiaga bure tu. Hakuna lolote!

Bora niendelee kukaa moshi na Arusha where the wild things are kulikoni uko mnasema bongo.

Dar ni mji ambao ulinishinda pia kelele zipo pale hakuna mfano.

Everything is fuckinngg boring right there.
 
Unaumwa wewe ,nana asiyerushiwa nguo ,Dar nimekaa kabla sana ,nimesoma hapo ila pale Karume Big No.

Pale karume nilikuwa nakwenda kwa sababu ya mafundi fulani ,walikuwa wanakaa vibanda vya kati kati huko ,ni wasambaa wenzangu ila nguo za mtumba sikuwa na shobo nazo ...Wanakaa vibanda vya ndani huko karibu na migahawa ya mama ntilie
.Kipind fulani ,niliongea nao wakasema eneo lao liliungua na moto pamoja na vibanda vya jirani.

Nimieshi Dar hsa uswahili ,ule ufala wao wa kurushia nguo ni lazima labda usipitie usawa ule kwa kutembea . Manzese hiyo yote nakatiza mida mpaka usiku naibukia mabibo sokoni hapo .
Mbona hata Mwandiko wako unasadiki kurushiwa nguo.
 
Wakati nipo kijijini nilikuwa naambiwa Dar Es Salaam kuna maisha mazuri, fursa ziko nje nje.

Baada ya kumaliza Form 6 nilikuja kuishi huku ili niweze kujitafuta, kwa kweli nilikuta mambo tofauti na nilivyotegemea kwani hata kupata tu hizo fursa lazima uwe na ‘connection’

Kwanza siku nafika, nilipofika stendi, nilikuta watu wengi kiasi kwamba hata kupishana ni shida. Kutoka stendi hadi kwa mwenyeji wangu ilichukua saa tatu kutokana na foleni, huku tukiwa tumesimama kwenye Daladala.

Mji una kelele muda wote, na mitaani kila mtu anakuvuta kununua kitu au anajaribu kukutapeli. Baada ya miezi mitatu nilishindwa, nikarudi mkoani.
Ulikutana na misukile!Afadhali kama ulirudi nyumbani kwenu salama.
 
Anayepasifia Dar atakuwa Mwehu au atakuwa ametoka SITIMBI ndani ndani.

Dar % kubwa haijapangika ,hauwezi kuwa na mji mzuri ukiwa na 90% SKWATA...na ndiyo maana kuna slums za kutosha na jiji linanuka VIMA na mitakataka kibao barabarani ,mitaro imejaa mimaji michafu na majani kibao ,barabara pembezeno michanga inataka kufika hadi centre ya barabara.

Ningepata nafasi ya kuongoza TZ hata mwaka tu ,nchi ingekuwa kama Rwanda kwa usafi....Ningefunga watu jela kwa kukiuka sheria za usafi.....Ningeanza na mitaani nyumba yako haitakiwi iwe imezungukwa na mauchafu au mijani isiyoeleweka na uchafu unaweka kwenye Pipa gari za taka zitakuja kuzoa....Gharama ni za serikali.
Akili za akina chalamila hizi mnawaza kuwaumiza watu tuu
 
Akili za akina chalamila hizi mnawaza kuwaumiza watu tuu
Kuumiza kivipi? Sheria zinatungwa kuweka watu sawa ,zitungwe sheria za usafi mtu akikiuka ni fine kali,kifungo au vyote kwa pamoja ,ni kama sheria za jinai wizi ,kuua ,kubaka ,ugaidi etc

Zitengwe sehemu maalamu za wafanyabiashara wadogo hata kama ni road basi iwe sehemu ambayo ni salama kwao pia ,siyo kama wanavyofanya kwasasa hata kati kati ya barabara watandika gunia wanauza biadhaa ,wakimaliza mauchafu wanatupa kwenye mitaro ,hatuwezi kwenda hivyo kienyeji.
 
Huwezi kufikiria njia za kidemokrasia zaidi ya mafaini na miadhabu inayotumika na wala rushwa kupiga pesa
 
Wakati nipo kijijini nilikuwa naambiwa Dar Es Salaam kuna maisha mazuri, fursa ziko nje nje.

Baada ya kumaliza Form 6 nilikuja kuishi huku ili niweze kujitafuta, kwa kweli nilikuta mambo tofauti na nilivyotegemea kwani hata kupata tu hizo fursa lazima uwe na ‘connection’

Kwanza siku nafika, nilipofika stendi, nilikuta watu wengi kiasi kwamba hata kupishana ni shida. Kutoka stendi hadi kwa mwenyeji wangu ilichukua saa tatu kutokana na foleni, huku tukiwa tumesimama kwenye Daladala.

Mji una kelele muda wote, na mitaani kila mtu anakuvuta kununua kitu au anajaribu kukutapeli. Baada ya miezi mitatu nilishindwa, nikarudi mkoani.
Dsm ni kwa ajili ya wajanja, we kiswahili chenyewe shida utapewa mchongo gani.
 
Wakati nipo kijijini nilikuwa naambiwa Dar Es Salaam kuna maisha mazuri, fursa ziko nje nje.

Baada ya kumaliza Form 6 nilikuja kuishi huku ili niweze kujitafuta, kwa kweli nilikuta mambo tofauti na nilivyotegemea kwani hata kupata tu hizo fursa lazima uwe na ‘connection’

Kwanza siku nafika, nilipofika stendi, nilikuta watu wengi kiasi kwamba hata kupishana ni shida. Kutoka stendi hadi kwa mwenyeji wangu ilichukua saa tatu kutokana na foleni, huku tukiwa tumesimama kwenye Daladala.

Mji una kelele muda wote, na mitaani kila mtu anakuvuta kununua kitu au anajaribu kukutapeli. Baada ya miezi mitatu nilishindwa, nikarudi mkoani.
Huu nao ni uongo. Dar ni kubwa na watu wenye maisha mazuri wapo, mitaa ya kimya ipo
Huwezi kuishi Tandale na kupondea Dar nzima. I don't think Tanzanians understand how big Dar es Salaam is. Wengi wanaoishi uswahilini wanadhani Dar nzima ndio wanaishi kama wao kwa hiyo wanajudge Dar nzima kupitia maisha yako waliyoyaishi Tandale kwa Mkunduge. Maisha yako yanarevolve mitaa ya kimasikini halafu unalaumu Dar

Watanzania wanapaswa waelewe Dar ni zaidi ya mazingira ya Uswahilini wanakofikia. Luxury zipo, mitaa ya kimya ipo na maisha mazuri pia yapo
 
Nipo dar.ukweli pazuri ni masaki,salasala na mbweni tu.Sasa imagine mtu anaishi tandale,manzese,magomeni,kawe na mbulahati.

Kwa wanawake sasa ni wananuka midomo kwa kauli chafu na wanavitembeza kwa kugawa ngwengwe kama taasisi za misaada,na ndio maana watoto wengi wanaolelewa kwenye mji huu ni laana tu.
Mbweni, Salasala, Masaki, Oyster bay, Goba Mpakani, Goba Half London, Mbezi Beach, Mbezi kwa Zena, Mikocheni na maeneo mengi tu
 
Kila mji una watu wake😄, utulivu wa ubongo haupo dar, yaani utaona nyotanyota kichwani ...zile kelele za Kila aina🤣🤣🤣. Kama wewe ni staarabu sana jiandae kupata usumbufu wa Kila aina labda ukae nyumbani kwako usitoke
 
Watu kama hao nikuwakwepa tu. Unakuta weekend Ijumaa au jmosi wako active. Yaani mimi sipokei simu kabisa hata salam sijibu sitoi hata hiyo room yakuniambia twende kiwanja.
Kwa sababu unakuta nilishajua nini anataka kunambia
NI moja kati ya tabia za hovyo sana. Mimi nikiwa vibaya mfukoni hayo maeneo sisogei. Alafu yeye mgumu sana hata akiwa na hela. Hiyo siku niliclear bill TSH 164K yeye anatoa macho tu na kubaki kuwaambia madem zake kesho tena.
 
Wajanja gani jiji linanuka mavi kona zote!

Nikiendaga dar navaa barakoa.
Shemeji , ujanja ulionao nikajua ukogo Mjini.

Dar ni pazur, hasa pembezoni mwq mji.

Kwahiyo inategemea unakaa/umefikia wapi.
Sasa mtu umefikia katikati ya mji. Uswekeni fulani hivi na pia mishe zao unafanya sehem yenye mijumuiko ya watu wengi. Lazima ukutane na makelele, maji machafu, miundombinu hafifu.
Na ni lazima upaone Dar pabaya.

Kiufupi sehemu kama Manzese, buguruni, kawe, magomeni, kigogo, mabibo, ilala, temeke, vingunguti, mbagala yote, tandika ,Changombe.
Wengi wanaishi watu wa kipato cha chini.

Kwahiyo Usiconclude kuwa Dar yote iko hivyo. Au kuko hivyo.

Na miji Mingi iko hivi.
Unakuta kuna msongamano mkubwa wa makazi ya watu karibia na mjini. Na hauwez kukuta kuna maisha mazuri.
Ni watu tu wanajibanza ili wakiamka wakapambane mjini na iwe karibu kwao.
Ila pembezoni mwa mji ndio kumejengeka na kunakuwa na miundo mbinu mizuri.

Sasa pembezoni mwa mji wa Dar utapafananisha na mji gan hapa TZ?.

Siku moja pata wasaa uende Masaki na Osterbay. Uone watu wanavyoishi. Alaf uende Mbweni.
 
Back
Top Bottom