itwaaky

JF-Expert Member
May 21, 2021
201
225
Yaani eneo ambalo limejaza foreign embassies.

Eneo ambalo ni residential area

Njia ambayo inaunganisha city na suburbs god knows si ajabu karibu magari 1 yanapita hiyo barabara.

Tukio ambalo limegueza what a quite area into a temporary war zone.

Tukio ambalo unaona yule jamaa angeamua kuifyatulia ile daladala ambalo ilikuwa mbele yake god knows wangekufa wangapi

Tukio ambalo limeua polisi watatu in the line of duty; tena polisi wanaopelekwa on the firing line bila ya bullet proof vests.

Tukio ambalo watanzania wa nje na ndani ya nchi, nchi majirani wanalijadili na international news.

Halafu habari ya Ikulu ni raisi alikuwa anaongea na Raila Odinga; hata huko kenya hiyo sio news kwao, ila tukio la Dar itakuwa habari huko kwao..

Raisi hana muda wa kuzifariji ata hizo familia za askari waliopeteza maisha; something is amiss with you if you think it’s OK.
Amesha zifariji, alafu sikia kwa mashuhuda tukio lilivyotokea
 
Kilatha

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
4,172
2,000
Ameshatoa pole masaa ma 4 yaliyopita, uwe unafuatilia kabla hujalalamika
Well Ikulu aikutakiwa kuipa priority habari ya raisi kukutana Odinga.

Swala sio kutoa pole she is supposed to comfort the nation na kuwapa raia assurance.

Sio kutuambia alikuwa na Odinga wakati hundreds of lives were at risk jamaa kama angeamua kufanya madhara.

Halafu wao wanatuambia mama alikuwa na Odinga wakati oysterbay ilikuwa war zone mchana in the rush hour.
 
itwaaky

JF-Expert Member
May 21, 2021
201
225
Well Ikulu aikutakiwa kuipa priority habari ya raisi kukutana Odinga.

Swala sio kutoa pole she is supposed to comfort the nation na kuwapa raia assurance.

Sio kutuambia alikuwa na Odinga wakati hundreds of lives were at risk jamaa kama angeamua kufanya madhara.

Halafu wao wanatuambia mama alikuwa na Odinga wakati oysterbay ilikuwa war zone mchana in the rush hour.
Mbona ameshatoa yeye mwenyewe pole, na aliitoa masaa manne kabla taarifa ya oding haijawekwa mitandaoni

Tukio lenyewe hili apa sikiliza mashuhuda
 
Kilatha

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
4,172
2,000
Amesha zifariji, alafu sikia kwa mashuhuda tukio lilivyotokea

Put it this way raisi angekuwa na mshauri mzuri wa siasa na communication office yenye wataalamu.

Yeye leo kukutana na Odinga was not newsworthy, kutokana ‘major incident’ iliyotokea.
 
Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
7,812
2,000
Seriously hawa jamaa wa mamlaka ya teuzi waanze kuwaangalia diaspora kwenye nafasi serikalini.

Yaani nchi imepatwa na ‘major incident’ ey polisi watatu wamepoteza maisha, mlinzi mmoja na gaidi (or some crazy gunman) alieuliwa.

Jambo limetokea mchana kweupe, kiongozi wa nchi badala ya kulifariji jeshi la polisi na kutoa pole kwa wafiwa, habari muhimu kutoka Ikulu ni raisi kukutana na Kiongozi wa upinzani kutoka Kenya.

Hivi viazi wengine wanafikaje kuwa mpaka washauri wa raisi wa maswala ya siasa.

Muda wa ku comfort wafiwa na kutoa assurance this is an isolated incident wanatuambia wakati watu wanatupiana risasi mbele ya kadamnasi raisi alikuwa ana chat someone who is a nobody na hiyo ndio habari muhimu kwao.
Diaspora wana umuhimu mkubwa,mimi binafsi pa1 na elimu yangu finyu lakini ukinipa udc wa dar tu ndani mwezi huwezi kuona taka hata ya mbegu ya chungwa mitaani,hao wasomi wenu wa huko mnaowapa nyadhifa ni mazezeta wasio na mfano
 
Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
4,409
2,000
Unamfananisha Odinga na hawa wapinzani wasaka tonge wa TZ? Odinga ni mwanasiasa mashuhuri zaidi A. Mashariki na kati, anahitaji heshima yake!! TZ hamna upinzani serious wa Rais kubother kukutana nao, wapinzani wa TZ ni wa kuwapuuza
Akili zako zinafanana na mwanangu mwenye miaka 5.
 
Kilatha

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
4,172
2,000
Diaspora wana umuhimu mkubwa,mimi binafsi pa1 na elimu yangu finyu lakini ukinipa udc wa dar tu ndani mwezi huwezi kuona taka hata ya mbegu ya chungwa mitaani,hao wasomi wenu wa huko mnaowapa nyadhifa ni mazezeta wasio na mfano
Mtu anashindwa ata kuona raisi anatakiwa kuonyesha compassion kwa tukio; yeye anaona ni sawa kwenda kukutana na Raila in the middle of chaos.

Huko kwa wakuu wa wilaya wala usiangaike kumejaa vimeo hatari.

Siasa za wilaya zipo kwenye vikao vya halmashauri. Madiwani ndio wanajua nini kinahitajika kwenye kata zao, nini kimetokea, ubishano wa kupanga matumizi; etc.

Mkuu wa wilaya clueless nini kinaendelea huko unakuta wenzake wanalalamikia ardhi ambayo imetolewa bila ya wao kuridhia yeye yupo busy na mambo tofauti kabisa na current issues za wilaya yake mbele ya camera.

Well kupanga operation strategy yakuokota taka is not easy as you think kwa mtu mwenye elimu ya juu juu.There are a lot of things to consider kwenye masomo ya biashara operation planning and operation management ndio modules ngumu.
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
14,040
2,000
Unamfananisha Odinga na hawa wapinzani wasaka tonge wa TZ? Odinga ni mwanasiasa mashuhuri zaidi A. Mashariki na kati, anahitaji heshima yake!! TZ hamna upinzani serious wa Rais kubother kukutana nao, wapinzani wa TZ ni wa kuwapuuza
Odinga ambaye yupo tayari amwage damu za wakenya ili tu aendelee kula keki ya taifa
 
Coach Slamah Hamad

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
1,930
2,000
Nchi kuongozwa na ubavu... Hapana asee Mungu hakuumba mwanamke ili kutawala bali kumsaidia mwanaume!! Bustani ya Eden hakukabidhiwa mwanamke ni mwanaume na sikwamba Mungu alijisahau.

Tunaomba (mimi na wengine kama mimi) ushahidi wa makabidhiano kati ya Mungu na “mwanaume” juu ya makabidhiano ya mwanaume kwa Eden and after!

Pls Chief....
 
Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
12,201
2,000
Uhuru na Raila wapo pamoja......
ama ww upo usingizi mzito
Hivi nyie idiots mnaishi kwenye misitu ya wapi?
Hivi kweli hujui kwamba Rais wa Kenya ni Uhuru Muigai Kenyatta na Makamo wake ni William Kipchirchir Samoei Arap Ruto?
Je hujui kwamba Raila Amolo Odinga ni kiongozi tu wa upinzani kama alivyo Mbowe?
Halafu Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anamkaribisha Ikulu kiongozi wa Upinzani nchini Kenya huku hapa nyumbani anambambikizia kesi ya ugaidi Kiongozi wa Upinzani Freeman Aikaeli Mbowe, Mtanzania mwenzake.
On top of that kakataa katakata kukutana na upinzani hapa nyumbani akidai kwa sasa yuko bize anajenga uchumi na kupiga siasa marufuku. What is wrong with you?
 
akilinene

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
341
250

Ndiyo mjue umuhimu wa kufanya upinzani wa kistarabu na siyo ugaidi
 
Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
12,201
2,000
Ndiyo mjue umuhimu wa kufanya upinzani wa kistarabu na siyo ugaidi
Usiwe mpumbavu, sisi bado tunaishi tu kama wanyama wa porini...hebu shuhudia;

Raila1.png

Hapo juu Raila mgombea wa upinzani akijiapisha Urais mbele ya halaiki baada ya kukataa kuyatambua matokeo ya uchaguzi ambapo Uhuru alitangazwa mshindi na tume ya uchaguzi nchini humo.

Raila2.png

Pamoja na hilo bado Rais Uhuru aliweza kukutana na Raila na kusalimiana hila chuki wala chokochoko. Je hali kama hii ingeweza kutokea Tanzania bila risasi kurindima na kusababisha vifo visivyo na hesabu?

Huku ndiko kukomaa kisiasa baada ya Kenya kupata Katiba mpya. Serikali ya Uhuru haikuingilia na Raila baada ya kuapishwa alirudi nyumbani kwake na hakukuwa na taharuki yoyote na maisha yakaendelea. Tatizo lenu nyie products za mikesha ya mwenge ni ujinga uliopitiliza ambao ndio mtaji wa CCM. Eti Mbowe ni gaidi!
 
akilinene

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
341
250
Usiwe mpumbavu, sisi bado tunaishi tu kama wanyama wa porini...hebu shuhudia;

View attachment 1908560

Hapo juu Raila mgombea wa upinzani akijiapisha Urais mbele ya halaiki baada ya kukataa kuyatambua matokeo ya uchaguzi ambapo Uhuru alitangazwa mshindi na tume ya uchaguzi nchini humo.

View attachment 1908561

Pamoja na hilo bado Rais Uhuru aliweza kukutana na Raila na kusalimiana hila chuki wala chokochoko. Je hali kama hii ingeweza kutokea Tanzania bila risasi kurindima na kusababisha vifo visivyo na hesabu?

Huku ndiko kukomaa kisiasa baada ya Kenya kupata Katiba mpya. Serikali ya Uhuru haikuingilia na Raila baada ya kuapishwa alirudi nyumbani kwake na hakukuwa na taharuki yoyote na maisha yakaendelea. Tatizo lenu nyie products za mikesha ya mwenge ni ujinga uliopitiliza ambao ndio mtaji wa CCM. Eti Mbowe ni gaidi!
Nenda kajifunze vizuri siasa za Kenya. Hujaijua bado. Ina mabaya mengi kuliko unayofikiri ni mazuri
 
kijana13

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
1,460
2,000
Ruto hawezi kuwa Raisi..kwa hesabu ya haraka haraka ya ukabila Kenya ...Raila akiendelea kushikana hivi na Uhuru Kenyatta Basi ndie Raisi....thuswhy ktk Vita zote za maneno rutto Yuko cool Sana na humble kutokorofishana na Uhuru kabisa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
ras jeff kapita

JF-Expert Member
Jan 4, 2015
12,638
2,000
Hivi nyie idiots mnaishi kwenye misitu ya wapi?
Hivi kweli hujui kwamba Rais wa Kenya ni Uhuru Muigai Kenyatta na Makamo wake ni William Kipchirchir Samoei Arap Ruto?
Je hujui kwamba Raila Amolo Odinga ni kiongozi tu wa upinzani kama alivyo Mbowe?
Halafu Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anamkaribisha Ikulu kiongozi wa Upinzani nchini Kenya huku hapa nyumbani anambambikizia kesi ya ugaidi Kiongozi wa Upinzani Freeman Aikaeli Mbowe, Mtanzania mwenzake.
On top of that kakataa katakata kukutana na upinzani hapa nyumbani akidai kwa sasa yuko bize anajenga uchumi na kupiga siasa marufuku. What is wrong with you?
Upo nyuma sana!?
hebu ji update
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom