Baadhi ya wenyeji wa Dar wamebaki kupiga mdomo na kuwaponda vijana wachapa kazi waliotoka mikoani

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
Baadhi ya wenyeji wa Dar wamebaki kupiga mdomo na kuwaponda vijana wachapa kazi waliotoka mikoani kuja kwa lengo moja tu, KUTAFUTA MAISHA.

Kauli zao baadhi ya wazaliwa wa dar:

- Huyu jamaa pamoja na kwamba ana vihela hela lakini bado ana kaushamba fulani hivi ka mkoani.

- Kuendesha gari kwenyewe amejifunzia ukubwani.

- anajifanya na yeye ana hela anatutimulia vumbi na kigari chake

- Anakula mademu wakali kwa sababu wanamuona fala

- Kigari chenyewe ameshikishwa kwa sababu ya ushamba wake
 
Wamebaki kupiga mdomo na kuwaponda vijana wachapa kazi waliotoka mikoani kuja kwa lengo moja tu, KUTAFUTA MAISHA.

Kauli zao sasa:

- Huyu jamaa pamoja na kwamba ana vihela hela lakini bado ana kaushamba fulani hivi ka mkoani.

- Kuendesha gari kwenyewe amejifunzia ukubwani.

- anajifanya na yeye ana hela anatutimulia vumbi na kigari chake

- Anakula mademu wakali kwa sababu wanamuona fala

- Kigari chenyewe ameshikishwa kwa sababu ya ushamba wake
Mkoa gani wanaongea Hivyo? Sidhani mikoa mingi mgeni akiendelea wenyeji wanamhesimu ila kwao alikotoka ndio waweza toa maneno hayo uliyoandika ya kumdharau.Mgeni akifanikiwa ugenini mikoa isiyo yake anaheshimiwa Sana wewe mwongo Tena mkubwa
 
Kuna na mikoa baadhi ya watu wake ni wavivu
Sawa Lakini wanaheshimu Sana mgeni aliyefanikiwa hawamdharau hata siku moja utasikia Kama una shida hebu kamuone Mangi,muha,mnyamwezi ,mpemba ,mwarabu ,kwa mkinga nk aliyoandika siyo kweli mtu akifanikiwa mikoa mingine anaheshimiwa Sana hiyo mikoa ila kwake alikozaliwa au alikotokea nakubali hata aende na benzi 109 na ving'ora utasikia kitoto kimenikojolea hiki kinakuja na mbwembwe nakijua Sana kikojozi hiki wakati kitoto.Kinakuja kujionyesha hapa na mibenzi wakati kilikuwa kikojozi kikubwa!!! Was mikoani unawaonea Sio kweli aliyefanikiwa ana heshimiwa mno
 
Umenikumbusha wale jamaa walikuwa wanasema mshamba, amechanganyikiwa anaogopa kurudi dar, sasa anawabariki kwa moto
 
Back
Top Bottom