Jamaa wanajitahidi kwenye uaminifu, na welfare ya raia wao, Keki yao wanakula wote, kila mtu yuko happy,
Unaweza kwenda sehemu unakuta pori lakini lina miundo mbinu yote, maji, umeme barabra, shule nk lakini hakuan mtu, na wanasema wanajenga kwa ajili ya baadae, madini yanaweza kwisha au yakakosa soko wao watakuwa tayari wameshawekeza
Wanawajali sna raia wao, kwa mfano watu wenye ukimwi unakuta wanapewa vyakula vya mwezi mzima Bure, hapo wamnapewa Maharage, Sukari na uji wao (Mutogo), ni mchi nzuri sana na mfano wa chi zilizoendelea bila imput ya Wazungu, Iko kwenye level moja na Zimbabwe, South Africa na Namibia kwa kujengwa lakini hizo zote zimejengwa na wazungu bali Botswana na "Waswahili"