Kandahar Tz
Member
- Apr 2, 2017
- 26
- 23
Vp kuhusu ajira za electrical engineering kwa wageni zinapatikana?
Kabisa mkuuAwamu Yao hii.daaah....
Katika nchi za SADC ni Mozambique, Angola na DRC pekee ndio wanaendesha gari upande wa Kulia(wana keep right)
Nchi zote zilizobakia (Tz, Malawi, Zambia, zimbabwe, Botswaana, Swazi, Leso, Namibia na RSA) wote tuna keep left, so Bots kama Bongo tu
matale gete.Abakima balinamadako matale gudi madandali [emoji23][emoji23][emoji23]![]()
matale gete.Abakima balinamadako matale gudi madandali [emoji23][emoji23][emoji23]![]()
rejea hoja namba 5Kuminyaa kaharage ndo kufanyaje huko mkuu witnessj?
هل تعرف علي ما لميعرف؟Abakima balinamadako matale gudi madandali [emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Afaile goliwa gete......matale gete.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mamuno border na namibia ...Kazungula boda na zambia zimbabwe botswana namibia,Mambo ya kasane Chobe national park Francis town martin drift.nchi ya ukweli sana hiyo.![]()
Mie nilipitia (hupitia) hapa nikitokea Mafikeng![]()
Huwa natumia/tunatumia masaa mawili tu tuko Gaborone[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hapo ni karibu kwenda botswana kuliko upitie Zeerust-skilpadshek-pioneers gate-lobatse umetisha sana mkubwa watu wanaishi hizo nchi mbili ila shida ya sauz tu usalama mdogo ila tswana namibia napaelewa sana hasa Walvis bay pia nilipaelewa grootfontein(namibia).pia tswana na Sauz kuna boda kibao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Teh teh teh teh teh teh duh, kwamba demu anakuwekea bondi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nackia botswana wanawake ni wengi kuliko wanaume,na si ajabu kuona kijana wa kiume akiposwa tangu mdogo