Ijue Botswana japo kidogo tu

Ijue Botswana japo kidogo tu

Niliwah ambiwa kupanga ni garama sana na pia nyumba za kulala wageni ni ghali kuliko maelezo,,inshort sehem ya kuweka ubavu eti ndio garama kuliko chochote...je kuna ukwel au mbwembwe za wabongo
Asilimia 100 mkuu. Huku ukipata uhakika wa sehemu ya kufikia maisha utayapenda. Long time mkubwa bado unatembelea BULYANHULU?
 
Jamaa kazama kwenye kilugha hadi ameacha kujibu maswali, katuacha solemba.
 
Mimi nimeona lengo ni kuwasifia Wasukumu kwa mgongo wa Botswana
Hapana mkuu, ukweli jamaa zetu wana mila sawa kabisa na wasukuma. Assume ukitaka ufunge ndoa muda mwingine unatakiwa ufanye ya kimila harafu ifuatie ya kidini (wao wanaita Whites marriage). Pia jamaa walinichokoza kwa lugha ya home na mimi sikutaka watoke na ushindi. Am sorry for that buddy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom