Ijue Botswana japo kidogo tu

Ijue Botswana japo kidogo tu

Niliwah ambiwa kupanga ni garama sana na pia nyumba za kulala wageni ni ghali kuliko maelezo,,inshort sehem ya kuweka ubavu eti ndio garama kuliko chochote...je kuna ukwel au mbwembwe za wabongo
 
Hivi.ukiwa na passport. Unaonyesha kila border si ndio!?kwa mfano.umefika mpakani tunduma ukaulizwa unakwenda wapi.utajibu nini?na je uhamiaji wanaweza wakakukataza hata kama una passport ya halali.endapo wakijua unapokwenda hauna ndugu wala nini
Hukatazwi. Kuna maswali wanauliza usipobabaika unapita
 
Naamu, unaweza fikiri mengi sana kuhusu Botswana kabla hujafika. Moja ya mambo utakayojiuliza hasa ukiwa kijana uliyeishi vijijini na muda mwingine mjini ni haya:-

1: Watu wa Botswana, ni wapole na wakarimu sana isipokuwa kwenye majiji makubwa huko ndiko kuna baadhi wamepinda

2: Utamaduni, ni watu wanaopenda asili yao na hawajifichi ikiwemo kuongea lugha yao ya asili (Setswana). Naweza sema kuwa mila na desturi zao wamekopi kwa wasukuma

3: Uoto wa asili; karibu mimea yote unayoiona Botswana basi utaikuta karibu yote Shinyanga

4: Rangi ya ngozi; asilimia 85% ni maji ya kunde (weupe) na hapo kwa msukuma ndo mahali pake.

5: Yale mambo yetu; Hawana kinyongo na wengi wao wamezalishwa wakiwa Shule ama makwao na kupigwa chini hivyo kukung'ang'ania umuoe ili kumkomoa baba watoto/mtoto ndo zao.

6: Una status gani? Ndilo swali utakutana nalo kila ukianza mahusiano na demu ama mwanamke wa Botswana ili afahamu kama una ngoma ama la na muishi vipi.

7: Ngoma ishakuwa kama Malaria tu.

8: Weekend mademu wa Botswana wengi huvuka border kuja South Africa kuspendi hivyo ukiwa na demu Botswana harafu daily anavuka border kuja South Africa kufanya shopping basi ujue ni shopping ya chini.

9: Kuna tetesi kuwa rais wao ni mbana pua (mimi simo)
Duwilaghe imaana ya mbana pua!! What is the meaning of mbana pua?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom