Hoshea
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 5,420
- 3,776
Ndio mawazo yaliyokujaa
Ndio mawazo yaliyokujaa
None Nabona Nkoi Wandyaga WeyiVumiliagi nkoi amakewanda
Poa poa mkubwaFree state ni jimbo la wazungu by then na mji wake mkuu ni Bloemfontein ni pazuri sana sana, na hakuna sana ujingaujinga kama wa Jos Au Pretoria wa kuchoma visu na bunduki japo matukio yapo
Tswana ndo kabila kubwa upande huu na asili yao ni Botswana (Bo Tswana)lugha inayotumiwa kule English au Tswana![]()
Kila mtu anafahamu kutengeneza pombe ya kienyeji huku kaka. Maziwa ya punda ndiyo diliBotswana batogilwe walwa,nyama na bhanike
HahahaaaNone Nabona Nkoi Wandyaga Weyi
Ila nadokelagwa sana nkoi
Ango naleny00
Yamuse minge/midamu gete
Kushoto mkubwaVipi huko gari wanadrivia upande gani left au right.
Katika nchi za SADC ni Mozambique, Angola na DRC pekee ndio wanaendesha gari upande wa Kulia(wana keep right)Vipi huko gari wanadrivia upande gani left au right.
True! Mimi niliishi kule kwa miaka 9, wanapenda sana starehe hao batswana.Ukizubaa unarudi tz kapa.Botswana batogilwe walwa,nyama na bhanike
Kama TZ tu mkuuVipi huko gari wanadrivia upande gani left au right.
Almasi iligungunduliwa baada ya kupata uhuru na wamehakikisha faida inayopatikana inasaidia wananchi. Wako vizuri sana katika sekta ya elimu, afya na ustawi wa jamii. Wazee wakifikisha miaka 55 wanalipwa state pension kila mwisho wa mwezi ambayo ni sawa na kima cha chini cha mshahara.Botswana ni moja kati ya nchi nzuri kuishi Africa, INA democrasia yenye vyama vingi. NI KAMA TANZANIA TANGU UHURU NI CHAMA KIMOJA TU KIKO MADARAKANI. PIA KULE HAKUNA WANASIASA WAONGO WAONGO KAMA AKINA LEMA, AKINA MSIGWA, NK. Setswana lugha yao inafanana sana na lugha ya xhoza. Miji yao imepangika vizuri sana mfano Gaborone, Lobatse- near border to RSA, Francis town, Selowi, Maun, CHOMA, Molepolole, Kanye,nk .
Hao jamaa wako vizuri kiuchumi kwa bahati nzuri ni wachache sana chini ya milioni 5 tu nchi kubwa namna ile. Barabara nyingi zina kiwango cha tarmac.
Hakuna kelele nyingi kama TZ, hakuna mambo ya kick za hovyo hovyo.
Botswana ni moja kati ya nchi nzuri kuishi Africa, INA democrasia yenye vyama vingi. NI KAMA TANZANIA TANGU UHURU NI CHAMA KIMOJA TU KIKO MADARAKANI. PIA KULE HAKUNA WANASIASA WAONGO WAONGO KAMA AKINA LEMA, AKINA MSIGWA, NK. Setswana lugha yao inafanana sana na lugha ya xhoza. Miji yao imepangika vizuri sana mfano Gaborone, Lobatse- near border to RSA, Francis town, Selowi, Maun, CHOMA, Molepolole, Kanye,nk .
Hao jamaa wako vizuri kiuchumi kwa bahati nzuri ni wachache sana chini ya milioni 5 tu nchi kubwa namna ile. Barabara nyingi zina kiwango cha tarmac.
Hakuna kelele nyingi kama TZ, hakuna mambo ya kick za hovyo hovyo.
NYO!...hahahhaaaDuh!!...Nale keyi![]()
nishokela ogohaya nagugwe chiza?
Hata milioni 4 hawajafikaBotswana ni moja kati ya nchi nzuri kuishi Africa, INA democrasia yenye vyama vingi. NI KAMA TANZANIA TANGU UHURU NI CHAMA KIMOJA TU KIKO MADARAKANI. PIA KULE HAKUNA WANASIASA WAONGO WAONGO KAMA AKINA LEMA, AKINA MSIGWA, NK. Setswana lugha yao inafanana sana na lugha ya xhoza. Miji yao imepangika vizuri sana mfano Gaborone, Lobatse- near border to RSA, Francis town, Selowi, Maun, CHOMA, Molepolole, Kanye,nk .
Hao jamaa wako vizuri kiuchumi kwa bahati nzuri ni wachache sana chini ya milioni 5 tu nchi kubwa namna ile. Barabara nyingi zina kiwango cha tarmac.
Hakuna kelele nyingi kama TZ, hakuna mambo ya kick za hovyo hovyo.
Nakumbuka zamani walikuwa mil 2.8Hata milioni 4 hawajafika
Almasi iligungunduliwa baada ya kupata uhuru na wamehakikisha faida inayopatikana inasaidia wananchi. Wako vizuri sana katika sekta ya elimu, afya na ustawi wa jamii. Wazee wakifikisha miaka 55 wanalipwa state pension kila mwisho wa mwezi ambayo ni sawa na kima cha chini cha mshahara.
Samahani Mkuu hizi picha umepiga kwa kutumia kiazi?Inapakana na border ya Ramatlabama, mkoa wa kusini ya Botswana sehemu zaPitsane na Goodhope
![]()
![]()
![]()