MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,244
Twene***kAbakima balinamadako matale gudi madandali![]()
Twene***kAbakima balinamadako matale gudi madandali![]()
Kama kawaaNa wewe Mkuu uliwala?
Nale nokoleNg'wanagapi naligwa uligalogi ubhebhe
Aliyo mle na masala manung'hu sanakwaaaaaaaaaa!!! Thombana ebhe
![]()
![]()
nkema idako faza.....
umenikumbusha enzi hizo miss tanzania aliendaga ng'wanza kutembelea makaburi ya mv bukoba igoma huko....sasa kipindi hicho miss tanzania ndio inachanua nsukuma aka ngosha akawa anajua miss tz ndio mwanamke mzuri kuzidi wote tz,,, kafika na baiskeli yake hapo kushuhudia akasonya na kushangaa akapaza sauti "miss tanzania ke ate ni dako
" kule uzuri idako faza....mengine baadaeTakudaganyaLete habari za Namibia.
Uhitaji wa madaktari bado upo ingawa kwa sasa wameanzisha college ya medicine na mwaka huu ni graduation ya 4,step 1 reg kwa bhpc then exm ukifaulu unapata licence,ukipata kazi unaomba work permit/residential permit around cost pula 1500,uzuri wa Botswana hata private Hosp au private clinic/polyclinic wanaruhusu foreign doctor sio kama Namibia,registration bhpc pula 30 sawa na tshs 6000 hivi.Kuna mmoja kasema Daktari ukiwa specialist ndo rahisi kupata kazi ,vipi kuhusu MD na malipo yao yakoje? Na kazi unapataje?
A sante kwa darasa zuri mkuuKatika nchi za SADC ni Mozambique, Angola na DRC pekee ndio wanaendesha gari upande wa Kulia(wana keep right)
Nchi zote zilizobakia (Tz, Malawi, Zambia, zimbabwe, Botswaana, Swazi, Leso, Namibia na RSA) wote tuna keep left, so Bots kama Bongo tu
Wana hipsi kama za zebra mkuu! Af ngoz laini, ful kutabasamu mda wote.... Kuna jamaa yangu alioa akazamie kule mpk leo,Nasikia watoto wakike huko wana maumbo ya kibantu haswaaa!?
mkuu vipi kuhusu mishahara ya wafanyakazi wanaotoka nje ya botswana ikoje?Nilizonazo nizakifamilia, nishawahi kuziweka mods akazifuta
Awamu Yao hii.daaah....Lengo la uzi huu kumbe ilikuwa kuongea kilugha? haya wazee.