Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,658
- Thread starter
- #81
Jamaa kazama kwenye kilugha hadi ameacha kujibu maswali, katuacha solemba.
Samahani mkubwaHapana mkuu, ukweli jamaa zetu wana mila sawa kabisa na wasukuma. Assume ukitaka ufunge ndoa muda mwingine unatakiwa ufanye ya kimila harafu ifuatie ya kidini (wao wanaita Whites marriage). Pia jamaa walinichokoza kwa lugha ya home na mimi sikutaka watoke na ushindi. Am sorry for that buddy
