logframe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,242
- 5,555
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Abakima balinamadako matale gudi madandali [emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Madandali ga giligita
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Abakima balinamadako matale gudi madandali [emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Bei poooa kabisaNasikia wale dada zetu wa Kanda ya Ziwa wanaoishi kwenye vibanda kule Dar eti wamejazana sana huko wakinadi ile kitu yao
Mnavyo hifadhi papa.....Nilikuwa na marafiki wa ki-Swana, wakichinja ng'ombe nyama inapakwa chumvi na kuanikwa juani, italiwa mwaka mzima, kama vile tunavyohifadhi papa kule pwani.
Safi sana. Maana hapa JF kila siku tunaambiwa nchi za Africa zote choka mbaya na zina viongozi wa ovyo. Waafrika twende Botswana tukaone uwezo wa mwafrika wenzetu kujiletea maisha bora kabisa.Jamaa wanajitahidi kwenye uaminifu, na welfare ya raia wao, Keki yao wanakula wote, kila mtu yuko happy,
Unaweza kwenda sehemu unakuta pori lakini lina miundo mbinu yote, maji, umeme barabra, shule nk lakini hakuan mtu, na wanasema wanajenga kwa ajili ya baadae, madini yanaweza kwisha au yakakosa soko wao watakuwa tayari wameshawekeza
Wanawajali sna raia wao, kwa mfano watu wenye ukimwi unakuta wanapewa vyakula vya mwezi mzima Bure, hapo wamnapewa Maharage, Sukari na uji wao (Mutogo), ni mchi nzuri sana na mfano wa chi zilizoendelea bila imput ya Wazungu, Iko kwenye level moja na Zimbabwe, South Africa na Namibia kwa kujengwa lakini hizo zote zimejengwa na wazungu bali Botswana na "Waswahili"
Mungu awafungue toka vifungo vya uzinziDah kweli lile kabila basi tu.
Kabila kuntuDah kweli lile kabila basi tu.