Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,658
- Thread starter
- #221
KaribuMkuu naomba ruksa yako nikuPM
KaribuMkuu naomba ruksa yako nikuPM
Check PM mkuuKaribu
..kabisa + kuvuana nguo huku si jambo la ajabu hata kidogo 😀😀😀😀Duh, Botswana Nzuri-Gabs yenyewe, Main mall, African mall, Phakalane nk, lakini pamoja na uzuri huo Namibia ni mwisho wa matatizo, Nakumbuka Nyama za Katutula, Swakop na Wavis Bay sio mchezo, ni kweli hizo nchi za South za Namibia na Botswana raia wake hawana tress kabisa, wanaishi maisha ya furaha sana si tupo nyuma sana sana
Mwenyewe nashangaa na wasukuma kitendo cha kuwa mentioned basi wamejisahau wanadhani wapo Kolomije kumbe JF.Lengo la uzi huu kumbe ilikuwa kuongea kilugha? haya wazee.
TrueMwenyewe nashangaa na wasukuma kitendo cha kuwa mentioned basi wamejisahau wanadhani wapo Kolomije kumbe JF.
Mbona rais wao ni kama 'mzungu' (shombe)?Jamaa wanajitahidi kwenye uaminifu, na welfare ya raia wao, Keki yao wanakula wote, kila mtu yuko happy,
Unaweza kwenda sehemu unakuta pori lakini lina miundo mbinu yote, maji, umeme barabra, shule nk lakini hakuan mtu, na wanasema wanajenga kwa ajili ya baadae, madini yanaweza kwisha au yakakosa soko wao watakuwa tayari wameshawekeza
Wanawajali sna raia wao, kwa mfano watu wenye ukimwi unakuta wanapewa vyakula vya mwezi mzima Bure, hapo wamnapewa Maharage, Sukari na uji wao (Mutogo), ni mchi nzuri sana na mfano wa chi zilizoendelea bila imput ya Wazungu, Iko kwenye level moja na Zimbabwe, South Africa na Namibia kwa kujengwa lakini hizo zote zimejengwa na wazungu bali Botswana na "Waswahili"
Hapo unataka jibu ama?Mbona rais wao ni kama 'mzungu' (shombe)?
Nategemea jibu, lakini sio kutoka kwako. Nategemea mtu anielezee historia ya ancestry ya rais na ilikuwaje mtu 'mweupe' akawa chifu wa watu weusi. All of this is above your pay grade.Hapo unataka jibu ama?
Hahahaaaa....mkuu kumbe wew ni Ben tenAndaa tu milioni moja na nusu ya Kitanzania, siku mbili au tatu kama kutembea zinatosha mkubwa. (Sina uzoefu sana na matumizi, mwezako huku niliko ni Mario kama mnavyotuita huko, nimefanya tathmini pasipo uhalisia kupitia mimi)
Kuna mama mmoja na maisha yake niliingia restaurant, alivyokuwa amekaa aliniweka majaribuni hadi nikawa nahisi nameza ARV, ilibidi tu nipige picha bila flash asinistukie. Shikamoo Gaboronebotswana mwanamke kuacha matiti wazi ni kawaida
Nahamia karibun
Ndiyo na ukiboresha unaniita Gold digger, ulitaka Diamond akose kapani?Hahahaaaa....mkuu kumbe wew ni Ben ten
Hahahahhhh.....karibu sana main mall,river walk, airport junction n.kNdiyo na ukiboresha unaniita Gold digger, ulitaka Diamond akose kapani?