Ijue Botswana japo kidogo tu

Ijue Botswana japo kidogo tu

Kuwa mwelewa usilete mihemuko bure, Waafrika wote ni wabantu ndiyo sababu Wazulu namba sita wanaita "butandatu" kama wasukuma. Sherehe na taratibu za kutoa mahali (lobola) ziko sawa tu na zetu pamoja na mambo mengi tu
Vyakula common ni vipi?
Usalama?
 
Ni nchi yenye demokrasia, Amani na utulivu na pia mafanikio ya uchumi. Miaka mingi Botswana imekua na surplus ( akiba au baki la mapato baada ya kuoa matumizi ) kwenye bajeti yake.
 
Mademu wa kibotswana niliopitia sikutongoza na wala sikumbuki kama tulijuana zaidi ya week. Sitasahau house parties za hawa watu.
 
Abakima balinamadako matale gudi madandali
1d820ab6adc5948337566ca91ab05dfb.jpg
Hahahaha..... ngosha naseka no!!
 
Mama yake Ruth Williams Khama (Lady Khama), alikuwa ni Mzungu, so huyo ni Mulato (halfcaste, Chotara, 0.5)
Alikufa 2002
Shukrani mkuu. Baada ya majibu kuchelewa ikabidi nimtafute uncle Google. Nimeelewa kwa undani kwanini Botswana ina maendeleo makubwa na imefanikiwa sana kutokana na biashara ya madini. Nchi hii kihistoria ipo karibu sana na UK. Ni kama kajimbo kao flan. Nadhan hata hiyo ndoa na Ruth Williams ilisaidia sana ktk diplomacy na western countries.
 
Kante ke rata dijo tsa bone wa etse se kana ka: mutogo, setswaa, magwinya le dinawa..
 
Ok nilikuwa na pilika pilika zingine,
Maendeleo hayajakuja kwa sababu ya kuwa karibu na UK, bali ni upeo aliokuwa nao huyo raisi wa kwanza Sir Seretse Khama

Yeye alitoka kwenye Ukoo wa Kichief na alipashwa kuwa ndio Chief, so alipokuwa masomoni UK ndio akamuona huyo lady Ruth na akarudi nae kwao kama mkewe, alipigwa vita sana na wazee wa Mila kuwa haiwezekani Chief aoe mzungu au kabila lolote nje ya kabila lao la Bangwato lakini Serets alikomaa na mwisho walimuelewa
 
Kante ke rata dijo tsa bone wa etse se kana ka: mutogo, setswaa, magwinya le dinawa..
Unataka Chakula,
Mutogo inatamkwa Mutogho -Uji
Setswaa- Nyama inayopikwa kisha inapondwapondwa
Magwinya- Kalimati
Dinawa- Maharage

Naona umesahau Mkwechepe
 
Kujua zaidi kuhusu huyo mfalme angalia film inaitwa A United kingdom. Ni nzuri na inafundisha sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom