Ijue Botswana japo kidogo tu

Ijue Botswana japo kidogo tu

Dar es salaam ni mji wa hovyo mchafu hakuna sehem ambazo ni smart kote uchafu mitaro hovyo taka zimejaa rambo zinazagaa mtaani pa1 na Gaborone kua na wakaz wachache ni moja ya town la maana,pia Francistown kumetulia sana.
.
Ila kufananisha investment ya mji wa watu 200k na 5M siyo sahihi kabisa. Dar es salaam mbona ulikuwa mji uliopangwa vizuri tuu na msafi? Ni baada ya viwanda mikoani kufa na watu wengi kukimbilia jijini ndiyo mambo yakaharibika.
bali ni upeo aliokuwa nao huyo raisi wa kwanza Sir Seretse Khama
.
Ilikuwa rahisi kufanya mambo mazuri na kwa haraka kwasababu jamii yao kwa kiasi kikubwa ilikuwa moja (watsana 80%) na wengi wao wakiwa na imani moja. Watu kuwa wamoja teyari ni hatua kubwa ya maendeleo.

Pia imani ya uchifu ilisaidia, kwa kuwa chifu ni kama mungu mtu, akisema hivi hakuna wakubisha. Sasa sisi kwetu ilibidi tuanze kujenga 'Identity' mpya (waswahili) halafu tulitumia resources zetu nyingi kuwa komboa wengine na hivyo kupunguza shabaha ya maendeleo kwetu.

Nchi yao pia, miaka ya 60's haikuwa tishio katika ukanda wa kusini kwahiyo haikusumbuliwa na kuingiliwa na wakubwa.
 
Kulikuwa na ukaribu usio kawaida. Imagine, beef (nyama) kutoka Botswana ilipatwa kuuzwa ghali zaidi kuliko nyama yoyote iliyouzwa ndani ya EU kufuatia makubaliano waliyofanya na UK. Huwezi kupata deals za namna hiyo bila msaada usio wa kawaida.

Pia hii nchi ingewezwa kumezwa na Ndebeles (Zimbabwe) au Boers (South Africa) kutokana na vita ya mara kwa mara kama isingekuwa uamuzi wa Khama I kujiweka chini ya ulinzi wa UK kwa kutumia ushawishi wa ukristo (mmoja wa watu wa mwanzo kubatizwa) na wamisionari ambao walikuwa wazungu.
 
Hapa ofisini kuna program inawaleta wa Botswana mara kwa mara kwa mafunzo flani hivi! Na huwa kila mwaka wanakuja zaidi ya 10, men and women. Ila hao mademu zao... Mmmh. Mmmh. Mmmh. Sio kama wanavosifiwa humu. Labda kwa kuwa hawa ni WATUMISHI wa Serikali kule kwao!
 
Wengi wa mademu zao vicheche ukiwa foreigner na una hela wanakupapatikia sana niliwahi kwenda huko 2015 enzi za JK na mikutano ya SADC (posho 550 USD per day) tukafikia City Lodge full raha nilikula mizigo ya maana japo bei ghali per night unalipia mpaka 200 USD hapo hujajumuisha bei za kulilisha na kulinywesha.
NB; awamu ya mitiripu ya kupiga pesa imeisha sasa ni kazi tu mpaka uchakae
Mungu anawaona na JK wenu.... kumbe mlikuwa mnastarehea pesa zetu za kodi na kubebea watswana.

Bana Magu bana baba ili na sisi tuwe km au tuizidi Botswana
 
Uongo mbaya enzi za Mkwere tumetembea duniani sana. Tena sana. Gaborone, Geneva, Washington, London...mara kadhaa nimebadilisha begi airport (JNIA) ni mwendo wa kubadilisha ndege tu (Full paid) enzi hizo tunachagua ndege....tunaenda let say Algiers (Algeria au Tunis, humu humu Africa); Tnachagua Emirates tunapitia kwanza, Dubai then Paris na Mwisho Algiers. Acha tu aisee ilikuwa nusu pepo enzi zile...
 
Sasa fikiria wewe ni mtu mmoja, serikali ilikuwa na watumishi wangapi wa aina yako?

Hapana kwa kweli, Magu akomae tu vinginevyo sisi na watoto wetu tutabaki kusimulia ya Botswana na kwingine
 
Hapa ofisini kuna program inawaleta wa Botswana mara kwa mara kwa mafunzo flani hivi! Na huwa kila mwaka wanakuja zaidi ya 10, men and women. Ila hao mademu zao... Mmmh. Mmmh. Mmmh. Sio kama wanavosifiwa humu. Labda kwa kuwa hawa ni WATUMISHI wa Serikali kule kwao!
Upo Chuo cha Takwimu Changanyikeni? Naonaga wengi hapo, ila si wazur kama inavyoandikwa humu
 
.
Ila kufananisha investment ya mji wa watu 200k na 5M siyo sahihi kabisa. Dar es salaam mbona ulikuwa mji uliopangwa vizuri tuu na msafi? Ni baada ya viwanda mikoani kufa na watu wengi kukimbilia jijini ndiyo mambo yakaharibika.

.
Ilikuwa rahisi kufanya mambo mazuri na kwa haraka kwasababu jamii yao kwa kiasi kikubwa ilikuwa moja (watsana 80%) na wengi wao wakiwa na imani moja. Watu kuwa wamoja teyari ni hatua kubwa ya maendeleo.

Pia imani ya uchifu ilisaidia, kwa kuwa chifu ni kama mungu mtu, akisema hivi hakuna wakubisha. Sasa sisi kwetu ilibidi tuanze kujenga 'Identity' mpya (waswahili) halafu tulitumia resources zetu nyingi kuwa komboa wengine na hivyo kupunguza shabaha ya maendeleo kwetu.

Nchi yao pia, miaka ya 60's haikuwa tishio katika ukanda wa kusini kwahiyo haikusumbuliwa na kuingiliwa na wakubwa.

Sasa kwa hili suala huoni kua nyie wenye 5m raia n wapumbavu na mliokosa akili na mna mali zaidi ya watswana.??? Hyo mwanza tu ina ziwa ila maji shida Kigoma ziwa lote la kwenu maji shida huoni kua bado mna akili za mbwa.???
 
Uongo mbaya enzi za Mkwere tumetembea duniani sana. Tena sana. Gaborone, Geneva, Washington, London...mara kadhaa nimebadilisha begi airport (JNIA) ni mwendo wa kubadilisha ndege tu (Full paid) enzi hizo tunachagua ndege....tunaenda let say Algiers (Algeria au Tunis, humu humu Africa); Tnachagua Emirates tunapitia kwanza, Dubai then Paris na Mwisho Algiers. Acha tu aisee ilikuwa nusu pepo enzi zile...

Hii leo unaishia kua na stori kama mabaharia af huna kitu unaishi kama mbwa tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom