kashinje juma
JF-Expert Member
- Apr 20, 2017
- 706
- 544
Ni kweli kbs mie nimewahi kukaa kidogo ktk jimbo la bangwene,mila na desturi zao ni km wasukuma kbs.nyumba zao za mitambiko,namna wanavyoshughurikia misiba na matanga!!yaani kila kitu utafikiri ni wasukuma kbs.

