Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,190
.Sasa kwa hili suala huoni kua nyie wenye 5m raia n wapumbavu na mliokosa akili na mna mali zaidi ya watswana.??? Hyo mwanza tu ina ziwa ila maji shida Kigoma ziwa lote la kwenu maji shida huoni kua bado mna akili za mbwa.???
Mimi sikatai kuwa tuliboronga hapo kati, hasa baada ya mwalimu kung'atuka, watu wakaanza ubepari uchwara. Lakini kumbuka vipaumbele vyetu Tanzania vilikuwa tofauti na Botswana. Sisi tuliamua kuondoa umaskini, ujinga na maradhi na kwa kiasi kikubwa tuliweza kuondoa ujinga na maradhi.
Madaktari wetu wamekuwa wakienda kutabibu huko hata kwenye madini wataalamu wetu walisaidia sana. Tanzania waathirika wa HIV ni 3% watswana ni 21% wewe huoni kuwa haya ni maendeleo? Itakusaidia nini kuwa na maji ya bomba kama jamii yote ina maradhi?
