steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 11,343
- 13,365
Abakima balinamadako matale gudi madandali![]()
![]()
Hili furushi la mihogo sio mchezo!!
Abakima balinamadako matale gudi madandali![]()
![]()
Lekaga gete! Nakigasha ha li hotel lya Gaborone shiku makumyabili, nakazunya. Nakabona makima ga nghana na madako diki lugulu. Nakalisola limo mpag'u bulili bukabinzika.Abakima balinamadako matale gudi madandali![]()
Mkuu nimekupmTakudaganya
Weee acha kabisa ile kitu inaitwa chura ya wanawake wao si mchezo. Nguo fupi, hips nyeupe na hayo makalio, acha ile miguu ya tembo....... duh, acha kabisa masuala ya Gaborone.Naamu, unaweza fikiri mengi sana kuhusu Botswana kabla hujafika. Moja ya mambo utakayojiuliza hasa ukiwa kijana uliyeishi vijijini na muda mwingine mjini ni haya:-
1: Watu wa Botswana, ni wapole na wakarimu sana isipokuwa kwenye majiji makubwa huko ndiko kuna baadhi wamepinda
2: Utamaduni, ni watu wanaopenda asili yao na hawajifichi ikiwemo kuongea lugha yao ya asili (Setswana). Naweza sema kuwa mila na desturi zao wamekopi kwa wasukuma
3: Uoto wa asili; karibu mimea yote unayoiona Botswana basi utaikuta karibu yote Shinyanga
4: Rangi ya ngozi; asilimia 85% ni maji ya kunde (weupe) na hapo kwa msukuma ndo mahali pake.
5: Yale mambo yetu; Hawana kinyongo na wengi wao wamezalishwa wakiwa Shule ama makwao na kupigwa chini hivyo kukung'ang'ania umuoe ili kumkomoa baba watoto/mtoto ndo zao.
6: Una status gani? Ndilo swali utakutana nalo kila ukianza mahusiano na demu ama mwanamke wa Botswana ili afahamu kama una ngoma ama la na muishi vipi.
7: Ngoma ishakuwa kama Malaria tu.
8: Weekend mademu wa Botswana wengi huvuka border kuja South Africa kuspendi hivyo ukiwa na demu Botswana harafu daily anavuka border kuja South Africa kufanya shopping basi ujue ni shopping ya chini.
9: Kuna tetesi kuwa rais wao ni mbana pua (mimi simo)
umenikumbusha enzi hizo miss tanzania aliendaga ng'wanza kutembelea makaburi ya mv bukoba igoma huko....sasa kipindi hicho miss tanzania ndio inachanua nsukuma aka ngosha akawa anajua miss tz ndio mwanamke mzuri kuzidi wote tz,,, kafika na baiskeli yake hapo kushuhudia akasonya na kushangaa akapaza sauti "miss tanzania ke ate ni dako
" kule uzuri idako faza....mengine baadae
Noma sana!umenikumbusha enzi hizo miss tanzania aliendaga ng'wanza kutembelea makaburi ya mv bukoba igoma huko....sasa kipindi hicho miss tanzania ndio inachanua nsukuma aka ngosha akawa anajua miss tz ndio mwanamke mzuri kuzidi wote tz,,, kafika na baiskeli yake hapo kushuhudia akasonya na kushangaa akapaza sauti "miss tanzania ke ate ni dako
" kule uzuri idako faza....mengine baadae
Lete habari za Namibia.
ke hobane'ng ha ke u bona u le kholo feelaAbakima balinamadako matale gudi madandali![]()
Nimekucheki mkuuMkuu nimekupm
Nashukuru kwa elimu nzuri but Botswana hakuna mji unaoqualify kuitwa jiji kubwa. Ni nchi yenye vimji sema tu ni vizuri.Naamu, unaweza fikiri mengi sana kuhusu Botswana kabla hujafika. Moja ya mambo utakayojiuliza hasa ukiwa kijana uliyeishi vijijini na muda mwingine mjini ni haya:-
1: Watu wa Botswana, ni wapole na wakarimu sana isipokuwa kwenye majiji makubwa huko ndiko kuna baadhi wamepinda
2: Utamaduni, ni watu wanaopenda asili yao na hawajifichi ikiwemo kuongea lugha yao ya asili (Setswana). Naweza sema kuwa mila na desturi zao wamekopi kwa wasukuma
3: Uoto wa asili; karibu mimea yote unayoiona Botswana basi utaikuta karibu yote Shinyanga
4: Rangi ya ngozi; asilimia 85% ni maji ya kunde (weupe) na hapo kwa msukuma ndo mahali pake.
5: Yale mambo yetu; Hawana kinyongo na wengi wao wamezalishwa wakiwa Shule ama makwao na kupigwa chini hivyo kukung'ang'ania umuoe ili kumkomoa baba watoto/mtoto ndo zao.
6: Una status gani? Ndilo swali utakutana nalo kila ukianza mahusiano na demu ama mwanamke wa Botswana ili afahamu kama una ngoma ama la na muishi vipi.
7: Ngoma ishakuwa kama Malaria tu.
8: Weekend mademu wa Botswana wengi huvuka border kuja South Africa kuspendi hivyo ukiwa na demu Botswana harafu daily anavuka border kuja South Africa kufanya shopping basi ujue ni shopping ya chini.
9: Kuna tetesi kuwa rais wao ni mbana pua (mimi simo)
HahahaVipi kazi ya kulisha ng'ombe huko Botswana inapatikana?

Mkuu naomba ruksa yako nikuPMNaamu, unaweza fikiri mengi sana kuhusu Botswana kabla hujafika. Moja ya mambo utakayojiuliza hasa ukiwa kijana uliyeishi vijijini na muda mwingine mjini ni haya:-
1: Watu wa Botswana, ni wapole na wakarimu sana isipokuwa kwenye majiji makubwa huko ndiko kuna baadhi wamepinda
2: Utamaduni, ni watu wanaopenda asili yao na hawajifichi ikiwemo kuongea lugha yao ya asili (Setswana). Naweza sema kuwa mila na desturi zao wamekopi kwa wasukuma
3: Uoto wa asili; karibu mimea yote unayoiona Botswana basi utaikuta karibu yote Shinyanga
4: Rangi ya ngozi; asilimia 85% ni maji ya kunde (weupe) na hapo kwa msukuma ndo mahali pake.
5: Yale mambo yetu; Hawana kinyongo na wengi wao wamezalishwa wakiwa Shule ama makwao na kupigwa chini hivyo kukung'ang'ania umuoe ili kumkomoa baba watoto/mtoto ndo zao.
6: Una status gani? Ndilo swali utakutana nalo kila ukianza mahusiano na demu ama mwanamke wa Botswana ili afahamu kama una ngoma ama la na muishi vipi.
7: Ngoma ishakuwa kama Malaria tu.
8: Weekend mademu wa Botswana wengi huvuka border kuja South Africa kuspendi hivyo ukiwa na demu Botswana harafu daily anavuka border kuja South Africa kufanya shopping basi ujue ni shopping ya chini.
9: Kuna tetesi kuwa rais wao ni mbana pua (mimi simo)
Hahahahahhaaaaaa duh yamekuwa hayo tenaVipi kazi ya kulisha ng'ombe huko Botswana inapatikana?

Nashukuru kwa elimu nzuri but Botswana hakuna mji unaoqualify kuitwa jiji kubwa. Ni nchi yenye vimji sema tu ni vizuri.
Gaborone ambayo ndiyo jiji kubwa nchini humo, ukiuleta Tanzania, hata top 10 hauingii ndani, maana una wakazi just about 200,000 2017.