CHADEMA..............so predictable......kila siku mnakataa matokeo.......kila siku kusema wenzenu wamechakachua.....??...ina maana ushindi ulio wa halali ni ule waloshinda CHADEMA pekee???.........
tatizo lako unashangilia goli kwa kuangalia mpira uliopo nyavuni bila kuangalia mpira huo ulifikaje kwenye hizo nyavu
kama ni kwa mkono au kwa golikipa kusukumwa nje goli ili kushinda, bila kuangalia refarii alikuwa amevaa jezi ya nani
kwahiyo shule itakusadia ku develop crirtical thinking badala ya kuangalia goli tu utaangalia namna gani goli lile limeingia kwa
maana ya how, what ,when, why, where and which.