Ingawa tunapaswa kuwa na mipango ya muda mrefu, lakini Mla ni mla leo, hayo ya 2015 ni maajliwa ya Mwenyezi Mungu. Mwaka 2015 Afrika Mashariki itakuwa nchi moja na Rais atakuwa Y. M7.
Sasa hivi wanakaribia kutangaza.
Kuna mgombea wa CCM tu.
Msimamizi wa uchaguzi amemtangaza rasmi Dr. Kafumu kuwa mshindi wa uchaguzi huu
WAPIGA KURA WALIOJIANDIKISHA WILAYA YA IGUNGA 171019
Waliopiga kura kw jimbo zima 56072 sawa 33%
MATOKEO:
- CCM KURA 26,484 sawa na 47%
- CHADEMA 23,260 sawa na 41%
- CUF 2,104 sawa na 4%
- AFP 282 sawa na 0.5%
- CHAUSTA 182 sawa na 0.3%
- SAU 83 sawa na 0.1%
- DP 76 sawa na 0.1%
- UPDP 63 sawa na 0.0%
![]()
You are right. The Voter Register. It is rigged.Only 29% did the voting??????????? Something is very wrong somewhere!!!!!!!!!
Mkuu, fanyeni tathmini ya kina sana. Mimi naamini ushindi wa CCM unatengenezwa mapema mno hata kabla ya kampeni kuanza. Huo wanaouita mtandao wa kompyuta ambao haujazoeleka eti ndio unachelewesha kutangazwa matokeo mapema ukoje? Kwa jimbo moja kama Igunga hata Excel Spreadsheet ingeweza kutumika na ikatoa matokeo mapema. Huo ambao vyama havina uelewa wa kutosha wa code yake tutauamini vipi? Unaweza kuwa umekuwa programmed kuhamisha kura za upinzani na kuipa CCM. George Bush alifanya hivyo dhidi ya Al Gore.
Nimeipenda mbinu yako ya kujifariji..Tathmini ya kina ni muhimu sana ili kujipanga mapema iwezekanavyo, mapambano bado yanaendelea. Kilichotokea igunga ni sawa na kupoteza askari mmoja kwenye uwanja wa mapambano.
Hongera CCM... lakini?
Poleni upinzani. Kuna somo la kujifunza: Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu. Usemi huu unaweza kuthibitishwa na matokeo ya huko Igunga: Ukijumlisha CDM (41%)+CUF (4%)+AFP (0.5%)+CHAUSTA (0.3%)+SAU (0.1%)+DP (0.1%)+UPDP (0.0%) = 46% plus mikakati ya pamoja, wangeweza kushinda
Nimeipenda mbinu yako ya kujifariji..
Mnapaswa kufahamu kuwa wananchi wana imani na ccm, hayo matokeo ya kura ni kulazimisha watu waelekee huko.
Hawa watu wanawapima kwa kila hali na nyie mmekaa tu mnakubali.Hawezekani ccm waendelee kudekezwa kwenye haya kwasababu tu ni walafi ambao hawataki kuyaachia maslahi yao binafasi ya kuifisadi hii nchi.Hilo haliwezekani kabisa.Chama kina kashafa ya ufisadi,kinakuja eti na kauli za kujivua magamba.
Na wakati magamba yenyewe bado yamo.Na gharama za uchaguzi bila hata ya watuhumiwa kufikishwa mahakamani!Linchi la hovyo hili kwasababu tunachaguliwa viongozi na mijitu ya hovyo ambayo hadi unajuta kuzaliwa Tanzania..
Niliwahi kuumizwa sana na namna Watanzania wanavyochagua viongozi wao mpaka nikajuta kuwa Mtanzania, lakini baadae nikakubali hali halisi ili kuepuka kupata vidonda vya tumbo buree, na kuyaangalia maisha yangu na jamii yangu binafsi kwanza.
Watanzania ni zaidi ya uwajuavyo..., ukiviweka hivi vitu seriously moyoni utakosa furaha yako buree, kula maisha yako binafsi, Watanzania wakiamua kubadilika tutakutana nao mbele ya safari, by the way ujamaa ulishakufa ati...
NIMEJARIBU KUJUMLISHA KURA ZA CHADEMA, CUF, AFP, CHAUSTA, SAU, DP, UPDP lakini hazijafikia kura za CCM!
Kweli nimeamini CCM inapendwa!
Hongera sana Dr. Kafumu.
Viva CCM
Hapa tupo Kichama zaidi....Ya Arsenal tuyaache kule kule...Na utazidi kuipenda tu.Mbona arsenal inachapwa kote kote na bado unaipenda!?
Magwanda ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Hamkubaliki.
Ilala, Temeke na Kinondoni!!CCM inapendwa na watu wasiojua kuwa wamekuwa mafukara wa kutupwa kwa sababu ya viongozi wao wezi wanaoiba mchana kweuuuupe!
CCM inapendwa na watu wa vijijini wasiojua haki zao za msingi walizopokonywa na hawa magamba.
Anyway 2015 is not far!
Hapa tupo Kichama zaidi....Ya Arsenal tuyaache kule kule...
Halafu lugha uliyotumia inaonyesha you are not matured enough
Hapa tupo Kichama zaidi....Ya Arsenal tuyaache kule kule...
Halafu lugha uliyotumia inaonyesha you are not matured enough
huu ushindi ni mgumu kumeza
Mkuu Jikaze ndo mambo ya Sihasa
cuf 2104