Igunga OFFICIAL Results: Dr. Kafumu atangazwa mshindi

Igunga OFFICIAL Results: Dr. Kafumu atangazwa mshindi

Kwa jimbo amabalo Chadema haikuwa na mizizi kabisa, Chadema wasisonoke sana hasa ikizingatiwa kwamba uenda CUF alisaidia kuwambia wapiga kura wake wampe CCM kwa kuwa na bifu kali na Chadema. Well tried Chadema.
 
masikini wana Igunga...dah..wanarudia makosa yaleyale???:Cry::Cry:
 
Magwanda ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

Hamkubaliki.
Hao 23,000 ni walitoka wapi, walikuwa nyuma kwa kura 3000 wakapanda ghafla kwa kura 3000 hiyo si ajabu kweli?????????? Unasema CDM haikubaliki au ni wizi wa kura??????????
 
Wizi mtupu!!! Kwa herini

haya yalitarajiwa na wengi!
 
Hivi kweli wanaigunga wanauwezo mdogo kiasi hicho!!? Kuirudisha ccm madarakani ni utovu wanizamu kwa watanzania
 
Mimi nawapa hongera wanachadema kwani wazee walihema kweli si uliona serikali yote ilihamia igunga hawa vijana wanafanya kazi kweli nina matumaini ya kuwa mwaka 2015 kutakuwa na kazi kubwa huenda mawaziri wengi wakaangushwa.Pongezi nyingi zimweendee Freeman Mbowe, Dr Slaa, Nzito na wapiganaji wengine wametuoneha kuwa wana weza kazi kwakweli tuna wapenda kwa kuleta changamoto katika siasa.
 
Ushindi wa Kafumu ni % ngapi ya watu waliokuwamo kwenye daftari la kudumu la wapiga kura wa Igunga? Na ni % ngapi ya wana Igunga wote walio na umri wa miaka 18 na kuendelea?
 
Nasikiliza TBC wamemtangaza mgombea wa CCM mshindi.Siamini. Nadhani Wamechakachua. CDM mapambano yanaendelea ........................................, Never give up!

Huyu jamaa anaetangaza matokeo ni mwajiriwa wa serikali ya CCM. Chadema piganieni TUME HURU ya uchaguzi otherwise tutaendelea kushuhudia mazingaombwe yaleyale.

Kamanda Mbowe, Slaa, Zitto aluta kontinua, tuko pamoja nanyi.
 
Kwetu sisi CDM kura 23,260 dhidi ya 26,484 za CCM ni indicator ya wazi kwamba chadema inakubalika na kufikia 2015 tunatarajia mabadiliko makubwa sana. mwache naye Dr. akapige makofi na kugonga meza bungeni na hizo kura 3000 alizoshinda. Chadema bado iko juu na mwanzo wa ngoma ni lele
 
Siamini kama in kweli watu wa Igunga wamethubutu kuichagua CCM tena pamoja na hali mbaya ya maisha yao na watanzania kwa ujumla, sasa watanzania tunaishi sawa na maisha ya inzi akiwa jalalani kwani inzi hubahatisha na kusubiri uozo utakaotupa jalalani siku hiyo nasi tunasubiri tu hawa mafisadi wakishiba ndipo yale makombo tunapewa wananchi kwa kauli ya CCM imefanya mengi ktk miaka 50 ya uhuru!!!!! Wananchi tuamke tuwakae na kuwahukumu hawa mafisadi CCM, lazima tuwaondoe kwenye sanduku la kura.
 
Back
Top Bottom