Igunga OFFICIAL Results: Dr. Kafumu atangazwa mshindi

Igunga OFFICIAL Results: Dr. Kafumu atangazwa mshindi

Mungu yu mwema. Tuendelee kuomba kwa imani maana ccm kwa kuchakachua tuu wamebobea. But soon ukombozi wa haki utarejea kwa kishindo maana chama kikongwe kinapata kura 26682 inasikitisha angali wapinzani wamepata 23... dalili nzuri kwa people's power.
 
Awali ya yote nashukuru Uchaguzi Igunga umekwisha na sasa tugange yajayo!
Kwa wanaChadema, matokeo haya niliyasema mapema sana nikisema ndio ukweli na hali halisi ingawa inauma. Sasa swali la kujiuliza sielewi mmejifunza kipi!
Na mkuu wangu, Feedback na Quinine nataka muelewe kwamba watu kama nyie ndio mmechangia sana kuanguka kwa CDM, na CCM wataendelea kutumia jazba zenu kama nyenzo ya kuwapa ushindi mahala popote.

Mkuu kweli tunatakiwa kufanya tathmini ili tuweze kujifunza kitu, vinginevyo itakuwa ni marudio kila uchaguzi.

ccm wako smart maeneo fulani fulani achilia mbali matumizi ya vyombo vya dola na serikali, ambayo tunapaswa kuyagundua na kuyafanyia kazi haraka iwezekanavyo.

Ni kweli tunahitaji kuwa wavumilivu hasa kwa wanachama na washabiki wa chadema ili kuepusha uwezekano wa ku tarnish jina la chadema miongoni mwa watanzania wanaotutegemea na kutarajia mapinduzi ya kweli toka kwa chadema.
 
CDM kama wameshindwa kwa asilimia 6,ama sawa na kura elfu mbili na ushee kati ya 56,072.Ukweli ni kwamba hapo kuna za BAKWATA zilizochochewa na udini wa ccm.Mimi nashangaa mnawabembelezea nini wadini na watu wakabila.Hizo chuki ni ngumu sana kuzifuta.Hata ufanyaje huwezi kuzifuta chuki za kidini kama zikishapandikizwa.

Hawa watu wanawapima kwa kila hali na nyie mmekaa tu mnakubali.Haiwezekani ccm waendelee kudekezwa kwenye haya kwasababu tu ni walafi ambao hawataki kuyaachia maslahi yao binafasi ya kuifisadi hii nchi.Hilo haliwezekani kabisa.Chama kina kashfa kibao za ufisadi zinazohitaji majibu,kinakuja eti na kauli za kujivua magamba.

Na wakati magamba yenyewe bado yamo ndani.Na gharama za uchaguzi bila hata ya watuhumiwa kufikishwa mahakamani!Linchi la hovyo hili kwasababu tunachaguliwa viongozi na mijitu ya hovyo ambayo hadi unajuta kuzaliwa Tanzania.

Ila kwasababu nyumbani ni nyumbani.Basi ni lazima tusafishe nyumba.Nani kasema hii nchi ni ya watu wachache wenye uchu na wenye kufuja rasilimali? Halafu wenye kupanda chuki za kidini?There is no way we can move forward like this.

Something has to be done.Something very imminent!Otherwise we are heading to a "Failed State" status.Si kila mtu atakubali kuongozwa na hawa watu.
 
Kwa wale wanaoitajataja sana bakwata inaonekana mnawapenda sana,c muhamie huko?achen mambo yakipuuz wao waliona wanahakiyao yakusema wakasema nyie mnawaingiza kwenye siasa,makanisa yakisema yao wako sahih wakisema bakwata wamekosea cyo,achen mambo yakishamba
 
CDM kama wameshindwa kwa asilimia 6,ama sawa na kura elfu tatu na ushee kati ya 56,072.Ukweli ni kwamba hapo kuna za BAKWATA zilizochochewa na udini wa ccm.Mimi nashangaa mnawabembelezea nini wadini na watu wakabila.Hizo chuki ni ngumu sana kuzifuta.Hata ufanyaje huwezi kuzifuta chuki za kidini kama zikishapandikizwa.

Hawa watu wanawapima kwa kila hali na nyie mmekaa tu mnakubali. Hawezekani ccm waendelee kudekezwa kwenye haya kwa sababu tu ni walafi ambao hawataki kuyaachia maslahi yao binafasi ya kuifisadi hii nchi. Hilo haliwezekani kabisa. Chama kina kashafa ya ufisadi, kinakuja eti na kauli za kujivua magamba, na wakati magamba yenyewe bado yamo.

Na gharama za uchaguzi bila hata ya watuhumiwa kufikishwa mahakamani!Linchi la hovyo hili kwasababu tunachaguliwa viongozi na mijitu ya hovyo ambayo hadi unajuta kuzaliwa Tanzania. Ila kwasababu nyumbani ni nyumbani.Basi ni lazima tusafishe nyumba.Nani kasema hii nchi ni ya watu wachache wenye uchu na wenye kufuja rasilimali?Halafu wenye kupanda chuki za kidini?

There is no way we can move forward like this.Something has to be done.Something very imminent!Otherwise we are heading to a "Failed State" status.Si kila mtu atakubali kuongozwa na hawa watu.

Mkuu andika taratibu usitokwe na mapovu CCM ndo imeshinda hivyo
 
Hizo kura elfu mbili ni kura za chuki na wala si eti sera za majambazi hawa.I hate those people like i can never be able to describe.
 
Okey wana haki ya kususa. na wanastahili pongezi jaribu kufikiri , wanapambana na ccm, cuf , bakwata na serikali, we kataka akiri yako na elimu yako ya madrasa unategea haki hapo????? acha kufikiri kwa kutumia masaburi .

umesahau kuwa taja polisi, CDM wamepambana na kundi kubwa mno, hadi tume ya uchaguzi, loh!
 
Mkuu andika taratibu usitokwe na mapovu CCM ndo imeshinda hivyo
Hizo kura elfu mbili za majambazi ni zile za chuki!Si lilikuwa jimbo la KIngmaker wenu hilo?Mkibanwa zaidi mnakuwa desparate.Hivi kweli unakuja hapa kushangalia ushindi given your campaign?Mimi nakwambia mmeanzisha cheche mbaya sana nchini.Sijui mtakaa wapi vikiwaka.
 
ni aibu kwa CCM: pamoja na wizi wote huo, gharama kubwa mlizotumia kuwalipa night viongozi wakubwa wa ki-taifa kama vile Rais Mstaafu Mh. B.Mkapa bado mnashinda kwa tofauti ya Kura 3000 dhidi ya CDM. Duh CDM mwendo ni huohuo hakuna kurudi nyuma 2015 Tanzania itakuwa kama Zambia.
 
Okey wana haki ya kususa. na wanastahili pongezi jaribu kufikiri , wanapambana na ccm, cuf , bakwata na serikali, we kataka akiri yako na elimu yako ya madrasa unategea haki hapo????? acha kufikiri kwa kutumia masaburi .
NIMEJARIBU KUJUMLISHA KURA ZA CHADEMA, CUF, AFP, CHAUSTA, SAU, DP, UPDP lakini hazijafikia kura za CCM!
Kweli nimeamini CCM inapendwa!
Hongera sana Dr. Kafumu.
Viva CCM
 
Hizo kura elfu tatu za majambazi ni zile za chuki!Si lilikuwa jimbo la KIngmaker wenu hilo?Mkibanwa zaidi mnakuwa desparate.Hivi kweli unakuja hapa kushangalia ushindi given your campaign?Mimi nakwambia mmeanzisha cheche mbaya sana nchini.Sijui mtakaa wapi vikiwaka.

kwani mshindi ni mtu wa namna gani? Ukimzidi mtu kwa kura moja utakuwa umeshinda?
hakuna chuki ni nyie mnaitengeneza
 
Awali ya yote nashukuru Uchaguzi Igunga umekwisha na sasa tugange yajayo!
Kwa wanaChadema, matokeo haya niliyasema mapema sana nikisema ndio ukweli na hali halisi ingawa inauma. Sasa swali la kujiuliza sielewi mmejifunza kipi!
Na mkuu wangu, Feedback na Quinine nataka muelewe kwamba watu kama nyie ndio mmechangia sana kuanguka kwa CDM, na CCM wataendelea kutumia jazba zenu kama nyenzo ya kuwapa ushindi mahala popote.
Mkuu,kampeni walizopiga hazijustify kabisa ushindi wao.Tena jinsi ulivyokuwa mwembamba na jimbo hilo liliokuwa likishikiliwa na RA?Jimbo ambalo licha ya kwamba sina kumbukumbu,lakini nadhani halijawahi kuchukuliwa na upinzani.Basi ni wazi kabisa bila hizo fouls wasingeshinda.Wanaharibu nchi hawa mkuu.Wlipiga kampeni zenye kuchochea udini,na ukabila.I hate ccm mkuu wangu.
 
Kwa wale wanaoitajataja sana bakwata inaonekana mnawapenda sana,c muhamie huko?achen mambo yakipuuz wao waliona wanahakiyao yakusema wakasema nyie mnawaingiza kwenye siasa,makanisa yakisema yao wako sahih wakisema bakwata wamekosea cyo,achen mambo yakishamba

crappp ,useless head
 
Hizo kura elfu tatu za majambazi ni zile za chuki!Si lilikuwa jimbo la KIngmaker wenu hilo?Mkibanwa zaidi mnakuwa desparate.Hivi kweli unakuja hapa kushangalia ushindi given your campaign?Mimi nakwambia mmeanzisha cheche mbaya sana nchini.Sijui mtakaa wapi vikiwaka.

Wape ukweli wao!! Kura za BAKWATA zimesababisha deficit hii! Tusubiri toune kama nguvu waliyoionesha Igunga watakuwa nayo 2015!!
 
We will issue an official statement soon this evening .

Tutaeleza nini kilitokea na nini kimefanyika na nini muelekeo wetu na nini kitafanyika .
Mkuu, fanyeni tathmini ya kina sana. Mimi naamini ushindi wa CCM unatengenezwa mapema mno hata kabla ya kampeni kuanza. Huo wanaouita mtandao wa kompyuta ambao haujazoeleka eti ndio unachelewesha kutangazwa matokeo mapema ukoje? Kwa jimbo moja kama Igunga hata Excel Spreadsheet ingeweza kutumika na ikatoa matokeo mapema. Huo ambao vyama havina uelewa wa kutosha wa code yake tutauamini vipi? Unaweza kuwa umekuwa programmed kuhamisha kura za upinzani na kuipa CCM. George Bush alifanya hivyo dhidi ya Al Gore.
 
GreatThinkers,
Mwenye macho haambiwi tazama, mtiizamo wangu ni kuwa asiyenazcho kaongezewa aliyenacho kapunguziwa,

2015 wataiba kura ila hazitatosha, hiyo ni fact!!

Hatua kwa Hatua CDM ikitokea Kanda ya ziwa imeanza kuimarika ktkt ya nchi.
Hizo kura 23260(+) zitaendelea kubakia kwa kuwa naamini kiloa mtu aliyepigia CDM amefundishika.
Vijana wengi hawajapiga kura hiyo iko wazi majina yao wameyahamisha hamisha.
 
Sidhani kama ccm wana sababu ya kujipongeza kwa hili, maana ukilinganisha nguvu iliyotumika na bado chadema ikapata kura nyingi kiasi hicho, si jambo la kubeza wanachadema. Na pengine huenda viongozi wa cdm wamesusia kuwepo wakati wa matokeo kutangazwa, kwa sababu mbalimbali, tusubiri tusikie wanasemeje. Hongereni cdm,
 
Back
Top Bottom