IGP, Kama unataka kuwakamata wauaji Pwani...

IGP, Kama unataka kuwakamata wauaji Pwani...

Kwa mtanzania yoyote, kinachoendelea Ikwiriri -Rufgiji, ni hatari ya kutisha!

Tunaanza kuhushuhudia " murder series za ajabu" tena za hatari.
Na ukweli hii ni ishara ya maafa makubwa kwa uhai na maisha ya watanzania kutokea Ikwiriri!
Ikwiriri hakuna wanyama wala wadudu, We need to be extra serious and most patriotic!

JF ni jukwaa huru tena La siri, embu isaidieni serekali yetu ku-identfy waovu hawa!,

Tumechoka na vifo, mauaji na ukatili wa kibinadamu,
KUNA NINI IKWIRIRI?!
 
Mungu awe na wanaochunguza waweze kuwakamata, wanachofanya ni kibaya sana sana na inaisha. Laxima raia wa huko na viongozi hawana amani kabisa kila sekunde.
 
MODS naomba neno MAUJI kwenye heading lisomeke MAUAJI.
 
Mjomba hizo findings mbona kama wewe upo kwenye inner cycle yao.. Umewajuaje viongozi wao ? Na kwamba huyo mzee ndiye anayetoa amri?
Nakumbuka kwenye movie hawa Jamaa wanaotoa order mara nyingi hawatoi order moja kwa moja kwa walio chini yao na hiyo ili kujilinda ikitokea waliotumwa wamefanya fyongo basi sio rahisi kuwatia hatiani ma boss zao

Samahani mafian movies zimeniathiri
Polisi wetu hufelishwa na maswali kama haya yako.
 
Mungu awe na wanaochunguza waweze kuwakamata, wanachofanya ni kibaya sana sana na inaisha. Laxima raia wa huko na viongozi hawana amani kabisa kila sekunde.
Bashite ana amani sana ndiyo maana anawaacha walinzi wake na kupanda tax kwenda kukutana faragha na Wolper kiharufu.
 
Afande IGP Naomba uzingatie yafuatayo naamini yatakusaidia kujua una deal na watu wa aina gani huko mkoani pwani
1. You are dealing with a Very well organized and calculating criminals

2. Kuna kitu kikukbwa kinachowaunganisha (wanaongea lugha moja au ni watu wa dini moja)

3. Wana plan uhalifu kwa muda wa kutosha kwa kutumia wasiri walio ktk eneo husika, (surveying targets movements kabla hawajatekeleza tukio)

4. Kundi la wauaji (hit men) ni dogo kati ya watu 3 mpaka 7 na nguvu hutumika accordingly

5. Wana viongozi wasiozidi 2 wanaowatii na hao ndio wanaamrisha utekelezaji wa uhalifu

6. Kiongozi mmoja ni mtu mzima na kwa matukio aliyoyamrisha so far ni mtu amabye hapendi kuwe na confrontation kati ya wauaji na targets na huyu ndio anamrisha matukio mengi yanayotokelezwa usiku

7. Kiongozi mmoja yuko mid thirty, huyu ni hatari na he is ready for anything na most possibly aliamrisha matukio yote au mengi ya late evening including ya askari wetu

8. Ni watu ambao wako very mobile na wana sources of funding na majority wanaishi mjini

9. Kiongozi mmojawapo na/au kiranja wa hao hit men ana mafunzo ya kijeshi au alikua ni askari

10. Hawa wanaotekeleza uuaji ni watu wenye familia, wengi wako between 26 to 37

11. Very possible one of the hitmen ni mtu amabye amefanya kazi za porini kwa muda mrefu ikiwa pamoja na udereva wa kubeba mchanga, mkaa, kuni au mazao ya misitu na yuko familiar sana na maeneo ya misitu

12. Wameanza na weak targets (low level leaders) na kadri muda unavyoenda na kama hawatodhibitiwa wataenda hatua kubwa ya kuvamia makundi makubwa au bigger targets

13. Kwakua matukio mengi yanatokea late evening au usiku, hawa ni watu wanaohofia kujulikana, kukamatwa lakini pia usalama wa familia zao (just in case)

14. Kwakua wauaji wamekua wakiacha signatures zinazofanana kwa kila tukio, ikiwemo kutukuua wanawake, hawaibi au watoto kuna uwezekana mkubwa kinachowaunganisha ni dini

15. Karibu matukio mengi wanatumia assault rifles, na hatujasikia wao kutumia weapons of opportunity, ni muhimu kutumia mbinu na nguvu kuliko wanazotumia wao

16. Aina wa uhalifu huo kwakua sio common sana hapa kwetu, intelligence unazokusanya ni vema ukaenda beyond our borders na kama kuna simila unsolved cases kama hizo kwa nchi jirani

17. so far motive yao is to make a political statement polisi peke yao hawatoweza, other law enforcement agencies should put reasonable amount of resources ktk hili janga

ntarudi
Mkuu salute kwako kuna sehemu kama haupo kule, basi unafaa sana kule.
 
Mkuu uchambuzi uko detailed kama hujajilinda au hujui kujilinda kimtandao JF kama wanaweza wakulinde kimtandao.
 
wakuu kuna habri hapa ambazo ni classified kuwa wafadhili na watu wanaojua mtandao huu wa kiislam na kigaidi ni high profile politicians.Kuna watu wanataka wanampango wa kuleta mambo ya Nigeria hapa na pia lengo lao ni kufanya Tanzania kuwa dola la kiislam.
 
Back
Top Bottom