Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,221
jeshi la POLISI lirejeshe imani kwa wananchi ili kufanikisha mission zao
Yaani wewe ndio nimekudharau zaidi maana unabugia kila kitu!BIla shaka elimuyako ni ndogo sana achana na ufahamu,na sio jambo geni kujua wewe unaishia kusoma magazeti ya UWAZI NA IJUMAA na ukijitahd sn unaangalia star tv NEWS,wenzako wanaangalia ht CNN,BBC etc kuna chanels kibao zainvestigation watu km TECHNOLOGY wanaangalia sn,lazima hapa utaona maluweluwe waachie maGT
Unatakiwa umakini mkubwa sana wa hicho unachopendekezakwa kifupi na kwa kusummirize kibiti panahitaji intelijensia ya kujiingiza katikati ya jamii (Collaborationa trick) ndipo ujue chanzo nini na ni watu gani, ndipo upande tactics za kuwakamata...mkitumia tu nguvu wale watu watawashinda.
Tatizo la haya mapolisi ya CCM badala ya kuwatafuta wauaji wataanza kubisha hodi JF kukutafuta wewe, haha...yan ukisikia wanakwambia INTEREJENSHIA YA GESHI RA PORISHI uwezo wake ndo huo tu...kwenda kubisha hodi JF na kumkamata Tundu Lissu!Afande IGP Naomba uzingatie yafuatayo naamini yatakusaidia kujua una deal na watu wa aina gani huko mkoani pwani
1. You are dealing with a Very well organized and calculating criminals
2. Kuna kitu kikukbwa kinachowaunganisha (wanaongea lugha moja au ni watu wa dini moja)
3. Wana plan uhalifu kwa muda wa kutosha kwa kutumia wasiri walio ktk eneo husika, (surveying targets movements kabla hawajatekeleza tukio)
4. Kundi la wauaji (hit men) ni dogo kati ya watu 3 mpaka 7 na nguvu hutumika accordingly
5. Wana viongozi wasiozidi 2 wanaowatii na hao ndio wanaamrisha utekelezaji wa uhalifu
6. Kiongozi mmoja ni mtu mzima na kwa matukio aliyoyamrisha so far ni mtu amabye hapendi kuwe na confrontation kati ya wauaji na targets na huyu ndio anamrisha matukio mengi yanayotokelezwa usiku
7. Kiongozi mmoja yuko mid thirty, huyu ni hatari na he is ready for anything na most possibly aliamrisha matukio yote au mengi ya late evening including ya askari wetu
8. Ni watu ambao wako very mobile na wana sources of funding na majority wanaishi mjini
9. Kiongozi mmojawapo na/au kiranja wa hao hit men ana mafunzo ya kijeshi au alikua ni askari
10. Hawa wanaotekeleza uuaji ni watu wenye familia, wengi wako between 26 to 37
11. Very possible one of the hitmen ni mtu amabye amefanya kazi za porini kwa muda mrefu ikiwa pamoja na udereva wa kubeba mchanga, mkaa, kuni au mazao ya misitu na yuko familiar sana na maeneo ya misitu
12. Wameanza na weak targets (low level leaders) na kadri muda unavyoenda na kama hawatodhibitiwa wataenda hatua kubwa ya kuvamia makundi makubwa au bigger targets
13. Kwakua matukio mengi yanatokea late evening au usiku, hawa ni watu wanaohofia kujulikana, kukamatwa lakini pia usalama wa familia zao (just in case)
14. Kwakua wauaji wamekua wakiacha signatures zinazofanana kwa kila tukio, ikiwemo kutukuua wanawake, hawaibi au watoto kuna uwezekana mkubwa kinachowaunganisha ni dini
15. Karibu matukio mengi wanatumia assault rifles, na hatujasikia wao kutumia weapons of opportunity, ni muhimu kutumia mbinu na nguvu kuliko wanazotumia wao
16. Aina wa uhalifu huo kwakua sio common sana hapa kwetu, intelligence unazokusanya ni vema ukaenda beyond our borders na kama kuna simila unsolved cases kama hizo kwa nchi jirani
17. so far motive yao is to make a political statement polisi peke yao hawatoweza, other law enforcement agencies should put reasonable amount of resources ktk hili janga
ntarudi
On point, Sir!Wakati kenya hayo mambo yanatokea, tulijiona tuko mbali. Tunaendelea kuhubiri amani wakati huku tukitengeneza makundi yanayochukiana kwa kuamini kwamba kwa kufanya hivyo tunadhibiti amani ktk nchi. Enzi za mwalimu ulinzi wetu ulikuwa haupenyeki kwa sababu tulijiona ni wamoja lkn kwa sasa chuki zinajengwa kuanzia bungeni, makazini, mitaan, kkatika biashara hadi ktk uongozi. Haiwezekani nchi moja watu walewale lakini umchukie mtu kiasi hicho kisa ni mpinzani. Viongozi wetu wanakiuka hata mila na desturi zetu kwa kua tu mtu wanaye deal naye ni chama kingine, mifano imetokea arusha na kilimanjaro chini ya rc gambo wakati wa misiba. Vijana wetu hawa focus yao ni leo bila kuangalia kesho... wansfanya kwa kudhani wataonekana wachapakazi lkn hawajui wanatengeneza gap kubwa miongoni mwa watanzania. Chuki za kisiasi zinavinyemerezi vingi lkn vikubwa ni udini, ukabila na ukanda.
Bainisha manyanyaso ambayo yako sawa na kutoa uhai wa mtu acha ushabiki. Watakapoua ndugu yako huwezi kusema hivi. Wanaowaua ni masikini tu wenye dhiki kama wao. Kukatza kuuza mkaa ni nafasi yake inamtaka atekeleze hilo jukumu hastahili kufa kwa sababu hiyo hata kidogo.Unafikiri kutrain shabaha ni kazi sana? Kuna watu by nature wanashabaha ukichanganya na uchungu wa manyanyaso wanaweza sana kupiga risasi za vichwa
mkuu ni analysis tu kwa ku review taarifa za matukio. confidance waliyokua nayo hao wauaji, consistance mara nyingi hazifanywi ni mhalifu mtoto.Utakuwa unajua kitu,uliposema kiongozi mkuu ni mtu mzima na msaidizi ni kijana wa miaka ya 37.Mara ni wa dini,mara wanakaa nje ya pale..
Narudia tena kambi ya jeshi la wananchi inahitajika kule kibiti tena ni kambi ya mafunzo kama ile ya kihangaiko pale msata.....otherwise kibiti is not safe.Afande IGP Naomba uzingatie yafuatayo naamini yatakusaidia kujua una deal na watu wa aina gani huko mkoani pwani
1. You are dealing with a Very well organized and calculating criminals
2. Kuna kitu kikukbwa kinachowaunganisha (wanaongea lugha moja au ni watu wa dini moja)
3. Wana plan uhalifu kwa muda wa kutosha kwa kutumia wasiri walio ktk eneo husika, (surveying targets movements kabla hawajatekeleza tukio)
4. Kundi la wauaji (hit men) ni dogo kati ya watu 3 mpaka 7 na nguvu hutumika accordingly
5. Wana viongozi wasiozidi 2 wanaowatii na hao ndio wanaamrisha utekelezaji wa uhalifu
6. Kiongozi mmoja ni mtu mzima na kwa matukio aliyoyamrisha so far ni mtu amabye hapendi kuwe na confrontation kati ya wauaji na targets na huyu ndio anamrisha matukio mengi yanayotokelezwa usiku
7. Kiongozi mmoja yuko mid thirty, huyu ni hatari na he is ready for anything na most possibly aliamrisha matukio yote au mengi ya late evening including ya askari wetu
8. Ni watu ambao wako very mobile na wana sources of funding na majority wanaishi mjini
9. Kiongozi mmojawapo na/au kiranja wa hao hit men ana mafunzo ya kijeshi au alikua ni askari
10. Hawa wanaotekeleza uuaji ni watu wenye familia, wengi wako between 26 to 37
11. Very possible one of the hitmen ni mtu amabye amefanya kazi za porini kwa muda mrefu ikiwa pamoja na udereva wa kubeba mchanga, mkaa, kuni au mazao ya misitu na yuko familiar sana na maeneo ya misitu
12. Wameanza na weak targets (low level leaders) na kadri muda unavyoenda na kama hawatodhibitiwa wataenda hatua kubwa ya kuvamia makundi makubwa au bigger targets
13. Kwakua matukio mengi yanatokea late evening au usiku, hawa ni watu wanaohofia kujulikana, kukamatwa lakini pia usalama wa familia zao (just in case)
14. Kwakua wauaji wamekua wakiacha signatures zinazofanana kwa kila tukio, ikiwemo kutukuua wanawake, hawaibi au watoto kuna uwezekana mkubwa kinachowaunganisha ni dini
15. Karibu matukio mengi wanatumia assault rifles, na hatujasikia wao kutumia weapons of opportunity, ni muhimu kutumia mbinu na nguvu kuliko wanazotumia wao
16. Aina wa uhalifu huo kwakua sio common sana hapa kwetu, intelligence unazokusanya ni vema ukaenda beyond our borders na kama kuna simila unsolved cases kama hizo kwa nchi jirani
17. so far motive yao is to make a political statement polisi peke yao hawatoweza, other law enforcement agencies should put reasonable amount of resources ktk hili janga
ntarudi
hiyo kambi ita cover maeneo yote mkuu? kumbuka hao jamaa wako very mobile?Narudia tena kambi ya jeshi la wananchi inahitajika kule kibiti tena ni kambi ya mafunzo kama ile ya kihangaiko pale msata.....otherwise kibiti is not safe.
Afande IGP Naomba uzingatie yafuatayo naamini yatakusaidia kujua una deal na watu wa aina gani huko mkoani pwani
1. You are dealing with a Very well organized and calculating criminals
2. Kuna kitu kikukbwa kinachowaunganisha (wanaongea lugha moja au ni watu wa dini moja)
3. Wana plan uhalifu kwa muda wa kutosha kwa kutumia wasiri walio ktk eneo husika, (surveying targets movements kabla hawajatekeleza tukio)
4. Kundi la wauaji (hit men) ni dogo kati ya watu 3 mpaka 7 na nguvu hutumika accordingly
5. Wana viongozi wasiozidi 2 wanaowatii na hao ndio wanaamrisha utekelezaji wa uhalifu
6. Kiongozi mmoja ni mtu mzima na kwa matukio aliyoyamrisha so far ni mtu amabye hapendi kuwe na confrontation kati ya wauaji na targets na huyu ndio anamrisha matukio mengi yanayotokelezwa usiku
7. Kiongozi mmoja yuko mid thirty, huyu ni hatari na he is ready for anything na most possibly aliamrisha matukio yote au mengi ya late evening including ya askari wetu
8. Ni watu ambao wako very mobile na wana sources of funding na majority wanaishi mjini
9. Kiongozi mmojawapo na/au kiranja wa hao hit men ana mafunzo ya kijeshi au alikua ni askari
10. Hawa wanaotekeleza uuaji ni watu wenye familia, wengi wako between 26 to 37
11. Very possible one of the hitmen ni mtu amabye amefanya kazi za porini kwa muda mrefu ikiwa pamoja na udereva wa kubeba mchanga, mkaa, kuni au mazao ya misitu na yuko familiar sana na maeneo ya misitu
12. Wameanza na weak targets (low level leaders) na kadri muda unavyoenda na kama hawatodhibitiwa wataenda hatua kubwa ya kuvamia makundi makubwa au bigger targets
13. Kwakua matukio mengi yanatokea late evening au usiku, hawa ni watu wanaohofia kujulikana, kukamatwa lakini pia usalama wa familia zao (just in case)
14. Kwakua wauaji wamekua wakiacha signatures zinazofanana kwa kila tukio, ikiwemo kutukuua wanawake, hawaibi au watoto kuna uwezekana mkubwa kinachowaunganisha ni dini
15. Karibu matukio mengi wanatumia assault rifles, na hatujasikia wao kutumia weapons of opportunity, ni muhimu kutumia mbinu na nguvu kuliko wanazotumia wao
16. Aina wa uhalifu huo kwakua sio common sana hapa kwetu, intelligence unazokusanya ni vema ukaenda beyond our borders na kama kuna simila unsolved cases kama hizo kwa nchi jirani
17. so far motive yao is to make a political statement polisi peke yao hawatoweza, other law enforcement agencies should put reasonable amount of resources ktk hili janga
ntarudi
Yaani wewe ndio nimekudharau zaidi maana unabugia kila kitu!