IGP, Kama unataka kuwakamata wauaji Pwani...

Technology

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
769
284
Afande IGP Naomba uzingatie yafuatayo naamini yatakusaidia kujua una deal na watu wa aina gani huko mkoani pwani
1. You are dealing with a Very well organized and calculating criminals

2. Kuna kitu kikukbwa kinachowaunganisha (wanaongea lugha moja au ni watu wa dini moja)

3. Wana plan uhalifu kwa muda wa kutosha kwa kutumia wasiri walio ktk eneo husika, (surveying targets movements kabla hawajatekeleza tukio)

4. Kundi la wauaji (hit men) ni dogo kati ya watu 3 mpaka 7 na nguvu hutumika accordingly

5. Wana viongozi wasiozidi 2 wanaowatii na hao ndio wanaamrisha utekelezaji wa uhalifu

6. Kiongozi mmoja ni mtu mzima na kwa matukio aliyoyamrisha so far ni mtu amabye hapendi kuwe na confrontation kati ya wauaji na targets na huyu ndio anamrisha matukio mengi yanayotokelezwa usiku

7. Kiongozi mmoja yuko mid thirty, huyu ni hatari na he is ready for anything na most possibly aliamrisha matukio yote au mengi ya late evening including ya askari wetu

8. Ni watu ambao wako very mobile na wana sources of funding na majority wanaishi mjini

9. Kiongozi mmojawapo na/au kiranja wa hao hit men ana mafunzo ya kijeshi au alikua ni askari

10. Hawa wanaotekeleza uuaji ni watu wenye familia, wengi wako between 26 to 37

11. Very possible one of the hitmen ni mtu amabye amefanya kazi za porini kwa muda mrefu ikiwa pamoja na udereva wa kubeba mchanga, mkaa, kuni au mazao ya misitu na yuko familiar sana na maeneo ya misitu

12. Wameanza na weak targets (low level leaders) na kadri muda unavyoenda na kama hawatodhibitiwa wataenda hatua kubwa ya kuvamia makundi makubwa au bigger targets

13. Kwakua matukio mengi yanatokea late evening au usiku, hawa ni watu wanaohofia kujulikana, kukamatwa lakini pia usalama wa familia zao (just in case)

14. Kwakua wauaji wamekua wakiacha signatures zinazofanana kwa kila tukio, ikiwemo kutukuua wanawake, hawaibi au watoto kuna uwezekana mkubwa kinachowaunganisha ni dini

15. Karibu matukio mengi wanatumia assault rifles, na hatujasikia wao kutumia weapons of opportunity, ni muhimu kutumia mbinu na nguvu kuliko wanazotumia wao

16. Aina wa uhalifu huo kwakua sio common sana hapa kwetu, intelligence unazokusanya ni vema ukaenda beyond our borders na kama kuna simila unsolved cases kama hizo kwa nchi jirani

17. so far motive yao is to make a political statement polisi peke yao hawatoweza, other law enforcement agencies should put reasonable amount of resources ktk hili janga

==================================================

a. They are standing behind high powered riffles hunting innocent people

b. These are evils, cowards, weak and crazy people

c. Najaribu kupaza sauti za wajane na watoto wa marehemu wote waliouawa

===================================================

UPDATES..........................

1. Kwa mara ya kwanza wamebadilisha presentation of their political statement that they are trying to broadcast by targeting and killing a woman (I believe this must have brought a lot of misunderstanding among themselves)

2. Kuna chance kubwa saana ndani ya kundi la hawa jamaa kuna muhalifu ambaye ktk shughuli zake anashughulika na ufundi umeme, simu au ufundi pikipiki/gari na ni aina ya mtu amaye yuko very cautious na yuko radhi aendeshe pikipiki hata kilomita 60 kupiga simu moja na kurudhisha ujumbe kwa kundi ili wasigundulike their current location. Huyu kuna uwezekano ndio atakua ame develop communication mechanism and short communication formats wanapotaka kuwasiliana!

3. It is unusual for serial killers to cross sex or race lakini hawa wameanza kufanya, hii ni dalili njema kwa jeshi letu kwamba juhudi zao zitazaa matunda very soon, wanachojaribu kuonesha ni kwamba they can hit any target at any time lakini ukweli ni kwamba siku zao zinakaribia na tayari wanaona a heavy presence of police and other officers activities na hueanda some of their sources wameguswa na askari tayari

4. Laana ya damu za marehemu zinawalilia everywhere they go!!!!! Now, if Police get everything right na wakaendelea kuwasaka, watajaribu kutumia excessive amount of energy ( licha ya kutumia bunduki kuua watu wasio na makosa, wanaweza kutumia panga au kisu kuchoma/kukata miili ya marehemu sehemu za juu, kuwamwagia marehemu/ mahututi petrol and burn bodies au nyumba)

5. Idea ya kuwasubir mpaka wafanye mistake ili kuwakamata is right but not appropriate at this time, the pressure from all communities is so high. People are demanding answers (The damage has been massive)

6. Some few questions kwa wakazi wa maeneo hayo kama mnapata muda wa kusoma maelezo yangu

a. Kuna mtu au watu ambao ktk kipindi toka mauaji yaanze na walikua wakazi wa maeneo hayo wamefungwa jela long sentences na chanzo ni madai au mashtaka yaliyosababishwa na serikali za mitaa

b. Kuna watu au kikundi kilichopoteza ardhi au waliuza kwa bei ya chini na baadae wakagundua wamepoteza na wakajaribu kuirudisha bila mafanikio waliapa kulipiza kisasi

ntarudi
 
Afande IGP Naomba uzingatie yafuatayo naamini yatakusaidia kujua una deal na watu wa aina gani huko mkoani pwani
1. You are dealing with a Very well organized and calculating criminals

2. Kuna kitu kikukbwa kinachowaunganisha (wanaongea lugha moja au ni watu wa dini moja)

3. Wana plan uhalifu kwa muda wa kutosha kwa kutumia wasiri walio ktk eneo husika, (surveying targets movements kabla hawajatekeleza tukio)

4. Kundi la wauaji (hit men) ni dogo kati ya watu 3 mpaka 7 na nguvu hutumika accordingly

5. Wana viongozi wasiozidi 2 wanaowatii na hao ndio wanaamrisha utekelezaji wa uhalifu

6. Kiongozi mmoja ni mtu mzima na kwa matukio aliyoyamrisha so far ni mtu amabye hapendi kuwe na confrontation kati ya wauaji na targets na huyu ndio anamrisha matukio mengi yanayotokelezwa usiku

7. Kiongozi mmoja yuko mid thirty, huyu ni hatari na he is ready for anything na most possibly aliamrisha matukio yote au mengi ya late evening including ya askari wetu

8. Ni watu ambao wako very mobile na wana sources of funding na majority wanaishi mjini

9. Kiongozi mmojawapo na/au kiranja wa hao hit men ana mafunzo ya kijeshi au alikua ni askari

10. Hawa wanaotekeleza uuaji ni watu wenye familia, wengi wako between 26 to 37

11. Very possible one of the hitmen ni mtu amabye amefanya kazi za porini kwa muda mrefu ikiwa pamoja na udereva wa kubeba mchanga, mkaa, kuni au mazao ya misitu na yuko familiar sana na maeneo ya misitu

12. Wameanza na weak targets (low level leaders) na kadri muda unavyoenda na kama hawatodhibitiwa wataenda hatua kubwa ya kuvamia makundi makubwa au bigger targets

13. Kwakua matukio mengi yanatokea late evening au usiku, hawa ni watu wanaohofia kujulikana, kukamatwa lakini pia usalama wa familia zao (just in case)

14. Kwakua wauaji wamekua wakiacha signatures zinazofanana kwa kila tukio, ikiwemo kutukuua wanawake, au watoto kuna uwezekana mkubwa kinachowaunganisha ni dini

15. Karibu matukio mengi wanatumia assault rifles, na hatujasikia wao kutumia weapons of opportunity, ni muhimu kutumia mbinu na nguvu kuliko wanazotumia wao

16. Aina wa uhalifu huo kwakua sio common sana hapa kwetu, intelligence unazokusanya ni vema ukaenda beyond our borders na kama kuna simila unsolved cases kama hizo kwa nchi jirani

ntarudi
Utalisaidia jeshi la polisi
 
Mjomba hizo findings mbona kama wewe upo kwenye inner cycle yao.. Umewajuaje viongozi wao ? Na kwamba huyo mzee ndiye anayetoa amri?
Nakumbuka kwenye movie hawa Jamaa wanao toa order mara nyingi hawatoi order moja kwa moja kwa walio chini yao na hiyo ili kujilinda ikitokea waliotumwa wamefanya fyongo basi sio rahisi kuwatia hatiani ma boss zao

Samahani mafian movies zimeniathiri
 
Hii ni vita ya kina Bashite na Mwigulu.
Yaani hii ni vita ya wao kwa wao.

Kipindi walikuwa wanapanga mission za KIJINGA kutupa mabomu kule Olasiti kanisani, Tindikali Zanzibar, Mabomu uwanja wa Soweto Arusha, vita ya wachinja ng'ombe kule Mwanza n.k hawakujua walichokuwa wanakitengeneza.

Sasa wanapambana wao kwa wao.
Na muuwane mpaka mmalizane lkn mind u kuna zaidi ya hilo kwa kilichojengeka sasa
 
Ni kweli kuna kila dalili ya suala la kiimani nyuma ya hawa wauaji.

Serikali isipojipanga mapema hawa watu wataleta madhara makubwa sana na sioni dalili ya hawa watu kusarenda bila mikakati mikubwa sana.
Wanaonekana kwa kweli wamejaa huko Ikwiriri na nchi nzima kuanzia vijijini mpaka mijini. Kwa sasa kuna makundi yanayojifanya yanaimani sana za kidini na hayajali uhai wa wale wasiowaunga mkono.

Serikali itumie mfumo wa ulinzi wa Rwanda au Israel.
Ambapo jeshi linatumika sana kupata information na pia linashirikiana na polisi kulinda usalama wa nchi.

Tanzania tuna majeshi mengi sana lakini cha ajabu watu wa chache wanapora silaha na wanajificha porini na silaha zinatumika kuangamiza maisha ya watu.

Tujiulize kwa nini migambo hawaajiriwi na vijiji kama walinzi kama enzi za awamu ya kwanza ya Mwalimu.

Rwanda polisi na Jeshi wanashirikiana kwenye ulinzi kwa kupeana muda.
Mchana polisi wanafanya kazi na usiku Jeshi linaingia mtaani. Nchi inakua shwari kabisa.

Nchi zote ambazo zina watu wenye imani za kuua ua watu kwa ajili ya kujenga hofu zinazibitiwa kwa mfumo wa ulinzi unaofanana na ule wa Rwanda, Israel,Libya enzi za Gadaff na Iraq enzi za Sadam Husein.
Ni mfumo wa jeshi kuzibiti maeneo wakati wa usiku na kutumia zana kubwa na za kisasa kuwatafuta wahalifu.

Pia mara nyingine mauaji kama hayo wanasiasa hua hawakai siriasi kuyatokomeza kwani ni moja ya matukio ya kuhamisha watu kwenye mijadala mipana ya kuzungumzia umaskini wao na haki zao. Wanabaki wakijawa na hofu kubwa.

Lakini ninaamini kuwa bado hatujaamua kukaa na kufikiri vya kutosha namna ya kuwatokomeza hao majangili wenye viashiria vya kigaidi.

Siamini kuwa hatuna ndege za kijeshi zenye uwezo wa kutafiti na kujua kambi zao zilipo. Hao watu kwa vyovyote wanafanya mafunzo ya kijeshi.

Kwa kweli inabidi amiri jeshi mkuu abadili mfumo wa ulinzi ili doria zifanywe na majeshi yote kwa kubadilishana muda wa kazi kwa sababu polisi wakati mwingine uchache wao unawafanya wawe wanazidiwa maarifa kutokana na kufanya kazi wakiwa wamechoka. Mchana kutwa wanakimbizana na vibaka, wafungwa mahakamani na doria mabarabarani ,mara kukamata mabodaboda n.k. then wanafanya doria tena usiku. Ni wazi kuwa watakuwa wamechoka kiakili na kimwili.
Lakini kama wangekua wanasaidiana wanajeshi na kigambo wakati wa usiku ulinzi ungekua ni jukumu la wanajeshi. Polisi wangekuwa wanavua uniform na kuingia mtaani jioni kusaka taarifa za uhalifu.

Ni muda mrefu tangu hawa wauji wameanza lakini bado hawajakata tamaa mana inaonekana mizizi yake haijawahi kuguswa.

Na hili la kutangaza zawadi nalo pia sio ishu mana kuna watu wataanza kuropoka kuwa wameanza kazi ya kuwasaka hao majangili kwa lengo la kupata fedha hizo matokeo yake wataambulia kuuawa.
Cha msingi ni kuweka intelijensia ya uhakika hata ya kununua na kuwalipa kimya kimya kwa mikataba maalum kama wanavyofanya CIA na FBI.
 
kwa kifupi na kwa kusummirize kibiti panahitaji intelijensia ya kujiingiza katikati ya jamii (Collaborationa trick) ndipo ujue chanzo nini na ni watu gani, ndipo upande tactics za kuwakamata...mkitumia tu nguvu wale watu watawashinda.
Ata ukijichanganya kwenye matope hupati kitu
 
Back
Top Bottom