IGP, Kama unataka kuwakamata wauaji Pwani...

IGP, Kama unataka kuwakamata wauaji Pwani...

kwa kifupi na kwa kusummirize kibiti panahitaji intelijensia ya kujiingiza katikati ya jamii (Collaborationa trick) ndipo ujue chanzo nini na ni watu gani, ndipo upande tactics za kuwakamata...mkitumia tu nguvu wale watu watawashinda.
Good [emoji106]
 
Na hao wahalifu wameshakuwa wenyeji sana pande hizo. Kwa hiyo akiingia mgeni yeyote atafuatiliwa kwa makini sana.
 
mi nauliza maswali machache mwenye kazi yake akiamua anaweza kuelewa
-HIVI MATREKTA YA KAGODA NA KILIMO CHA WATU WA IRAN RUFIJI KILIISHIAGA WAPI?
-MGOGORO WA SEKONDARI YA KIBITI ULIDHIBITIWA,CHANJO CHAKE KILIFAHAMIKA?

-and by the way WHERE IS ROSTAM AZIZ if I may ask?
 
Hii ni vita ya kina Bashite na Mwigulu.
Yaani hii ni vita ya wao kwa wao.

Kipindi walikuwa wanapanga mission za KIJINGA kutupa mabomu kule Olasiti kanisani, Tindikali Zanzibar, Mabomu uwanja wa Soweto Arusha, vita ya wachinja ng'ombe kule Mwanza n.k hawakujua walichokuwa wanakitengeneza.

Sasa wanapambana wao kwa wao.
Na muuwane mpaka mmalizane lkn mind u kuna zaidi ya hilo kwa kilichojengeka sasa
Brother, wanaokufa sasa ni ndugu zetu walala hoi wenzetu, siyo hao uliowataja
 
Na hao wahalifu wameshakuwa wenyeji sana pande hizo. Kwa hiyo akiingia mgeni yeyote atafuatiliwa kwa makini sana.
na hawabahatishi!
asiye wao wala hawana shida nao!ndo mana wananchi wanaojijua hawahusiki nao wala hawana shida na wala hawahangaiki kuwataja wala kutoa taarifa dhidi yao!
 
Huuu.ndio uzalendo na utanzania wa kweli.ni ushauri mzuri unaoweza kutusaidia kuukamata huu mtandao.HONGERA SN KW USHAURI WAKO.INASIKITISHA WATU WENGINE WANASHANGILIA MAUAJI HAYO KW SBBU ZA KISIASA
 
Maelezo ya namba 11 na 15
Yanaashiria wewe ni miongoni mwao kwa namna moja ama nyingine[emoji1321]
 
Upelelezibwa kujiingiza katika jamii ndio njia sahihi.
La kuzingati.
Wapelelezi wawe raia wa hukohuko na wasifahamike kuwa wanafanya kazi hiyo.
Mgambo wanaweza kutumika pia
Au mbinu ya kutumia wafanyakazi wa kuajiriwa, hapa watu wanaweza kuajiriwa kwenye idara za huko na wakaonekana kama wafanyakazi wakawaida kama walimu wa Primary na Sekondari ni wazuri zaidi kutumika.
Wawe wanao fiti katika maswala yote ya kijamii kama katika imani, michezo, tamaduni nk.
Wazee wa maeneo husika washirikishwe wanajua tabia za watu wengi wa eneo husika vizuri.
Wafanyakazi wanawake kama wale wanaouza Baa za vilevi huwa wanajua habari nyingi za kihalifu za maeneo yao, ni vizuri nao wakashirikishwa.

Mnaojua uhalifu wa huko hasa ninyi raia wema wa huko, ndio haswaa tunaowategemea kuweza kulitatua hili tatizo.
Isaidieni basi nchi yenu kwa kutoa taarifa za hao wahalifu kwani mnaishi nao na wengine mnawajua.
Wanakibiti onyesheni uzalendo jambo hili likomeshwe.
Mnakubalije kufa huku mmemkumbatia adui ?
Anzeni kazi sasa
Saa ya Ukombozi ni Sasa.
 
Technology kwa jinsi ulivyoandika UNAWAFAHAMU WAUAJI NJE NDANI, HARAKA KASAIDIE JESHI, point ya "umri na udereva Wa malori '' ina taka maelezo ya kina toka KWAKO!!
Mkuu Mkwaju ninachojaribu kuchangia ktk juhudi za police ni ku develop profile za hao wauaji. umri ni kitu muhimu saana kwakua confidance wanayoionesha pamoja na consistence waliyonayo hao ni experiences criminals na huenda wameshafanya matokuo kama hayo sehemu zingine. kuhusu udereva au kazi za porini ni kwamba wame hit maeno tofauti na kupotelea kusikojulikana na sio rahisi mtu asiekua na uzoefu wa mapori kutokomea, atakamatwa kirahisi
 
Yupi ni yupi? Ukisoma katiko wako katika namba 6 na 7, naona kama unakinzana mwenyewe.

Je, aliyeamrisha mauaji mpaka sasa ni yupi? Huyo mtu mzima au huyo wa mid thirties?
those are two different scenarios, ukisoma vzuri utaelewa
 
kwa kifupi na kwa kusummirize kibiti panahitaji intelijensia ya kujiingiza katikati ya jamii (Collaborationa trick) ndipo ujue chanzo nini na ni watu gani, ndipo upande tactics za kuwakamata...mkitumia tu nguvu wale watu watawashinda.
Tatizo la watu wa pwani (Utete nilikaa miezi miwili) hawataki kuchangamana na wageni haraka. Halafu ni wachoyo kufundisha lugha yao ya kizaramo!
 
Mleta mada maelezo yako yanakanganya, yamejaa uchochezi, upotoshaji na yanatia shaka kama kweli una nia njema. Kuyaleta hapa maelezo yote haya ili iweje? Kwa faida ya nani? Kwanini usipeleke taarifa hizi kwenye vyombo vya usalama ili wayafanyie kazi? Kama una njema kwanini unajificha na kutoa maelezo yako kwa mafumbo? Unadhani unajenga au unabomoa?

Kama watu hauko tayari kuongea kwa uwazi, unacholeta hapa ni umbea na tetesi, ni bora ukae kimya waache polisi na mamlaka zinazohusika zifanye kazi yao.
 
  • Thanks
Reactions: OTG
We umejuaje yote hayo? Au ndo unaotea tu? Eti matukio yanafanyika usiku? Mtu anapigwa risasi mchana kweupe we unasema usiku
Mkuu pengine mleta uzi ni kijana wa yule marehemu shekhe ya haya ndiye aliyeridhi mikoba ya utabiri hana ajuwalo huyu anataka kupandikiza mbegu mbaya zaidi udini siyo mtu mzuri kwa mustakabali wa jicho la 3
 
Mleta mada maelezo yako yanakanganya, yamejaa uchochezi, upotoshaji na yanatia shaka kama kweli una nia njema. Kuyaleta hapa maelezo yote haya ili iweje? Kwa faida ya nani? Kwanini usipeleke taarifa hizi kwenye vyombo vya usalama ili wayafanyie kazi? Kama una njema kwanini unajificha na kutoa maelezo yako kwa mafumbo? Unadhani unajenga au unabomoa?

Kama watu hauko tayari kuongea kwa uwazi, unacholeta hapa ni umbea na tetesi, ni bora ukae kimya waache polisi na mamlaka zinazohusika zifanye kazi yao.
mkuu ninachojaribu is to pioneering on developing profile of the Bandits that can assist or investigators to narrow down their search and not otherwise. sina maaana nyingine yoyote
 
Pia kushinda vita hii, Kamanda hatakiwi kuziadress technics Za kupambana nao public. Zipangwe kimkakati bila ya kuzitoa hadharani na special team ihusishwe ili mikakati isivuje maadui wakaweza kujipanga.
 
Back
Top Bottom