IGP, Kama unataka kuwakamata wauaji Pwani...

Jambo hili siyo gumu hata kidogo, wananchi ndiyo wameamua kuhodhi taarifa na watu wanaofanya haya matukio.

Ila litawatokea puani wote wanaowahifadhi waharifu.
kwanini unadhani hawataki kutoa taarifa kwa jeshi la police?
 
Mhalifu wakwanza umejuaje na yeye yumo humo tusaidie roger
Teh teh kama ndio hivi polisi wetu wanafanya kazi hakika huko Kibiti kutawasumbua sana

Kwa hiyo mtaalamu wa intelligence mimi ni muhalifu kisa nimeuliza maswali hayo?

Hongera sana Lt Colonel Pdidy (KSOC) Kibiti Special Operation Command.
 
hua napata tabu saaana kumuelewa pdidy
 
kwa kifupi na kwa kusummirize kibiti panahitaji intelijensia ya kujiingiza katikati ya jamii (Collaborationa trick) ndipo ujue chanzo nini na ni watu gani, ndipo upande tactics za kuwakamata...mkitumia tu nguvu wale watu watawashinda.
Serikali iajiri watu mwenye social services kama ualimu .udaktari.maafisa ugani wachungaji n.k ambao ni usalama na hawajuani ila kila mmoja amepewa majukumu yake ya kutafta habr na yuko full equiped na bastola
 
solution ya muda mfupi inatakiwa sasa wakati plan za muda mrefu zikiendelea
 
Hili suala halitaishia kwa haraka kama watu wanavyotaka. Inaweza kuchukua 2 to 5 years kusafisha mbegu walizopandikiza hawa jamaa.
 
huo muda ni mrefu saana. maisha ya watu wengi yatapotea mkuu
 
Tatizo Watanzania tunachukulia amani kama masihara kuna gharama zake pale watu wanapochezea amani na kuirudisha siyo kama movie ya kamanda kipesi.
 
Serikali iajiri watu mwenye social services kama ualimu .udaktari.maafisa ugani wachungaji n.k ambao ni usalama na hawajuani ila kila mmoja amepewa majukumu yake ya kutafta habr na yuko full equiped na bastola
ndugu yangu endapo akigundulika ehee nao tutawapoteza
 
Back
Top Bottom