IGP, Kama unataka kuwakamata wauaji Pwani...

IGP, Kama unataka kuwakamata wauaji Pwani...

enough is enough. Tuko kwenye final touches muda wowote natua bongo na vijana wangu 12 highly trained in combat na tutatumia advance latest and highly sophisticated military weapons.

Tukifika bongo tutadondoka na maparachute porini kibiti. Kibano tutakachokitembeza itakuwa historia. We will use scorched earth policy and counter surgency technique.

The impact will be devastating!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] washkaji watakuja night wakati wakula nyama ya pori au wakugonga vodka, lazma uzame chini ya meza
 
Siku Jeshi letu litakapoacha kutumika kisiasa au kutoa matamko ya kisiasa hapo ndipo tutakapofanikiwa. Askari watakapokuwa Rafiki wa Raia tutafanikiwa sana out of that tutaendelea kuuliwa mchana kweupe na Polisi na Majambazi
 
Sasa hapa ndipo kazi ya TISS inapoingia - wao ndiyo waje na mpango kazi wa kulipeleleza hili kundi sababu wao wana IQ kubwa pamoja na resources za kutosha.

Ikiwezekana waende kule kama Wafanyakazi wa umma, Wakulima, Wafugaji as migrants na min'gombe kibao, Wachoma mkaa, Wawindaji haramu, Watu wa itikadi kali ya dini wanaotembelea misikiti na makanisa kupandisha imani ya waumini wao, Madereva wa bodaboda nk.

Hapa ndipo kazi za Usalama wa Taifa inapohitajia. Wao ni informer wa Kamanda Sirro, lazima watangulie kwenye ground tena mapema kabla haka ka kikundi hakajasambaa kwengine.
 
Afande IGP Naomba uzingatie yafuatayo naamini yatakusaidia kujua una deal na watu wa aina gani huko mkoani pwani
1. You are dealing with a Very well organized and calculating criminals

2. Kuna kitu kikukbwa kinachowaunganisha (wanaongea lugha moja au ni watu wa dini moja)

3. Wana plan uhalifu kwa muda wa kutosha kwa kutumia wasiri walio ktk eneo husika, (surveying targets movements kabla hawajatekeleza tukio)

4. Kundi la wauaji (hit men) ni dogo kati ya watu 3 mpaka 7 na nguvu hutumika accordingly

5. Wana viongozi wasiozidi 2 wanaowatii na hao ndio wanaamrisha utekelezaji wa uhalifu

6. Kiongozi mmoja ni mtu mzima na kwa matukio aliyoyamrisha so far ni mtu amabye hapendi kuwe na confrontation kati ya wauaji na targets na huyu ndio anamrisha matukio mengi yanayotokelezwa usiku

7. Kiongozi mmoja yuko mid thirty, huyu ni hatari na he is ready for anything na most possibly aliamrisha matukio yote au mengi ya late evening including ya askari wetu

8. Ni watu ambao wako very mobile na wana sources of funding na majority wanaishi mjini

9. Kiongozi mmojawapo na/au kiranja wa hao hit men ana mafunzo ya kijeshi au alikua ni askari

10. Hawa wanaotekeleza uuaji ni watu wenye familia, wengi wako between 26 to 37

11. Very possible one of the hitmen ni mtu amabye amefanya kazi za porini kwa muda mrefu ikiwa pamoja na udereva wa kubeba mchanga, mkaa, kuni au mazao ya misitu na yuko familiar sana na maeneo ya misitu

12. Wameanza na weak targets (low level leaders) na kadri muda unavyoenda na kama hawatodhibitiwa wataenda hatua kubwa ya kuvamia makundi makubwa au bigger targets

13. Kwakua matukio mengi yanatokea late evening au usiku, hawa ni watu wanaohofia kujulikana, kukamatwa lakini pia usalama wa familia zao (just in case)

14. Kwakua wauaji wamekua wakiacha signatures zinazofanana kwa kila tukio, ikiwemo kutukuua wanawake, hawaibi au watoto kuna uwezekana mkubwa kinachowaunganisha ni dini

15. Karibu matukio mengi wanatumia assault rifles, na hatujasikia wao kutumia weapons of opportunity, ni muhimu kutumia mbinu na nguvu kuliko wanazotumia wao

16. Aina wa uhalifu huo kwakua sio common sana hapa kwetu, intelligence unazokusanya ni vema ukaenda beyond our borders na kama kuna simila unsolved cases kama hizo kwa nchi jirani

17. so far motive yao is to make a political statement polisi peke yao hawatoweza, other law enforcement agencies should put reasonable amount of resources ktk hili janga

ntarudi
Utasaidia sana katika harakati za kutokomeza kundi hili.Jeshi la Polisi wanapaswa kukutafuta.Ni informer mzuri.
 
Nimependa thread yako bro,hope ni moja ya RAIA wenye mapenzi mema na nchi yao.
 
Hii ni vita ya kina Bashite na Mwigulu.
Yaani hii ni vita ya wao kwa wao.

Kipindi walikuwa wanapanga mission za KIJINGA kutupa mabomu kule Olasiti kanisani, Tindikali Zanzibar, Mabomu uwanja wa Soweto Arusha, vita ya wachinja ng'ombe kule Mwanza n.k hawakujua walichokuwa wanakitengeneza.

Sasa wanapambana wao kwa wao.
Na muuwane mpaka mmalizane lkn mind u kuna zaidi ya hilo kwa kilichojengeka sasa
Kikulacho ki nguoni mwako. Kama IGP Sirro ananielewa. Ajipekue kwanza.
 
Kwanini bashite asipewe mkoa wa pwani hata kwa kukaimu tu
 
umetimiza haki yako ya uraia mwema;congratulation that's phenomenal
 
A Simplified Guide To
Firearms Examination
How It’s Done
Firearms Evidence that May be Found
The range of evidence in firearms-related cases can be as small as a piece of a bullet fragment which has rifling marks or as large as hundreds of bullets and cartridge cases and numerous firearms. Even from small samples, information can be developed to indicate the type of firearm used and possibly identify the actual firearm that was used.
Other firearms evidence that could be found at a shooting scene includes shotshell wads and shot pellets; these can indicate the gauge of the shotgun. Wads and pellets can be gathered and preserved in the same manner as bullets and cartridge cases.
By examining wadding materials, the examiner may be able to determine
the gauge of the shotgun
the manufacturer or marketer
a range of possible shot sizes based on impressions in the shotshell wad
individual characteristics (in some cases)
Gunshot residues fall into two categories. The first type is gathered from the suspected shooter’s hands with a collection kit. The purpose of the examination is to determine if a person has recently handled or fired a weapon. Since it doesn’t determine which firearm was fired or when, this testing has limited value, and many laboratories have stopped performing these examinations. The second type looks for residues on items such as a victim’s clothing in an effort to determine the muzzle-to-target distance. Many times this type of evidence is not visible to the naked eye and requires microscopic examination and chemical testing to develop. The victim’s clothing must be handled with care, air dried and stored in paper containers in order to provide useful evidence.
Propellants and other gunshot residues expelled during the firing process. (Courtesy of Jack Dillon)
How the Samples are Collected
Firearms evidence can be recovered in a number of ways and areas. Firearms themselves can be recovered at shooting scenes by crime scene investigators and sent to the laboratory. Bullets, bullet fragments, cartridge cases, shotshell wadding, etc., are normally collected individually after proper documentation/photography and sent to the laboratory. Bullet evidence can also be obtained at autopsy or in an emergency room setting. In these cases the sample should be marked as a biohazard and then sent to the laboratory. Each laboratory has written procedures for packaging and submitting evidence.
Bullets/slugs that do not strike a person are often imbedded into a nearby surface such as wood/drywall. This evidence is best gathered by cutting out a section of the material and submitting it to the laboratory to allow a firearms examiner to carefully extract it. This prevents adding or destroying any markings that could be crucial to identifying or matching the suspected firearm.
Who Conducts the Analysis
A well-trained firearms examiner should perform the evaluation and comparison of this evidence. These examiners will have received extensive training on all matter of firearms and ammunition manufacturing; evidence detection, recovery, handling and examination procedures; comparison microscope equipment and procedures; courtroom testimony and legal issues; and casework.
Sidhan kama baya mambo yanafanyikaga
 
Hakuna vita ngumu kama vita ambayo adui unaishi nae ndani, mnakula wote, mnalala nyumba moja, mnajadiliana na kusikitika pamoja.
Pamoja na njia zingine. Hebu katika hili tumhusishe mwenyezi Mungu kadri ya imani zetu wakati vyombo vya usalama vikiendelea na kazi. Ufumbuzi utapatikana soon
 
Siku Jeshi letu litakapoacha kutumika kisiasa au kutoa matamko ya kisiasa hapo ndipo tutakapofanikiwa. Askari watakapokuwa Rafiki wa Raia tutafanikiwa sana out of that tutaendelea kuuliwa mchana kweupe na Polisi na Majambazi
Tumegeuzwa chambo mbele na papa na Samaki
 
Point ya kwanza tu imenifanya nidharau yote yaliyofuata..
 
4,5,6,7,8,9,10 na 11 lazima utakuwa unajua jambo hapo ni huruma imekuingia unusuru uhai wa wanapwani hivo jeshi litakuckiliza kama raia mwma unayehofu kujulikana na watesaji
 
yaan mto Mada ni mwerevu had nakuogopa,yaan una akili km yule SIANG"A wa madawa ya kulevya ukimskiliza yule utaona ni jins gan tumepwaya sn kwenye mambo ya intelijensia,intelijensia yetu imebase kwa wana chadema baaasi
SALUTE KWA TECHNOLOGY
 
Point ya kwanza tu imenifanya nidharau yote yaliyofuata..

BIla shaka elimuyako ni ndogo sana achana na ufahamu,na sio jambo geni kujua wewe unaishia kusoma magazeti ya UWAZI NA IJUMAA na ukijitahd sn unaangalia star tv NEWS,wenzako wanaangalia ht CNN,BBC etc kuna chanels kibao zainvestigation watu km TECHNOLOGY wanaangalia sn,lazima hapa utaona maluweluwe waachie maGT
 
Back
Top Bottom