IGP, Kama unataka kuwakamata wauaji Pwani...

IGP, Kama unataka kuwakamata wauaji Pwani...

Kwa maelezo yako, wakupe tu hata nusu ya ile hela waliyoahidi.
Mamndenyi kama details hizi zitawasaidia Police itakua faraja kwangu na jamii ya pwani. with regards to hela ya zawadi hapana wapewe wahanga hahahahaha
 
Afande IGP Naomba uzingatie yafuatayo naamini yatakusaidia kujua una deal na watu wa aina gani huko mkoani pwani
1. You are dealing with a Very well organized and calculating criminals

2. Kuna kitu kikukbwa kinachowaunganisha (wanaongea lugha moja au ni watu wa dini moja)

3. Wana plan uhalifu kwa muda wa kutosha kwa kutumia wasiri walio ktk eneo husika, (surveying targets movements kabla hawajatekeleza tukio)

4. Kundi la wauaji (hit men) ni dogo kati ya watu 3 mpaka 7 na nguvu hutumika accordingly

5. Wana viongozi wasiozidi 2 wanaowatii na hao ndio wanaamrisha utekelezaji wa uhalifu

6. Kiongozi mmoja ni mtu mzima na kwa matukio aliyoyamrisha so far ni mtu amabye hapendi kuwe na confrontation kati ya wauaji na targets na huyu ndio anamrisha matukio mengi yanayotokelezwa usiku

7. Kiongozi mmoja yuko mid thirty, huyu ni hatari na he is ready for anything na most possibly aliamrisha matukio yote au mengi ya late evening including ya askari wetu

8. Ni watu ambao wako very mobile na wana sources of funding na majority wanaishi mjini

9. Kiongozi mmojawapo na/au kiranja wa hao hit men ana mafunzo ya kijeshi au alikua ni askari

10. Hawa wanaotekeleza uuaji ni watu wenye familia, wengi wako between 26 to 37

11. Very possible one of the hitmen ni mtu amabye amefanya kazi za porini kwa muda mrefu ikiwa pamoja na udereva wa kubeba mchanga, mkaa, kuni au mazao ya misitu na yuko familiar sana na maeneo ya misitu

12. Wameanza na weak targets (low level leaders) na kadri muda unavyoenda na kama hawatodhibitiwa wataenda hatua kubwa ya kuvamia makundi makubwa au bigger targets

13. Kwakua matukio mengi yanatokea late evening au usiku, hawa ni watu wanaohofia kujulikana, kukamatwa lakini pia usalama wa familia zao (just in case)

14. Kwakua wauaji wamekua wakiacha signatures zinazofanana kwa kila tukio, ikiwemo kutukuua wanawake, hawaibi au watoto kuna uwezekana mkubwa kinachowaunganisha ni dini

15. Karibu matukio mengi wanatumia assault rifles, na hatujasikia wao kutumia weapons of opportunity, ni muhimu kutumia mbinu na nguvu kuliko wanazotumia wao

16. Aina wa uhalifu huo kwakua sio common sana hapa kwetu, intelligence unazokusanya ni vema ukaenda beyond our borders na kama kuna simila unsolved cases kama hizo kwa nchi jirani

17. so far motive yao is to make a political statement polisi peke yao hawatoweza, other law enforcement agencies should put reasonable amount of resources ktk hili janga

ntarudi
Rudi na swali hili, chanzo cha haya mauwaji ni nini?
 
Ni kweli kuna kila dalili ya suala la kiimani nyuma ya hawa wauaji.

Serikali isipojipanga mapema hawa watu wataleta madhara makubwa sana na sioni dalili ya hawa watu kusarenda bila mikakati mikubwa sana.
Wanaonekana kwa kweli wamejaa huko Ikwiriri na nchi nzima kuanzia vijijini mpaka mijini. Kwa sasa kuna makundi yanayojifanya yanaimani sana za kidini na hayajali uhai wa wale wasiowaunga mkono.

Serikali itumie mfumo wa ulinzi wa Rwanda au Israel.
Ambapo jeshi linatumika sana kupata information na pia linashirikiana na polisi kulinda usalama wa nchi.

Tanzania tuna majeshi mengi sana lakini cha ajabu watu wa chache wanapora silaha na wanajificha porini na silaha zinatumika kuangamiza maisha ya watu.

Tujiulize kwa nini migambo hawaajiriwi na vijiji kama walinzi kama enzi za awamu ya kwanza ya Mwalimu.

Rwanda polisi na Jeshi wanashirikiana kwenye ulinzi kwa kupeana muda.
Mchana polisi wanafanya kazi na usiku Jeshi linaingia mtaani. Nchi inakua shwari kabisa.

Nchi zote ambazo zina watu wenye imani za kuua ua watu kwa ajili ya kujenga hofu zinazibitiwa kwa mfumo wa ulinzi unaofanana na ule wa Rwanda, Israel,Libya enzi za Gadaff na Iraq enzi za Sadam Husein.
Ni mfumo wa jeshi kuzibiti maeneo wakati wa usiku na kutumia zana kubwa na za kisasa kuwatafuta wahalifu.

Pia mara nyingine mauaji kama hayo wanasiasa hua hawakai siriasi kuyatokomeza kwani ni moja ya matukio ya kuhamisha watu kwenye mijadala mipana ya kuzungumzia umaskini wao na haki zao. Wanabaki wakijawa na hofu kubwa.

Lakini ninaamini kuwa bado hatujaamua kukaa na kufikiri vya kutosha namna ya kuwatokomeza hao majangili wenye viashiria vya kigaidi.

Siamini kuwa hatuna ndege za kijeshi zenye uwezo wa kutafiti na kujua kambi zao zilipo. Hao watu kwa vyovyote wanafanya mafunzo ya kijeshi.

Kwa kweli inabidi amiri jeshi mkuu abadili mfumo wa ulinzi ili doria zifanywe na majeshi yote kwa kubadilishana muda wa kazi kwa sababu polisi wakati mwingine uchache wao unawafanya wawe wanazidiwa maarifa kutokana na kufanya kazi wakiwa wamechoka. Mchana kutwa wanakimbizana na vibaka, wafungwa mahakamani na doria mabarabarani ,mara kukamata mabodaboda n.k. then wanafanya doria tena usiku. Ni wazi kuwa watakuwa wamechoka kiakili na kimwili.
Lakini kama wangekua wanasaidiana wanajeshi na kigambo wakati wa usiku ulinzi ungekua ni jukumu la wanajeshi. Polisi wangekuwa wanavua uniform na kuingia mtaani jioni kusaka taarifa za uhalifu.

Ni muda mrefu tangu hawa wauji wameanza lakini bado hawajakata tamaa mana inaonekana mizizi yake haijawahi kuguswa.

Na hili la kutangaza zawadi nalo pia sio ishu mana kuna watu wataanza kuropoka kuwa wameanza kazi ya kuwasaka hao majangili kwa lengo la kupata fedha hizo matokeo yake wataambulia kuuawa.
Cha msingi ni kuweka intelijensia ya uhakika hata ya kununua na kuwalipa kimya kimya kwa mikataba maalum kama wanavyofanya CIA na FBI.
Hata washuke malaika ni kazi bure, mmeshajiuliza chanzo cha haya mauwaji ni nini?
 
.

Mpuuzi mwenye akili ya kipuuzi huchangia upuuzi.
Kama mnavyovuna upuuzi.
Nchi nzima na majeshi yote mnajisifu kila siku na intelijensia kumbe ni intelijensia ya kukimbizana na kina Lisu.

Ujinga mtupu
 
Ata ukijichanganya kwenye matope hupati kitu
Wajiulize kwanza chanzo cha mauwaji ninini? Mbona watoto wao wakiumwa wanapeleka maabara kuchunguza chanzo cha maradhi? Leo hii wanashindwa kutafuta chanzo kwanza?
 
Mleta mada maelezo yako yanakanganya, yamejaa uchochezi, upotoshaji na yanatia shaka kama kweli una nia njema. Kuyaleta hapa maelezo yote haya ili iweje? Kwa faida ya nani? Kwanini usipeleke taarifa hizi kwenye vyombo vya usalama ili wayafanyie kazi? Kama una njema kwanini unajificha na kutoa maelezo yako kwa mafumbo? Unadhani unajenga au unabomoa?

Kama watu hauko tayari kuongea kwa uwazi, unacholeta hapa ni umbea na tetesi, ni bora ukae kimya waache polisi na mamlaka zinazohusika zifanye kazi yao.
Nawe ni mmoja wao? Mbona umekasilika
 
who are you umejua informanition zote ?

marA kundi la watu 6-7
marA mmoja wa kiongoz alikua askari wa jeshi letu
mara kuna kiongoz ambaye yupo kwenye mid 30s

!
Ushauri!
kama una nia njema na taifa letu na jamii kwa ujumla, unaonekana unawajua hawa watu vyema , kwa nini usiende kwenye vyombo husika ukatoa taarifa polisi na kutoa ushirikiano mkubwa ili kutokomeza hili janga!!!?

otherways utakua unatafuta kiki tu hufahamu chochote......
 
Hao wadunguaji ni hatari sana na bahati mbaya polisi wetu akiwemo IGP wanaogopa kudunguliwa
 
who are you umejua informanition zote ?

marA kundi la watu 6-7
marA mmoja wa kiongoz alikua askari wa jeshi letu
mara kuna kiongoz ambaye yupo kwenye mid 30s

!
Ushauri!
kama una nia njema na taifa letu na jamii kwa ujumla, unaonekana unawajua hawa watu vyema , kwa nini usiende kwenye vyombo husika ukatoa taarifa polisi na kutoa ushirikiano mkubwa ili kutokomeza hili janga!!!?

otherways utakua unatafuta kiki tu hufahamu chochote......
kutafuta KIKI????😵
 
Mleta mada maelezo yako yanakanganya, yamejaa uchochezi, upotoshaji na yanatia shaka kama kweli una nia njema. Kuyaleta hapa maelezo yote haya ili iweje? Kwa faida ya nani? Kwanini usipeleke taarifa hizi kwenye vyombo vya usalama ili wayafanyie kazi? Kama una njema kwanini unajificha na kutoa maelezo yako kwa mafumbo? Unadhani unajenga au unabomoa?

Kama watu hauko tayari kuongea kwa uwazi, unacholeta hapa ni umbea na tetesi, ni bora ukae kimya waache polisi na mamlaka zinazohusika zifanye kazi yao.
Mbona umepanic vipi mkuu upo kwa list au?
 
who are you umejua informanition zote ?

marA kundi la watu 6-7
marA mmoja wa kiongoz alikua askari wa jeshi letu
mara kuna kiongoz ambaye yupo kwenye mid 30s

!
Ushauri!
kama una nia njema na taifa letu na jamii kwa ujumla, unaonekana unawajua hawa watu vyema , kwa nini usiende kwenye vyombo husika ukatoa taarifa polisi na kutoa ushirikiano mkubwa ili kutokomeza hili janga!!!?

otherways utakua unatafuta kiki tu hufahamu chochote......
mkuu I am no body, kama raia mwema najaribu kutoa mchango wangu mdogo. hizi age limits ni baada ya kupitia maandiko mbalimabali yanayohusu hayo mauaji. ukiangalia amount of force waliyotumia wauaji kama umeshawahi kusoma analysis principles utajua nazungumzia nini. samahani mkuu kwa kukukwaza
 
Kutisha watu.. Na kutumia nguvu it will not solve this critical problem.. Kupeleka majeshi na vifaa vya kivita sidhani kama itasaidia sana...
UWEZ PIGANA VITA NA ADUI AMBAYE HUMUONI...
duniani mashambulizi kama haya ufanywa kwa KUSHTUKIZA... Haijulikani saa ngapii.. Wana Mbinu nyingi..
My suggestion is to plant people of high intelligence around there.... Na iwe kweny long term plan
 
Yupi ni yupi? Ukisoma katiko wako katika namba 6 na 7, naona kama unakinzana mwenyewe.

Je, aliyeamrisha mauaji mpaka sasa ni yupi? Huyo mtu mzima au huyo wa mid thirties?
Elewa,hizo ni kama hypothesis formulation tu,kazi kwako sasa kuona ni wapi panaweza kuwa sawa.
 
Mlichowafanya watu wa huko ninyi sisiemu na wenzenu mnakijua. Sasa badala ya kuchukua ile falsafa ya "we don't negotiate with the terrorists" ninyi inabidi mkae nao mjinyenyekeze! Hamtaki, muache yawakute!
Habari kama hizi zilitokea Kenya miaka flani wakajiita KAYABOMBO, hawa jamaa walichanganya na uchawi pia.

Kikubwa walichokuwa wanalalamika watu wa pwani ni kwanini waletwe watu wa bara kufanya kazi ambazo wapwani wanaweza kufanya? The same case kama kibiti.

Waliwekewa ushuru wa mali zao na vikwazo kibaoooo. Wakachoka na wakasema sasa tunachinja wajaluo na wakikiyu wote warudi kwao au wafe. Walichinjwa sana.

Kibiti watendaji wengi wa serikali waliendesha huo unyanyasaji wakijiona kwamba watu pale hawakwenda shule. Wanapigwa faini nzito, wanazuiwa kupata vibali vya mbao, fuso zao za mkaa zinataifishwa na pikipiki zao zinauzwa makinikia.

Polisi wanatakiwa wasiwe aggressive lazima waache unyanyasaji na serikali wa regulate mambo ya ushuru wakijinga ambao hata huko kwenu bara hakuna.

Ushauri.
Iundwe tume na wawepi watu wenye athari zakimaeneo hayo. Mzee kama Mwinyi na Jakaya hawa wanaheshimika sana katika maeneo hayo, kwanza wanalingana kiimani hawatahisi wameletewa mapadre manake watahisi sasa ni vita yakidini na hawataweza kufanya chochote.

Wazee hawa(mwinyi na kikwete) wapewe mafungu ya pesa nyingi sana. Waende kwa wazee wenzao wakindengereko wakakae nao wafuturu nao wale nao daku wazungumze nao.

Viundwe vikundi vya vijana wawezeshwe vizuri kimitaji na wapewe training ya life skills wafanye biashara nyingine waachane na biashara ya mkaa. Kama ni leseni za mbao wapewe wenyeji pia ili waone ile mali sio ya wasukuma, wapare, wachaga na wahaya.

Waliodhulumiwa mali zao kama utaifishaji wa mafuso, pikipiki au baiskeli warudushiwe haraka. Haya yote yasimamiwe na kamati hii ya amani itakayoongozwa na Mzee Mwinyi na Kikwete.

Pia raia waulizwe watoe majina ya askari na maafisa wa serikali wanaohisi wanawanyanyasa bila sababu, wanawakandamiza. Serikali iwahamishe watumishi hawa.

Baada ya hapo serikali wapeleke special force wenye ueledi na busara katika kazi, wafanye kazi zao sio kwa njaa bali kwa weledi, watende haki na kuhakikisha kuwa wanaishi na raia hawa kwa umakini mkubwa sana na uchunguzi wa nyendo za watu watakao kuwa hawaridhiki na maridhiano haya wachukuliwe hatua.

Ikumbukwe kwamba nguvu zichukuliwe baada ya haya niliyoyaeleza. Kwani hapa wataweza kupata support kwa wale watakao ona maisha yanaweza kuimarika kwa miradi iliyoanzishwa na wanaweza kuishi kama zamani.

Nasisitiza sana, msijaribu kupeleka viongozi wa dini yoyote, manake serikali watawachagua bakwata ambao waislamu wengi hawaamini na wanawaona ni potwe la ccm, watakula za kichwa. Mapadre ndio kabisaaaa, kama kuna wanaoamini madhila yale yanasababishwa na mfumo kristo, hapa ndio watapata nguvu na wanaweza kupata uungwaji mkono, watakula za chembe bila kujali majoho yao.

Siro aache ukurya, vijana wa kibiti walishapinda.
 
Afande IGP Naomba uzingatie yafuatayo naamini yatakusaidia kujua una deal na watu wa aina gani huko mkoani pwani
1. You are dealing with a Very well organized and calculating criminals

2. Kuna kitu kikukbwa kinachowaunganisha (wanaongea lugha moja au ni watu wa dini moja)

3. Wana plan uhalifu kwa muda wa kutosha kwa kutumia wasiri walio ktk eneo husika, (surveying targets movements kabla hawajatekeleza tukio)

4. Kundi la wauaji (hit men) ni dogo kati ya watu 3 mpaka 7 na nguvu hutumika accordingly

5. Wana viongozi wasiozidi 2 wanaowatii na hao ndio wanaamrisha utekelezaji wa uhalifu

6. Kiongozi mmoja ni mtu mzima na kwa matukio aliyoyamrisha so far ni mtu amabye hapendi kuwe na confrontation kati ya wauaji na targets na huyu ndio anamrisha matukio mengi yanayotokelezwa usiku

7. Kiongozi mmoja yuko mid thirty, huyu ni hatari na he is ready for anything na most possibly aliamrisha matukio yote au mengi ya late evening including ya askari wetu

8. Ni watu ambao wako very mobile na wana sources of funding na majority wanaishi mjini

9. Kiongozi mmojawapo na/au kiranja wa hao hit men ana mafunzo ya kijeshi au alikua ni askari

10. Hawa wanaotekeleza uuaji ni watu wenye familia, wengi wako between 26 to 37

11. Very possible one of the hitmen ni mtu amabye amefanya kazi za porini kwa muda mrefu ikiwa pamoja na udereva wa kubeba mchanga, mkaa, kuni au mazao ya misitu na yuko familiar sana na maeneo ya misitu

12. Wameanza na weak targets (low level leaders) na kadri muda unavyoenda na kama hawatodhibitiwa wataenda hatua kubwa ya kuvamia makundi makubwa au bigger targets

13. Kwakua matukio mengi yanatokea late evening au usiku, hawa ni watu wanaohofia kujulikana, kukamatwa lakini pia usalama wa familia zao (just in case)

14. Kwakua wauaji wamekua wakiacha signatures zinazofanana kwa kila tukio, ikiwemo kutukuua wanawake, hawaibi au watoto kuna uwezekana mkubwa kinachowaunganisha ni dini

15. Karibu matukio mengi wanatumia assault rifles, na hatujasikia wao kutumia weapons of opportunity, ni muhimu kutumia mbinu na nguvu kuliko wanazotumia wao

16. Aina wa uhalifu huo kwakua sio common sana hapa kwetu, intelligence unazokusanya ni vema ukaenda beyond our borders na kama kuna simila unsolved cases kama hizo kwa nchi jirani

17. so far motive yao is to make a political statement polisi peke yao hawatoweza, other law enforcement agencies should put reasonable amount of resources ktk hili janga

ntarudi

ndugu kwa taarifa uliyotoa inaonyesha Kuna baadhi ya mambo unayajua.
nenda kwenye vyombo vya usalama ukawape taarifa ili hawa wauwaji watiwe nguvuni.
kama familia zao zinajulikana zibanwe mpaka hao wahalifu wajitokeze.
nikutumia mbinu ya trump Ku hit magaidi na familia zao ili magaidi waone uchungu WA kuua.
maana kama mwl nyerere alivyosema mtu aliezoea Kula nyama ya mtu hataacha kuendelea kula, wasije wakaendelea hata kuvamia mabasi,magari,mahoteli,majumba nk.
tukio hili hata france24english tv na BBC world tayari wamesharusha hivyo dunia imeshajua na kama unavyojua wazungu wengi wanaijua afrika kwa habari mbaya Tu.
 
Typical of alshaabab and boko haram...

Where were they trained!?
Unafikiri kutrain shabaha ni kazi sana? Kuna watu by nature wanashabaha ukichanganya na uchungu wa manyanyaso wanaweza sana kupiga risasi za vichwa
 
Back
Top Bottom