Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,505
- 9,965
Kwanza Mapenz yafutwe Evelyn Salt
Si mitaani tu, hata hapa Jf wapo boda wa hivoWanaume wengi watakufa kwa ngoma
Hivi ndivyo mwanaume anavyotakiwa kuwa, siyo kila unachokiona unataka kukitafuna tuNina kinyaa kweli, nisijue mwanamke alitoka na nani. Nitampunguza vigez vya udhaifu.....
Its not me
Sasa si tutashindwa kuzaliana mkuuKwanza Mapenz yafutwe Evelyn Salt
Siyo boda tu wanaume wengi tu wa hivyo wapo hata humu, huwa nashangaa sana yaani mtu hata sura yako haijui ila kwasababu anakuona kwenye nyuzi anakuja kukutongoza PM, je kama anatongoza jini, loh! Wanaume wana ujasiri wa ajabuSi mitaani tu, hata hapa Jf wapo boda wa hivo
Huyu tena😁😁🙌secretarybird nimeona sekshoo fantasi zako kwenye uzi fulani, kiufupi wewe umeshindikana na huenda hii ndo michezo yako 😁😎
Huko ni kujiendekeza.Bro, Nusratt hebu na ww jiweke kwenye nafsi ya Kiume uone kama utaweza kuhimili genye zikipanda.
Sometimes is tough sana na sio kama tunajiendekeza.
basi yaruhusiwe kwa waliooa na kuolewa.Sasa si tutashindwa kuzaliana mkuu
Nimecheka...Wanaume wa siku hizi, hizi mbanga wanazo kabisa.
Tena wengine sio bodaboda kama secretarybird, mwanaume mwingine anakuokoa katikati ya kundi la wanaume waliokubaka na bado siku 4 au 5 mbele ataomba game tena bila condom.
Wanaume, hizi nyege zenu huwa hamna pa kuzipeleka?
upwiru unakaba kooTatizo nyege mbaya sana
Ni kweli hakuna mkamilifu lakini, ni heri usijue kuliko unaona kwa macho yako na bado baadae unaomba showKwa sisi watoto wa kiume hapo sijaona kosa la bodaboda, hata huyo mke unayetaka amuoe unayehisi ni mstaarabu mda huo naye yupo site na current mbaba wake. Dunia ilipofikia sasahivi ni kushinda mechi zako tu hakuna ukamilifu wala utimilifu.
SaaaaaanaSiyo boda tu wanaume wengi tu wa hivyo wapo hata humu, huwa nashangaa sana yaani mtu hata sura yako haijui ila kwasababu anakuona kwenye nyuzi anakuja kukutongoza PM, je kama anatongoza jini, loh! Wanaume wana ujasiri wa ajabu
nyinyi ndio wa kututoa jamani muwe mnatuonea hurumaWanaume wa siku hizi, hizi mbanga wanazo kabisa.
Tena wengine sio bodaboda kama secretarybird, mwanaume mwingine anakuokoa katikati ya kundi la wanaume waliokubaka na bado siku 4 au 5 mbele ataomba game tena bila condom.
Wanaume, hizi nyege zenu huwa hamna pa kuzipeleka?
Mie nimeamuaga nifunge kabisa, maana ni hatariSaaaaaana
Yaani ukiwa na profile picture ya kike Jf, ni tiketi ya wanaume kuja Pm.
Ipo siku atashikishwa mtu mjegeje huko Pm.
Muda haujafika tu
Hivi siku hizi ni lazima kuwe na tags kwenye mada za hapa ?Kuna rafiki yangu alinihadithiaga kuna alikuwa na appointment na shemeji sasa akarequest bolt ya bodaboda hadi hapo kwenye hiyo Lodge. Akaja boda akapanda hadi sehemu husika, akaachwa getini kabisa.
Sasa amekaa siku siyo nyingi anaona namba ngeni imempigia, akapokea akajitambulisha yeye ni yule boda aliyempeleka siku flani kule eneo flani, kama ana muda waongee, akamwambia atamcheki, akampotezea.
Baadae akampigia akamuuliza mbona hajamcheki akamwambia alikuwa bize, akaanza kumuuliza kama ameolewa, akamjibu tu kistaarabu hajaolewa ila yupo kwenye mahusiano. Akamwambia dah! Nilikuwa nataka nijaribu bahati yangu.
Wanaume hamna nidhamu ya uoga, wala kujali afya zenu kabisa mtu umempeleka hadi Lodge na unajua kabisa kinachoenda kutendeka humo na bado unamtongoza, WTF
Cc. secretarybird
holoholo
Mshangazi dot com
Nomadix
Nusratt
Poor Brain
Mbaga Jr
Hebu nikumbushe hiyo fantasy yangu uliyoona mkuu maana Mimi nina mafantasi nyingi sana 😂.secretarybird nimeona sekshoo fantasi zako kwenye uzi fulani, kiufupi wewe umeshindikana na huenda hii ndo michezo yako 😁😎
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀Saaaaaana
Yaani ukiwa na profile picture ya kike Jf, ni tiketi ya wanaume kuja Pm.
Ipo siku atashikishwa mtu mjegeje huko Pm.
Muda haujafika tu
Awww, watu tutakufa na upw*rubasi yaruhusiwe kwa waliooa na kuolewa.
Yafutwe kwa wengine. Singles wajichukulie sheria mkononi.
😂😂😂