Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,848
- 58,553
We mchawi nini 😂😂😂Wanaume wengi watakufa kwa ngoma
We mchawi nini 😂😂😂Wanaume wengi watakufa kwa ngoma
Hao ni Active members mkuu, ndiyo maana nimewatagHivi siku hizi ni lazima kuwe na tags kwenye mada za hapa ?
Mr Yakuz. Yavuz😁😁We mchawi nini 😂😂😂
Kwahiyo huyu boda akajua kama rafiki yangu atakuwa analika kirahisi ndiyo maana akajajribu bahati yakeSisi wanaume huwa tunapenda kutuma maombi kwa mwananke ambaye hatuna chembe ya shaka kuwa anatoa utekezi.
Ndio maana demu akiwa mkali mtaani tunaanza kwa kumheshimu, ila tukisikia ametoa utelezi kwa mtu fulani tunaanza kupanga foleni ya interview kujaribu bahati kuitwa kazini.
Sawa hatujawakataa.nyinyi ndio wa kututoa jamani muwe mnatuonea huruma
We cheka tu.Nimecheka...
haiwezekaniWanaume wengi watakufa kwa ngoma
Mimi wala sifungi.Mie nimeamuaga nifunge kabisa, maana ni hatari
Huo ndiyo ukweli mkuuhaiwezekani
😂😂😂😂😂😂😂😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
kwakweli ni mambo magumu sana kwangu , naogopa hata kuyawaza kichwani mwangu ,masuala sijui ya kupakana vinyesi na vitoto viwili vya afumbili ,very disgustingHebu nikumbushe hiyo fantasy yangu uliyoona mkuu maana Mimi nina mafantasi nyingi sana 😂.

Mi sina papara na mademu...Mr Yakuz. Yavuz😁😁
mnamiliki kitu muhimu sana yaani sana acha tu tuitolee pesa walahi msitunyime raha jamaniSawa hatujawakataa.
Ila si kwa style hiyo bro.
Au kwakuwa waona naenda lodge basi wajua mie chakulaga?
Siku hizi mke na mume mnaamua tu kubadili mazingira ya mizagamuo.
Leo lodge, kesho maporini huko na keshokutwa mnaenda mkoani.
Pili,💰 imekuwa ngumu sana.
Punguza wivu mkuu.Hivi siku hizi ni lazima kuwe na tags kwenye mada za hapa ?
Watakuundia kakikosi wakuvamie😁😁Mimi wala sifungi.
Pesa zao nakula na wala hawana la kunifanya
Magonjwa yapo tu hivyo yasiwe kikwazo cha kulimega tunda la katikati.We cheka tu.
leo nilikuwa mtaani kwenu kaka nacheki fainali ya madogo wa azam pale azam complexMi sina papara na mademu...
Demu wangu ni pc yangu..
Ukiacha YAKUZ na YAVUZ sina kitu kingine kinachoniweka mjini HAPA...
we na hiyo pc pc, ndo iliwasha dawa ya mbu kidg ikuondoe uhai ? ama ni iliyokupa UTIMi sina papara na mademu...
Demu wangu ni pc yangu..
Ukiacha YAKUZ na YAVUZ sina kitu kingine kinachoniweka mjini HAPA...