Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,079
- 8,219
Gwajima ana hoja gani ya kumjibu wakati anabwabwaja upuuzi tu? Hamna chochote cha maana anachozungumza, mtu anasema wataochanjwa watakuwa mazombie, sasa hapo utajibu nini? Cha muhimu uhuru wake wa kuongea uheshimiwe na apuuzwe tuHili ndo suala la msingi kiasi wamenza kuwashtua watu wengi sana kuwa kwa nini inatumika nguvu hivi? Si ajibiwe kwa hoja ili aonekane mjinga. Kwa nini hajajibuwa mpaka sasa ila anapigwa vita?