If Only Mama Could See Me Now. I Miss Her So So Much Jamani.

If Only Mama Could See Me Now. I Miss Her So So Much Jamani.

Aaah Kaunga acha undugunaizesheni, si kasema mwenyewe umwage Ugali?
Mimi je, lol?

hahahah, unataka niseme ninavyokufikiria? Honestly bado sijawa na conclusion na wewe, you guys are very smart katika uchangiaji wenu; au mnaweka jokes tu au hamchangii kabisa. Mnaogopa kujiexpose na kwa hilo tu l can say you have a lot to hide!
 
you guys?
 
Yaani nimechekea sana , i picture you in your overall hahahaha. You are a strong gal and i bet ma is very proud of you wherever she is. Nampenda sana babako. He fought hard to get hold of his galz. Na mama yako pia nampenda. She at least swallowed her whatever and came to cry with his galz.

Kuna siku tulibishana sana hapa kuhusu kumsaka baba. Mimi na Kiranga hatukumshauri huyo dada kumtafuta baba yake manake baba hajaonyesha interest. I pray you will see your mamma soon. Let me talk to santa.
 
Last edited by a moderator:
Yaani siamini. Karucee huyuhuyu stori yoote hakuna harufu ya Gambe wala Wida!!
No more tears, lete kijiti tupashe!

hahahahahah platozoom. Nimeona jina tu nikajua bonge la mchokozi ameshaingia. umeona sasa eh? Leo nipo serious. na sober. Hamna substance abuse. Hamna ndete, busaa wala mirungi. full sobriety.
 
Last edited by a moderator:
Yaani nimechekea sana , i picture you in your overall hahahaha. You are a strong gal and i bet ma is very proud of you wherever she is. Nampenda sana babako. He fought hard to get hold of his galz. Na mama yako pia nampenda. She at least swallowed her whatever and came to cry with his galz.

Kuna siku tulibishana sana hapa kuhusu kumsaka baba. Mimi na Kiranga hatukumshauri huyo dada kumtafuta baba yake manake baba hajaonyesha interest. I pray you will see your mamma soon. Let me talk to santa.

Tuna roho mbaya kaa nini eeh. Mtu hata hatumjui tukampandishia disc kwa ma principle tu kama Margaret Thatcher alivyokuwa anawafungia vioo makabwela wa kwenye nyumba za kanseli!
 
Na kuendesha tractor wakati hata huoni mbele ni ufupi? Ama tumejaa grease na oili tupo chini ya gari tumekodoa macho baba anachokifanya? King'asti. Its not an entirely sad story. AHahahaahah. Kuna parts za bibi zetu na mashangazi kuja kutaka kutulea na majibu ya ovyo baba aliyowapa. Mungu alitunusuru tu tungekuwa very spoilt brats.
Speak to Santa, tell him to hurry I want my Mama.
 
Last edited by a moderator:
hahahah, unataka niseme ninavyokufikiria? Honestly bado sijawa na conclusion na wewe, you guys are very smart katika uchangiaji wenu; au mnaweka jokes tu au hamchangii kabisa. Mnaogopa kujiexpose na kwa hilo tu l can say you have a lot to hide!

Wewe Mwanamke.
Lakini mbona nachangia kwa kirefu tu. Nenda kwenye thread ya "Harakati za Uhuru na uchochezi wa Mohammed Said". Ila we Mwanamke mchimvi kwa mara ya kwanza nimeona umemtoa jasho The Boss, Wallah braza almanusra apige tiktak akiwa na kanzu!!
 
Ngoja nianze kukufuatilia halafu nitakupa evaluation report yangu, ikiwa okay nitakupa live; ikiwa not so good nitakupa chemba!
 
this is one of the best story in jf.na mimi nimekulia malezi ya single mum,nimejifunza mengi tu,moja wapo kutokuwa tegemezi na ku work hard in life.na kushukuru kwa jambo lolote lile,hata liwe dogo vipi.
 
Leo mie Karucee ngoja niwape story ya maisha yangu. Natanguliza kwa kusema please msinipe sorry. Sihitaji kuambiwa pole kwasababu nimeshakubali niliyoyapitia kama sehemu iliyonijenga na leo hii mimi ni Karucee because of my past.

Mie ni mtoto wa kwanza katika familia yetu. Nina mdogo wangu wa kike ambae hatujapishana sana umri. Tulivyokuwa wadogo, tulikuwa na kawaida ya kwenda kumtembelea bibi yetu likizo nzima shule zinapofungwa. Shule zinapokaribia kufunguliwa wazazi wetu walikuwa wanatufata.

Basi likizo moja, shule zilifungwa na tukaenda kijijini kama kawaida. Tulikuwa tunapenda sana kwenda kijijini manake Grandma was so much fun. Tulikuwa tunapenda kukamua ng'ombe na kupeleka Creameries, tunaenda kuwalisha ng'ombe, Fishing, Swimming etc. Basi, Likizo ilipokaribia kuisha wazazi wetu hawakutufata. Shule zikafunguliwa, wapi? Siku zikaenda, wapi? MAma alikuja kututembelea mara moja moja, tukawa tunaandika notes anampelekea Daddy.

Basi, tukapelekwa shule huko huko kijijini. MAisha yalibadilika sana. Tulikuwa tunaamka kukiwa bado na giza, tunatembea mbali kwenda shule. Mchana tunatembea tena kuja kula.. ikafika mahali tukawa tunabeba chakula to save us the lunch time trip. Halafu tulikuwa kama tu celebs flani hali ambayo nilikuwa sipendi. Mfano tulikuwa watoto pekee waliokuwa wanavaa viatu. BAsi baba akaanza kuja kutufata shule siku za Ijumaa, halafu anaturudisha Jumatatu asubuhi mapemaaaa. Jioni tukirudi kwa bibi anatuchapa. Nikawa nagoma kwenda kwa baba ili nisipigwe na bibi. Mdogo wangu alikuwa anaenda kama kawaida, ila akirudi Jumatatu jioni tunachapwa wote. Nikaona bora tu nijiendee kwa baba nisichapwe bure.

Grandma had changed so much. Hakuwahi hata kutufokea even once. Leo hii alikuwa anatuchapa? Tena kwa haasira? Why couldnt anyone just tell us tatizo ni nini? What wrong had we done? Why were we suffering?? Where we our parents? Why werent we at home??

Shule zilipofungwa, baba alituiba. Alitusubiri tunatoka getini akatuiba. Nasema alituiba kwa sababu hakumpa bibi taarifa. MAisha na baba yetu yakaanza. Mie mpaka hapo pamoja na umri wangu wa miaka 10 nilikuwa nimeshapata picha kuwa wazazi wetu wameshaachana. Sikujua mama alikuwa wapi, I always assumed she was taking a breath angerudi. All these years.

I really admire my little sister. She was like a butterfly on a sunny day. Flying from flower to flower with no care in the world. Mimi ndie nilikuwa naumia. Mtoto wa baba alikuwa hata hajui nini kinaendelea. Labda ndio maana mpaka leo she misses Ma but isnt bothered as such by her absence. She doesnt even remember how Ma looked. Poor Girl.

BAsi, life with Daddy began. Life was carefree. Hamna kulazimishwa kula vegetables. It was a carefree life. Cookies, French fries, sausages, burgers... It was just the three of us. Shule nilikuwa naenda kama kawaida. Ila dogo bwana alikuwa anaenda siku anazotaka. Spoilt brat. Asubuhi tunaenda garage na baba.(Baba ni fundi magari) tunarudi jioni tukishakula icecream na ku watch movies. Siku zikaenda, miaka ikapita, mama didnt come back.

We no longer we Daddy's little girls. Tukakua. Hapo ndio nahisi ugumu wa kulea mabinti wakubwa ulipoanza. BAba akaoa. On condition that huyo mdada ajue amekuja kwa ajili yetu and she would leave if she did us wrong. Mie I didnt welcome her. Nilimpotezea mpaka namaliza form four.

Siku moja, nakaribia kufanya mtihani wa kumaliza Shule ya msingi kuna mgeni alikuja home. Nakumbuka nilikuwa nakosha vyombo. Nikafuta mikono na kwenda kumsalimia. Halafu nikaendelea na kazi yangu. BAsi nimemaliza kuosha vyombo nikawa naenda nje kununua sijui nini, ile napita karibu na mgeni nikaangusha coin. BAhati mbaya ikaenda mpaka miguuni kwa mgeni. Nikazunguka nikajificha nyuma yake nikaokota huku na blush kwa aibu. Ile nainama kuokota nikaangalia ukucha wa kidole gumba cha mgeni. Moyo wangu ukastuka. Nikamwangalia usoni. Alikuwa ni Mama Yangu. Na alikuwa analia kishenzi.

Mh. Tukaanza kulia sote watatu. Ma mdogo ametuangalia ameduwaa. Anyway baba alikuja na wakasalimiana vizuri tu. Tukaenda kwa bibi yetu kukaa na mama kwa siku mbili tatu halafu mama aliondoka. Alituambia anaishi mji mwingine na alituambia anatupenda and nothing will ever change that. Alituomba yule ma mdogo tusimuite mama hata siku moja because she was the original and biological mother. Akaniambia always work hard, for some day you will save me. Nililia sana.

Basi maisha yakaendelea. Miaka ikapita. NIkafaulu vizuri tu nikajiunga na shule ya sekondari, nikamaliza. Nikaingia chuo kikuu, nikafaulu, nikaendeleza masomo. Mama never came back. To date. I really miss her. The pain is gone, nimeacha kulia whenever I think of her. Nimeolewa na najua ndoa ina mengi so na hiki kimechangia kunipa nguvu. People suggest kwamba hayupo duniani but my heart tells me yupo na ipo siku atarudi.

If she could see me now. Her little girls are no longer tiny. I am a mother now. Ma ameondoka sina hata nyonyo. Now I have a child of my own. Aliniambia niwe kama mama kwa mdogo wangu, my sister is doing well too. Atarudi lini? I do not know. But kila siku ya Mungu namuombea. Asilale na njaa, Mungu ampe chakula. Asishinde na kiu, Mungu ampe maji. Asitembee uchi, Mungu ampe nguo, Asimsahau Mungu, Mungu awashe taa moyoni mwake, amuongoze kwenye njia iliyonyooka. Ipo siku atarudi. Bibi mzaa mama alifariki Mama hakuja kwenye msiba. NImeolewa hakuwepo. It was just my sis and Daddy. But I refused to cry, labda baba angejisikia vibaya. But I continue to believe Mama yupo hai, somewhere beneath God's skies.

Mungu hakunyimi kila kitu. Alitupa baba yetu. Anaetupenda kuliko kitu chochote duniani. Alipooa alipata watoto wengine wanne, ila nafasi yetu ipo palepale. Ma mdogo alibadilika alipozaa ila tulivumilia ili baba apate amani. My Daddy is the wind beneath my wings. He is my friend. I can call him any time, to tell him anything. He has opened my eyes into this world. Whenever we were overwhelmed by the sight of other girls with their mothers he was always there for us.

Malezi ya baba yalikuwa ya kisela sana. Pata picha sote tumevaa overalls sare tupo garage tunahangaika. Baba akitukana na sisi tunatukana. Tumeshika spanner zetu. Baba akiita naomba namba 13 tunakimbia fasta kwenye toolbox tunamletea. Tukienda kuvuta magari yalopata ajali na breakdown unatukuta tumekaa juu kwenye bodi tumening'inia tunaenda na baba yetu. Baba ametufundisha mengi sana. We could see through men. Tulijulikana kama watoto wa simba. Ole wako akuone ukimtazama his lovely daughters the wrong way. Unachezea za usoni fasta. Hatukudanganyika mapema. Malezi ya baba yametufanya tuwe very strong women. Hatukupapa opportunity ya kukua around women so kidogo hatujui ku relate na wanawake wenzetu and since udogoni men have been our best friends.

Natamani arudi. Natamani aone tu binti twake. NAtamani aone how hard I worked at school. It has been 20 years. Ndugu zake hawasemi chochote. Tumefikia mwisho wa kumtafuta. Hatujui kilichobaki isipokuwa kusubiri tuone Mungu amepanga nini. If only she could see us now. Would she be proud of us? Would she commend Daddy on the good job he has done?

If you are a single dad, know that you can make it. Mtangulize Mungu. Na kama upo kwenye ndoa na pamoja na matatizo yake kuna option ya kuendelea kuwepo please tulia uwalee wanao. Maisha ya kulelewa na mama wa kambo sio rahisi. NI wachache sana ambao wanaweza ku share interest ulizo nazo kwa wanao.

Ni hayo tu.:yo:

EMT, Wi-Fi SnowBall, Mentor, Kaizer, gobore, snowhite, KIKUNGU, Kaunga, King'asti, Kongosho, The secretary, figganigga, Hoshea, Kamanda Moshi, mzabzab, Mjuni Lwambo and a couple others.
Stori nzuri sana lakini mim naaamin kabisa mabinti wengi wanawapendaga sana baba zao unless dingi mwenyewe awazingu na kua otherwise but linapokuja swala la binti kua na bi mkubwa wengi asilimia kubwa hawana uhusiano mzuri na mama zao..yeeeahhh na mara nyingi watoto wa kiume hua zinaiva sana na mama zao..sasa hapo sijui nin kinakuwaga ni tatizo aisee..by the way..its cool that your dad was there for you..congrats for having a dad wengine tumejaaliwa father..sio dad..or daddy..a friend version of a parent en all dat..ouver...!!!!
 
Sasa imekuwa rahisi kuelewa why 'the respected herbal' is so common kwenye maneno yake.

Hata mie nimependa baba yake, hata mama alijitahidi kupigana ila akashindwa.

Yaani nimechekea sana , i picture you in your overall hahahaha. You are a strong gal and i bet ma is very proud of you wherever she is. Nampenda sana babako. He fought hard to get hold of his galz. Na mama yako pia nampenda. She at least swallowed her whatever and came to cry with his galz.

Kuna siku tulibishana sana hapa kuhusu kumsaka baba. Mimi na Kiranga hatukumshauri huyo dada kumtafuta baba yake manake baba hajaonyesha interest. I pray you will see your mamma soon. Let me talk to santa.
 
Last edited by a moderator:
Daaah hii story naisoma mara mbili mbili kwakweli ni moja ya story zilizo ni vutia sana! Me like your stories Karucee!

Yani kwakweli hapo kwenda garage na baba yenu yani ndio pame ni bamba sana, sijui kama mabinti wa sasa wanaweza kukubali, hakika baba yenu aliwafanya kuwa strong kwa hii life style.
Sipati pichaaa!
 
Last edited by a moderator:
Now thats Karucee the way I know her. You have put the link that has alwYs been missing. What an inspiration!
 
Last edited by a moderator:
Aaaah wapi. Tulimfungua macho ili ajue its not her problem that she doesnt know her dad. Mtu hajakutafuta kwa bidii zote unahangaika nae wa nini? At least mama karucee found a chance to come and say she loves them lil galz. Pole nimekuona kwenye msiba wa the witch lol
Tuna roho mbaya kaa nini eeh. Mtu hata hatumjui tukampandishia disc kwa ma principle tu kama Margaret Thatcher alivyokuwa anawafungia vioo makabwela wa kwenye nyumba za kanseli!

aaaah mi sasa nakuonea wivu. You had a childhood banaa. Yaani umeendesha tractor! Mwenzio nikibahatika kupiga honi naiota usiku. Aaagh! No wonder ulionja na jani kiduchu.imagine we were never allowed into the farm that papaa was running (ofcoz sasa ndo naelewa kwa nini na ilikuwa kwa ajili ya usalama zaidi). Now your dad is the man. Mungu ampe maisha marefu maana siku akimchukua aisee nitalia na wewe. Ndo maana hakutaka kuwapoteza mabinti zake maskini. Worry out santa will come on time, let it snow first
Na kuendesha tractor wakati hata huoni mbele ni ufupi? Ama tumejaa grease na oili tupo chini ya gari tumekodoa macho baba anachokifanya? King'asti. Its not an entirely sad story. AHahahaahah. Kuna parts za bibi zetu na mashangazi kuja kutaka kutulea na majibu ya ovyo baba aliyowapa. Mungu alitunusuru tu tungekuwa very spoilt brats.
Speak to Santa, tell him to hurry I want my Mama.
 
Last edited by a moderator:
Yaani hii dunia! I am so happy for you kwa namna umeweza kutakabili haya. Ni nguvu ya kipekee sana! Na kila siku umshukuru Mungu kukupa uwezo huu. Wapo wengi ambao katika hali kama yako wameishia pabaya sana! Familia zimekuwa chungu na kila mmoja ameharibikiwa! Karecee! You are an inspiration! Walk your chin and sholder high! Whoever have you as a wife is so lucky! I believe he knows and cherish that is why I see a smile on your face
 
Back
Top Bottom