If Only Mama Could See Me Now. I Miss Her So So Much Jamani.

If Only Mama Could See Me Now. I Miss Her So So Much Jamani.

pole xana mie dad yangu ndiyo alisepa toka niko mtoto hilo lilinifanya nijifunze kujiprotect because he was not there na kiukweli siwaamini wanaume hata kidogo thanks to him
 
oh jamani Dido, am really touched by your story. Mungu azidi kumpa mama yenu umri mrefu na nguvu kwa kweli. Mubarikiwe nyote. Jifunze kusamehe my friend. It will make things easy for you.

asante sana Karucee, huwezi amini hata sioni cha kusamehe, mie naona ni maisha ya kawaida tu wala simlaumu huyo Baba yangu kwa aliyoyafanya. Naamini alikuwa anatekeleza mpango wa Mungu katika maisha yangu. Asingefanya aliyofanya, nisingekuwa mimi Leo. Si unajua kila kitu hutokea for a reason.
 
Last edited by a moderator:
pole xana mie dad yangu ndiyo alisepa toka niko mtoto hilo lilinifanya nijifunze kujiprotect because he was not there na kiukweli siwaamini wanaume hata kidogo thanks to him

Na kwa ulimwengu tunaoishi Leo hilo nifunzo kubwa sana, maana chanzo kikubwa cha matatizo ya wanawake, ambayo huwa na spill-over effect hadi kwa watoto, huanzia kwenye kuwaamini sana wanaume.
 
Nooo man thats bad kwan siwaamini hata tone wanaume nawause kama toilet paper na kutupa kule and am sure iwill never settle down with a man nilishamwambia mshua asije kwangu nitamshoot kwan kaniharibia maisha yangu

nikiwe, nothing heals a broken heart like time, love and tenderness. Mungu atakusaidia someday you will meet someone nice, fall in love and the pain from the past will be gone. Take a positive step towards healing. Believe me you have a burden in your heart when you hate someone. Forgiveness will ease this burden for you. Good luck.
 
Last edited by a moderator:
Asante shosti ila ni bora akae mbali nami kwan am sure navyomchukia naweza mwahisha ahera
nikiwe, nothing heals a broken heart like time, love and tenderness. Mungu atakusaidia someday you will meet someone nice, fall in love and the pain from the past will be gone. Take a positive step towards healing. Believe me you have a burden in your heart when you hate someone. Forgiveness will ease this burden for you. Good luck.
 
Last edited by a moderator:
Leo mie Karucee ngoja niwape story ya maisha yangu. Natanguliza kwa kusema please msinipe sorry. Sihitaji kuambiwa pole kwasababu nimeshakubali niliyoyapitia kama sehemu iliyonijenga na leo hii mimi ni Karucee because of my past.

Mie ni mtoto wa kwanza katika familia yetu. Nina mdogo wangu wa kike ambae hatujapishana sana umri. Tulivyokuwa wadogo, tulikuwa na kawaida ya kwenda kumtembelea bibi yetu likizo nzima shule zinapofungwa. Shule zinapokaribia kufunguliwa wazazi wetu walikuwa wanatufata.

Basi likizo moja, shule zilifungwa na tukaenda kijijini kama kawaida. Tulikuwa tunapenda sana kwenda kijijini manake Grandma was so much fun. Tulikuwa tunapenda kukamua ng'ombe na kupeleka Creameries, tunaenda kuwalisha ng'ombe, Fishing, Swimming etc. Basi, Likizo ilipokaribia kuisha wazazi wetu hawakutufata. Shule zikafunguliwa, wapi? Siku zikaenda, wapi? MAma alikuja kututembelea mara moja moja, tukawa tunaandika notes anampelekea Daddy.

Basi, tukapelekwa shule huko huko kijijini. MAisha yalibadilika sana. Tulikuwa tunaamka kukiwa bado na giza, tunatembea mbali kwenda shule. Mchana tunatembea tena kuja kula.. ikafika mahali tukawa tunabeba chakula to save us the lunch time trip. Halafu tulikuwa kama tu celebs flani hali ambayo nilikuwa sipendi. Mfano tulikuwa watoto pekee waliokuwa wanavaa viatu. BAsi baba akaanza kuja kutufata shule siku za Ijumaa, halafu anaturudisha Jumatatu asubuhi mapemaaaa. Jioni tukirudi kwa bibi anatuchapa. Nikawa nagoma kwenda kwa baba ili nisipigwe na bibi. Mdogo wangu alikuwa anaenda kama kawaida, ila akirudi Jumatatu jioni tunachapwa wote. Nikaona bora tu nijiendee kwa baba nisichapwe bure.

Grandma had changed so much. Hakuwahi hata kutufokea even once. Leo hii alikuwa anatuchapa? Tena kwa haasira? Why couldnt anyone just tell us tatizo ni nini? What wrong had we done? Why were we suffering?? Where we our parents? Why werent we at home??

Shule zilipofungwa, baba alituiba. Alitusubiri tunatoka getini akatuiba. Nasema alituiba kwa sababu hakumpa bibi taarifa. MAisha na baba yetu yakaanza. Mie mpaka hapo pamoja na umri wangu wa miaka 10 nilikuwa nimeshapata picha kuwa wazazi wetu wameshaachana. Sikujua mama alikuwa wapi, I always assumed she was taking a breath angerudi. All these years.

I really admire my little sister. She was like a butterfly on a sunny day. Flying from flower to flower with no care in the world. Mimi ndie nilikuwa naumia. Mtoto wa baba alikuwa hata hajui nini kinaendelea. Labda ndio maana mpaka leo she misses Ma but isnt bothered as such by her absence. She doesnt even remember how Ma looked. Poor Girl.

BAsi, life with Daddy began. Life was carefree. Hamna kulazimishwa kula vegetables. It was a carefree life. Cookies, French fries, sausages, burgers... It was just the three of us. Shule nilikuwa naenda kama kawaida. Ila dogo bwana alikuwa anaenda siku anazotaka. Spoilt brat. Asubuhi tunaenda garage na baba.(Baba ni fundi magari) tunarudi jioni tukishakula icecream na ku watch movies. Siku zikaenda, miaka ikapita, mama didnt come back.

We no longer we Daddy's little girls. Tukakua. Hapo ndio nahisi ugumu wa kulea mabinti wakubwa ulipoanza. BAba akaoa. On condition that huyo mdada ajue amekuja kwa ajili yetu and she would leave if she did us wrong. Mie I didnt welcome her. Nilimpotezea mpaka namaliza form four.

Siku moja, nakaribia kufanya mtihani wa kumaliza Shule ya msingi kuna mgeni alikuja home. Nakumbuka nilikuwa nakosha vyombo. Nikafuta mikono na kwenda kumsalimia. Halafu nikaendelea na kazi yangu. BAsi nimemaliza kuosha vyombo nikawa naenda nje kununua sijui nini, ile napita karibu na mgeni nikaangusha coin. BAhati mbaya ikaenda mpaka miguuni kwa mgeni. Nikazunguka nikajificha nyuma yake nikaokota huku na blush kwa aibu. Ile nainama kuokota nikaangalia ukucha wa kidole gumba cha mgeni. Moyo wangu ukastuka. Nikamwangalia usoni. Alikuwa ni Mama Yangu. Na alikuwa analia kishenzi.

Mh. Tukaanza kulia sote watatu. Ma mdogo ametuangalia ameduwaa. Anyway baba alikuja na wakasalimiana vizuri tu. Tukaenda kwa bibi yetu kukaa na mama kwa siku mbili tatu halafu mama aliondoka. Alituambia anaishi mji mwingine na alituambia anatupenda and nothing will ever change that. Alituomba yule ma mdogo tusimuite mama hata siku moja because she was the original and biological mother. Akaniambia always work hard, for some day you will save me. Nililia sana.

Basi maisha yakaendelea. Miaka ikapita. NIkafaulu vizuri tu nikajiunga na shule ya sekondari, nikamaliza. Nikaingia chuo kikuu, nikafaulu, nikaendeleza masomo. Mama never came back. To date. I really miss her. The pain is gone, nimeacha kulia whenever I think of her. Nimeolewa na najua ndoa ina mengi so na hiki kimechangia kunipa nguvu. People suggest kwamba hayupo duniani but my heart tells me yupo na ipo siku atarudi.

If she could see me now. Her little girls are no longer tiny. I am a mother now. Ma ameondoka sina hata nyonyo. Now I have a child of my own. Aliniambia niwe kama mama kwa mdogo wangu, my sister is doing well too. Atarudi lini? I do not know. But kila siku ya Mungu namuombea. Asilale na njaa, Mungu ampe chakula. Asishinde na kiu, Mungu ampe maji. Asitembee uchi, Mungu ampe nguo, Asimsahau Mungu, Mungu awashe taa moyoni mwake, amuongoze kwenye njia iliyonyooka. Ipo siku atarudi. Bibi mzaa mama alifariki Mama hakuja kwenye msiba. NImeolewa hakuwepo. It was just my sis and Daddy. But I refused to cry, labda baba angejisikia vibaya. But I continue to believe Mama yupo hai, somewhere beneath God's skies.

Mungu hakunyimi kila kitu. Alitupa baba yetu. Anaetupenda kuliko kitu chochote duniani. Alipooa alipata watoto wengine wanne, ila nafasi yetu ipo palepale. Ma mdogo alibadilika alipozaa ila tulivumilia ili baba apate amani. My Daddy is the wind beneath my wings. He is my friend. I can call him any time, to tell him anything. He has opened my eyes into this world. Whenever we were overwhelmed by the sight of other girls with their mothers he was always there for us.

Malezi ya baba yalikuwa ya kisela sana. Pata picha sote tumevaa overalls sare tupo garage tunahangaika. Baba akitukana na sisi tunatukana. Tumeshika spanner zetu. Baba akiita naomba namba 13 tunakimbia fasta kwenye toolbox tunamletea. Tukienda kuvuta magari yalopata ajali na breakdown unatukuta tumekaa juu kwenye bodi tumening'inia tunaenda na baba yetu. Baba ametufundisha mengi sana. We could see through men. Tulijulikana kama watoto wa simba. Ole wako akuone ukimtazama his lovely daughters the wrong way. Unachezea za usoni fasta. Hatukudanganyika mapema. Malezi ya baba yametufanya tuwe very strong women. Hatukupapa opportunity ya kukua around women so kidogo hatujui ku relate na wanawake wenzetu and since udogoni men have been our best friends.

Natamani arudi. Natamani aone tu binti twake. NAtamani aone how hard I worked at school. It has been 20 years. Ndugu zake hawasemi chochote. Tumefikia mwisho wa kumtafuta. Hatujui kilichobaki isipokuwa kusubiri tuone Mungu amepanga nini. If only she could see us now. Would she be proud of us? Would she commend Daddy on the good job he has done?

If you are a single dad, know that you can make it. Mtangulize Mungu. Na kama upo kwenye ndoa na pamoja na matatizo yake kuna option ya kuendelea kuwepo please tulia uwalee wanao. Maisha ya kulelewa na mama wa kambo sio rahisi. NI wachache sana ambao wanaweza ku share interest ulizo nazo kwa wanao.

Ni hayo tu.:yo:

EMT, Wi-Fi SnowBall, Mentor, Kaizer, gobore, snowhite, KIKUNGU, Kaunga, King'asti, Kongosho, The secretary, figganigga, Hoshea, Kamanda Moshi, mzabzab, Mjuni Lwambo and a couple others.
story yako inaniliza kila ninaporudia kuisoma. Nimelelewa na baba na mama kwa amani na furaha sana, umenifanya ni reflect forward kuhusu familia yangu na watoto wangu. nimefikiria familia yangu kusambaratika, mimi kuwa mbali na watoto wangu,nitaishi vipi?ni ngumu sana inauma. Naamini mama yako amepitia magumu zaidi kuwa mbali na ninyi. Lakini pia nimemu appreciate babako kwa upande wake kuwafikisha hapo mlipo. Tumshukuru Mungu kwa kila jambo.
 
OOOh pole Realme kwa kuhuzunika. Fanya kila unachoweza kuiweka familia yako pamoja. Mi najua mama alitupenda sana manake sijasahau wema wake. She was a good woman. Life devastated her na hasa aliposhindwa kwenye custody case yake dhidi ya baba. Mama alitupenda sana and we love her too.
 
Last edited by a moderator:
aisee, mi naka ushauri my frnd, kwann usiweke pctr yake humu just incase maybe mtu kamwona, inaweza saidia au waonaje.
 
weweee, au ndo samaki mmoja akioza wote wameoza, badilisha mtizamo huo mumy upate tulizo la moyo uione dunia tamu, kuna wanaume so fine yo just not lucky hujameet one, na huo mdomo ushakiri huwaamini hata tone, wala hatotokea. So u keep on using them like a TP, they'll be using you like a napkin for the rest of yo lonely life, unless ubadilishe mtizamo huo na umsamehe mshua we ni aje, umuue? you are his sperm remember eeh. Muda muda haukungoji usidhani u'll be young forever utaja hitaji mwenza desperately kipindi flani, so better use this time properly instead of boasting yoself for using tps.
woman, seek a good man and marry him.
 
Nimehuzunika na baadae nikafurahi hicho kipengele cha mwisho cha mzee wako na spanner. Anyway, mwombee huko aliko lakini kama ni mimi jamani nataka sababu ya yeye kutukimbia, otherwise ni sawa na kuamini amekufa tu.
 
aisee, mi naka ushauri my frnd, kwann usiweke pctr yake humu just incase maybe mtu kamwona, inaweza saidia au waonaje.
Hoshea, hilo tulijaribu. Ila unajua nini? Hatukuwa na most recent photo yake. Ndugu zake walileta picha yake ya utotoni. Pata picha tulivyokuwa frustrated. Thanks for the thought my friend.
 
Last edited by a moderator:
Nimehuzunika na baadae nikafurahi hicho kipengele cha mwisho cha mzee wako na spanner. Anyway, mwombee huko aliko lakini kama ni mimi jamani nataka sababu ya yeye kutukimbia, otherwise ni sawa na kuamini amekufa tu.
MadameX, Blessed are hearts that are bent but shall never be broken. Thus we continue to believe. She is somewhere jamani. It is not the same as giving up on her and assuming she is gone. There can never be a thin line between life and death in Mama's case.
 
Haha sihitaji mwanaume in my life kama baba wa kunizaa alinitelekeza huyo wa kukutana naye ukubwani atashindwa nn? Men hawawezi nitumia mimi kwani nakuwa nao napowahitaji mie tu nisipowahitaji hawana nafasi all men are the same
weweee, au ndo samaki mmoja akioza wote wameoza, badilisha mtizamo huo mumy upate tulizo la moyo uione dunia tamu, kuna wanaume so fine yo just not lucky hujameet one, na huo mdomo ushakiri huwaamini hata tone, wala hatotokea. So u keep on using them like a TP, they'll be using you like a napkin for the rest of yo lonely life, unless ubadilishe mtizamo huo na umsamehe mshua we ni aje, umuue? you are his sperm remember eeh. Muda muda haukungoji usidhani u'll be young forever utaja hitaji mwenza desperately kipindi flani, so better use this time properly instead of boasting yoself for using tps.
woman, seek a good man and marry him.
 
Haha sihitaji mwanaume in my life kama baba wa kunizaa alinitelekeza huyo wa kukutana naye ukubwani atashindwa nn? Men hawawezi nitumia mimi kwani nakuwa nao napowahitaji mie tu nisipowahitaji hawana nafasi all men are the same
My poor girl, nikiwe, natamani siku moja utuambie you have fallen in love kwa kweli. Love is a beautiful thing. Na ni afadhali to have loved and lost than never to have loved at all. Don't be too hard on yourself girl. You are a beautiful girl, with a beautiful soul. Nobody will just use you and run, No. So cast your fears aside and open up your heart to love. Love will heal all the wrongs in your past. Believe me, not all men are the same. Of course most are ------ and pain in the ass but they are a necessary evil.
Trust in the Almighty. Kubali kwamba yote yaliandikwa na Mungu, no matter how painful it was. and God is never wrong love.
 
Last edited by a moderator:
........pole kukosa malezi ya mama, jipe moyo one day you will her!!
 
Back
Top Bottom