If Only Mama Could See Me Now. I Miss Her So So Much Jamani.

If Only Mama Could See Me Now. I Miss Her So So Much Jamani.

Karucee all the best for you. Kushika spaner 13 na kuitumia si rahisi hata kidogo kwa mtoto wa kiume ndio sembuse wa kike?
On the other hand I hate our blind spots....assumptions zangu at least hazikuwa sawa sawa
 
thanks Ndahani . but... what blind spots?
 
Last edited by a moderator:
Aisee e
Daaa Karucee nimesikitika na papo hapo nimecheka sana! Daaa kweli kila mzazi ana umuhimu wake!
Daa hiki kisa kizuri sana kina fundisha! Aisee baba yenu aliwalea![/QUOTE
lazima ucheke Ruttashobolwa. Mama alipooondoka kuna kaka alisema ngoja wakue kidogo hawa tutawazalisha wajaze watoto A mpaka Z. Kudaadeki alimbutuajje? ngumi za mafundi wanaonyanyua block engines tena? lol. Mpaka leo kaka wa watu tukimwona jamani anainamishaga uso.
 
Last edited by a moderator:
why hii thread sijakuwa mentioned?
Hujawahi muuliza daddy,where is mom?
alijibu vipi?
 
Mshukuru Mungu kwa kila jambo, bora hata wewe ulikuwa na baba, wengine tumekua kikamanda kwelikweli, yaani ni kwa neema ya Mungu leo tupo.
 
Aisee, now l see the source of your strength.
Hongera kwako na kwa dad wako pia; kisichokuua kinakufanya uwe na nguvu, this is what happened with you. Nakuadmire na nina uhakika wengi tumejifunza kutoka kwako.

Mungu akutunzie familia yako. Wanasema ndoa inayodumu ni ile yenye muunganiko wa three persons Mume, Mke na Mungu; so nikiwa inspired na thread moja ya Boflo, let God hold your hands maana mkijitegemea kumshika yeye wimbi likija mtalet go lakini akiwashika yeye kamwe hata waacha!
 
Last edited by a moderator:
what do you mean nikawa kama mama yangu ndetichia? Nilijua ni Mum kwa kidole kikubwa cha mguuni. She had changed so much. MAma yetu ni full African figure with chocolate complexion. Huyu aliekuja ni mweusi sana na amekondaaaa. Oh God. Kama namuona. Natamani kulia vile. Kama namuona.

kumbe kwa kidole safi sana inaonekana uko kama yeye au bibiyo ndio yupo hivo..
 
Mshukuru Mungu kwa kila jambo, bora hata wewe ulikuwa na baba, wengine tumekua kikamanda kwelikweli, yaani ni kwa neema ya Mungu leo tupo.

duuh aisee pole sana mkuu kwa maswahibu hayo yaliokukuta..
 
Mmh, ni bora mzazi anayeamua kuondoka kuliko anayebaki na kuamua kuwa monster.

Karucee Karuceeee ninaumwa moyo wangu mno. Ninalia sana. Namfunga macho namtafakari mama yangu. Sitaki kuona mwanamke anateseka. Nimeapa na ninamwomba Mungu sitamtesa mke wangu. Tukishindwana tuachane kisomi jambo ambalo kwa umri wa ndoa tuliofikia namwomba Mungu tukizikane. Sorry Karucee, it is painful. Yaani yote hayo inawezekana ni kweli. Kunyimwa custody inaume asikuambie mtu, uliza waliotalikiana hasa mwanamke huwa ana uchungu sana na watoto wake. Upande mwingine hata catching VVU is an impact as well. Unajua frustrations na stress za kuachana caa force you to land anywhere. Oh my Lord. I believe you mama is alive, alive somewhere. Go look for her. Ninalia sana jamani. Ninaumia, ninaumia wanajamvi. Wale wote ambao mmeoa au mnategemea kuoa/olewa, hata siku moja kabla hujatamka kuachana angalia mambo mengi sana hasa watoto. We are victims, the pain and scars never heal, asikudanganye mtu!!! Sisi ni binadamu wa kukumbuka japo maumivu yanapungua kidogo but kwisha kabisa hapana.
 
Sijui kwa nini nilikuwa namuamini huyu mtoto kabla hata ya kujua historia yake.

Nahisi her heart is very soft ukiondoa hiyo 'gangstress shell'

Aisee, now l see the source of your strength.
Hongera kwako na kwa dad wako pia; kisichokuua kinakufanya uwe na nguvu, this is what happened with you. Nakuadmire na nina uhakika wengi tumejifunza kutoka kwako.

Mungu akutunzie familia yako. Wanasema ndoa inayodumu ni ile yenye muunganiko wa three persons Mume, Mke na Mungu; so nikiwa inspired na thread moja ya Boflo, let God hold your hands maana mkijitegemea kumshika yeye wimbi likija mtalet go lakini akiwashika yeye kamwe hata waacha!
 
Last edited by a moderator:
Sijui kwa nini nilikuwa namuamini huyu mtoto kabla hata ya kujua historia yake.

Nahisi her heart is very soft ukiondoa hiyo 'gangstress shell'

Nafikiri nawe una kipaji kama cha kwangu, cha kuwagundua real and sweet people na fekeros. Unajua mtu akijifanya saint sana, tilia mashaka mara moja; yaani tunakuwa na maskeleton kibao makabatini mwetu lkn yule ambaye watu wengi wanamuona ni devil kwa nje mara karibu na zote she/he is sweet inside na ndio maana hatumii nguvu kuprove otherwise.
 
kwakuwa napenda kuvunja sheria naanza kwa kusema polesana.
haya matatizo ni mengi,wengi wamekuwa watoto wa mtaani si kwakuwa wazazi walikuwa na uwezo,bali kila mmoja kwa stahili tofauti pale anapompoteza ampendaye na anaeweza kumlinda,kwakuwa wewe MWENYEZI MUNGU kakufikisha hapo wasaidie wale ambao ndo wanaanza kuiona dunia na wameingia katika uwembe huo,uwembe wa uchungu wa moyo. pole again
 
why hii thread sijakuwa mentioned?
Hujawahi muuliza daddy,where is mom?
alijibu vipi?
khaaaa. Kwa kweli ni kosa la jinai. NIsamehe bure The Boss. Unajua ilifika point nikawa a very disturbed child who needed counselling. Baba alikuw avery devastated na sote tuliumia. I made a decision that I would never raise the point again because my dad was hurting seeing us grow up without a mama, my sis was hurt to see dad hurting.... So I let it be. Ila nikuambie kitu I believe in my heart of hearts Daddy did not have anything to do with it.
 
Last edited by a moderator:
Mshukuru Mungu kwa kila jambo, bora hata wewe ulikuwa na baba, wengine tumekua kikamanda kwelikweli, yaani ni kwa neema ya Mungu leo tupo.
All the days of my life I will sing praise to The Lord
 
kumbe kwa kidole safi sana inaonekana uko kama yeye au bibiyo ndio yupo hivo..
I look like my Dad kabisaaaa. Mdogo wangu looks like my Mama. Ila rangi kachukua ya baba na mie rangi ya mama. ndetichia
 
Last edited by a moderator:
Oooh, kweli kabisa.

Nafikiri nawe una kipaji kama cha kwangu, cha kuwagundua real and sweet people na fekeros. Unajua mtu akijifanya saint sana, tilia mashaka mara moja; yaani tunakuwa na maskeleton kibao makabatini mwetu lkn yule ambaye watu wengi wanamuona ni devil kwa nje mara karibu na zote she/he is sweet inside na ndio maana hatumii nguvu kuprove otherwise.
 
Jaman naomba tuandike kitabu sasa!!maana story zako ni tamu jaman

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom